Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari zenu? Naombeni ushauri kama nilivyotanguliza kwenye kichwa chajieleza hapo juu. Ndugu yangu alifanyiwa operesheni ya Hernia ambayo ilikuwa inashuka kwenye korodani upande wa kulia. Sasa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nawasalimu wadau, naomba ushauri ndugu yangu anateswa na hali ya kupigwa shoti mwili Mzima, hali hiyo hutokea kama sekunde 30 , baada ya hapo unakuwa na hali ya kusikia kizunguzungu na kichwa...
0 Reactions
13 Replies
16K Views
Kwanza poleni kwa Msiba Mkuu wa kuondokewa na Mh Rais wa awamu ya tano Ndg John Pombe Magufuli. Mwenyenzi Mungu ailaze roho yake panapostahili. Kwa mujibu wa tangazo la tanzia, Mh Rais amefariki...
15 Reactions
32 Replies
8K Views
Hello wa kuu za muda huu nimeshindwa kupata diagnosis kwenye hii case. Samahani kuna ili tatzo ana vipele vidogo vidogo kwenye corona grands penis ambavyo ni vidogo vidogo sana haviwash, wala...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Raia wa Ghana wanazidi kufa kwa matokeo ya ugonjwa wa Figo. JINSI YA KUONDOKANA NA JANGA HATARI LA UGONJWA WA FIGO: 1.Usichelewe kwenda HAJA. Kutunza mkojo kweye kibofu chako kwa muda mrefu ni...
10 Reactions
19 Replies
2K Views
Taifa letu likiendelea kwa mwendo kama huu tutafika mbali sana. Katika video hii kuna dawa iliyotengenezwa hapa hapa Tanzania, ni dawa ya kufukiza inayoitwa UDANOL.
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Wadau naomba msaada wenu, tumbo langu linaunguruma sana hadi nakosa amani, halafu nikienda haja sipati kitu na pia shemu ya chini ya tumbo na kiuno nahisi maumivu na tumbo linakuwa kama limejaa...
1 Reactions
94 Replies
196K Views
  • Closed
Jua ni muhimu katika uzalishaji wa Homoni ya Melatonin ambayo hudhibiti mzunguko wa usingizi. Inaelezwa kuwa jinsi mwili wako unavyoweza kuzalisha Melatonin za kutosha ndivyo mfumo wako wa...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Njegere ni mbona yenye virutubisho vingi vinavyofanya kazi ya kujenga mwili, kuboresha ufanyaji kazi wa ini na ni chanzo kizuri cha Protini. Ulaji wa njegere mara kwa mara husaidia kuboresha...
5 Reactions
56 Replies
19K Views
Habari za jioni wakuu Nilienda kituo cha afya nikaambiwa jino la juu ukitoa linaweza kusababisha kifo maana limeunganika na mishipa ya fahamu,naomba kujua kama kuna ukweli wa swala hili? Pia...
0 Reactions
126 Replies
147K Views
  • Closed
Omega 3 ni kirutubisho ambacho kina uwezo mkubwa wa kuboresha afya ya macho, afya ya akili na uwezo wa kutunza kumbukumbu, hupunguza athari ya magonjwa ya moyo, vilevile huboresha afya ya ubongo...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wakuu? Nianze hivi, Jana nilitoka Mbeya kuja huku Sumbawanga hadi Nkasi, kiukweli safari ilikuwa na changamoto ya nauli nilivutana sana na makonda hadi kudiliki kunitoa nje ya...
2 Reactions
46 Replies
13K Views
Tangu kuingia kwa Virusi vya Corona wataalamu wa Afya wamepambana kutafuta dawa na chanjo kukabiliana na gonjwa hili hatari bila mafanikio. Hivi karibuni ziligundulika chanjo mbalimbali ikiwemo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
Kama ambavyo imekuwa ikielezwa na baadhi ya vyombo vya habari, wanawake wapo kwenye nafasi ya kupata msongo wa mawazo kwa kiasi kikubwa kuliko wanaume. Pia kiwango chao cha kupata matatizo ya...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
[emoji1314] KUTOJUA KUJISAFISHA UKE kwa wale wanawake wote wasiojua kujisafisha vizuri uke tatizo hili lazima likupate kwahali hiyo basi UKE inatakiwa kuusafisha vizuri na kwa makini na...
2 Reactions
68 Replies
67K Views
Nywele zangu zinanyonyoka utosini na zinakuwa nyepesi...naona dalili za kipara wajomba zangu asilimia 30 wana vipara. Sasa salon naponyoa kinyozi kanishauri nitumie mafuta ya mnyonyo yanazuia...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Habari wakubwa niende kwenye point moja kwa moja, nina tatizo ambalo lilianziaga mwaka jana ila naona sasaivi linakuwa endelevu. Nikipigwa na jua mida ya asubuhi nasikia mwili unachoma choma kitu...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
  • Closed
Usivae barakoa pindi unapokuwa katika shughuli zinazopelekea barakoa kuloa kama kuogelea, ukinyeshewa na mvua ama shughuli yoyote inayohatarisha barakoa kuloana. Barakoa mbichi husababisha...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari Wakuu,, mke wangu amepitiliza siku zake za hedhi isivyokawaida na amepima hana ujauzito, mara ya mwisho aliingia kwenye siku zake tarehe 29 /08/2018 hadi leo tar 03/10/2018 bado hajaona...
0 Reactions
13 Replies
50K Views
Mwanamke anayeingia hedhi mara 2 kwa mwezi (mzunguko wake kuvurugika) je anaweza kupata mimba siku yoyote mwezi unaofuata au unaanza kuesabu vipisiku zake? Mfano January alingia hedhi tarehe 5...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom