Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Naombeni msaada ndugu zanguni. Kila nikifanya mapenzi na mchumba wangu ,baada ya siku moja au mbili mbele kunauchafu unaanza kumtoka ukeni,akienda hospitali anaambiwa anafangasi anapewa ant...
5 Reactions
47 Replies
8K Views
Je, unasumbuliwa na presha! Kisukari! Uchovu! Au huna hamu na tendo la ndoa!! Alkhasusi ni kinywaji kama ilivyo chai inatengenezwa kwa muunganiko wa viungo tofauti Alkhasusi itakutibu kabisa...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Wakuu Habari Zenu? Naomba kufahamu madhara ya kutumia kondomu hizi maana wengi tunatumia kwaajili ya kulinda afya zetu dhidi ya gonjwa lisilokuwa na tiba zaidi ya kinga, Je kuna madhara yoyote...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wana jamvi, mimi nina ujauzito wa miezi miwili toka nimegundua ni mjamzito nakwenda haja kubwa kuliko kawaida yangu na choo kinakuwa cha rangi nyeusi je tatizo ni nini? Mboga za majani...
1 Reactions
28 Replies
13K Views
Habari wakuu? Nimeambatanisha picha hapa chini,kwa sasa nipo mbali na hospital kubwa nilitaka kujua kwanza kwa sasa nina miezi nane ,nywele hazioti sehemu moja inabaki kama kishilingi hivi.
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Napata maumivu upande wa kushoto wa kifua (moyo) lalkini yanakuwa ya aina ya kichomi sasa natak kujua yanasabibishwa na nn na linaweza kuwa ni tatizo kubwa??
1 Reactions
6 Replies
32K Views
Habarini za jioni, Poleni na majukumu na mihangaiko ya maisha ,naomba nirudi kwenye swali langu, naomba kuuliza kuna madhara yeyote kiafya kucheua chakula punde baada ya kula wastani baada ya...
1 Reactions
7 Replies
7K Views
Wana Jamii, Nina tatizo la kucheua mara kwa mara. Na haswa pale ninapotoka kula naweza kupata tatizo hilo hata kwa masaa matatu. Nilichogundua hadi sasa ni kuwa chakula ninachokula hakisagiki...
1 Reactions
9 Replies
33K Views
Ndugu naomba Msaada wenu nahitaji kujua kama kuna huduma ya kumsaidia Mjamzito kuzuia kutapika maana kuna dada hapa Mimba Toka inamwezi mmoja mpaka ameenda kujifungua yeye kila Siku na kila baada...
2 Reactions
33 Replies
7K Views
Kuna Mtaalam Mmoja wa Masuala ya Lishe nimemsikia mahala akisema hili ( haya ) huku akihimiza mno kuwa tunapoenda Kulala Usiku ndiyo tujitahidi tuwe tunajamba sana ( mno ) akisema kuwa Kiafya kwa...
0 Reactions
4 Replies
931 Views
Kutoka kwa mimba changa ni nini? Miscarriage au kutoka kwa mimba changa ni kupoteza ujauzito kabla haujafikia wiki ya 20. Jina la kitaalamu kwa upotevu huu wa ujamzito mchanga ni “Spontaneous...
4 Reactions
1 Replies
6K Views
Wakuu habarini za Asubuhi nna imani muwazima wa afya, Mada kama inavyosomeka inajieleza. Nimekua nikisumbuliwa na maumiv ya kiuno ad nawaza inakuaje na nn tatzo nakumbuka kimeanza kama mwez...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wana JF! Ninahitaji msaada wa kupata dawa ya kivimbisha vidole vya miguuni. Kwa miaka sasa miguu yangu imekuwa na sugu zisizoisha. Ilitokea siku moja nilijigonga na kidole kimoja cha...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Heshima mbele wakulu! Ninasumbuliwa sana sana na Fungus sa miguuni na Muwasho na michubuko pembeni mwa mapumbu/mapajani.Nimeshatumia dawa kama Daktarin Powder kwa miguu,zinanisaidia sana,lakini...
0 Reactions
101 Replies
86K Views
Habari za huku, Naomba kwa anaejua madhara ya juisi ya viazi mvirngo anisaidie mana nimekua nikiitumia kama tiba ya vidonda vya tumbo (kuondoa acid tumboni au kupunguza ges) lakin naona kila...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
msaada tafadhali nilikua najiskia vibaya homa kali kichwa kuuma kila muda vidonda mdomon nikaenda kituo cha afya kupima nikaambiwa nina typhod 160 nikapewa dozi aina ya sipro tangia nilivyo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwanangu ana umri wa miaka miwili kasoro! Ana uchu wa samaki kinoma! Lakini bahati mbaya kila akila samaki anajikuna na kutokwa vipere mwili mzima mithili ya kupitiwa na mdudu washawasha! Je...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
In severe cases organs zote zinakuwa "mfu". halafu mtu anasema Corona iamue kukaa kwa adabu au itupishe! by Polepole
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Naombeni kuuliza mama mjamzito,, tumbo linaanza kuonekana baada ya mda gani? Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
1 Reactions
11 Replies
19K Views
Natumai wazima humu ndani, Naomba ushauri, mama ana maumivu makali hasa usiku ya mkono mmoja wa kulia mpaka begani. Tulienda hospitali kupiga xray hakuna tatizo, tulipewa dawa za kuchuwa tu, ila...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom