Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habarini! Nashuhudia hii tabia ya haka katoto kangu ka miezi mi5 ya kuchekacheka na kutabasamu kila anapokuwa amelala. Amekuwa na tabia tangu mapema sana, yaani tangu alipokuwa na mwezi mmoja. Ni...
1 Reactions
22 Replies
9K Views
WanaJF kuna tafiti nyingi sana zimefanywa kuhusu binadam na vitu vinavyomzunguka lakin kwa upande wa maswala ya utoaji taka mwilini hasa hasa kunya ni tafiti chache sana zimefanywa na nadhani...
0 Reactions
42 Replies
20K Views
Wakuu naombeni masaada maana pumbu moja nene nyingine ndogo. nimejaribu kufatilia kwa haraka nimeona tiba ni upasuaji. Je, kunatiba bila upasuji?
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuuliza siyo ujinga kwa kawaida mtu unatakiwa kwenda haja kubwa (Kunya) mara ngapi kwa siku? Je wewe huwa unajisaidia mara ngapi kwa siku? ili uonekane unaumwa unatakiwa kukaa siku ngapi bila...
3 Reactions
45 Replies
18K Views
Habari za mda huu GT. Kuna ugonjwa unaitwa ENDOMETEIOSIS. Kwa kifupi, huu ugonjwa unasababisha mwanamke kutoka na hedhi kwa muda mrefu pia anapatwa na maumivu wakati wa tendon la ndoa, na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Kujitenga ni kwa ajili ya watu wenye dalili za Korona pamoja na ambao hawana dalili lakini wamepima na kuthibitika kuwa wana virusi vya Korona Hatua za kuchukua ni kama zifuatazo:- Kaa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Hali zenu wana jukwaa, Kwa Muda mrefu nimekuwa najiuliza na kuuliza watu mbali mbali na hata kufanya tafiti fulani,lakini bado sijaelewa. Kuna mapacha wanaofanana kila kitu kiasi hata wazazi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wanajamvi, kuna hili tatizo ndugu yangu analo la kujitafuna nyama za pembeni mdomoni tunapewa dawa za kusukutua kwa mdomo na za fangasi zinagoma ningependa kujua nini ni shida na je...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Ndugu wananchi wenzangu napenda kuwaambia tu na huko mitandaoni kumejaa habari na jipya,jamaa amepata chanjo za dozi mbili kasafiri amerudi kupimwa ameoneka positive almanusura azimie. Hizi...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Juzi koo lilikereketa sana, kama kawaida kuchukua tahadhari nikasema wacha nikachanganye mavitu nijidunge pema. Nikaoda kwa mke gengeni alete 1. Malimao 2. Tangawizi 3. Kitunguu saumu 4. Pilipili...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu juzi kati wakati nakohoa mara nikaona kama kitu kipo mdomoni nikakitema mkononi baada ya kukiangalia sukujua ni nini, nikakibonyeza kikapasuka na kinanuka sanaaaaa, je ni nini hiki??! ni...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari zenu wanajf wote, nafikili kila mmoja anaendelea salama na shughuli zake. Ndugu Wanajf kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu ya kwamba mwenzenu nasumbuliwa na ugonjwa wa Rheumatic...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Nna wasi wasi sijapata siku zangu nimechelewa wiki ya pili sasa mpaka naanza kuhisi nna mimba lakini pia nahisi ni hizi dawa je inawezekana ni chanzo? Nlijiskia kuumwa nlipoenda kupima nkaambiwa...
1 Reactions
45 Replies
5K Views
Kiwango cha juu cha homoni, ambayo husababisha kuongezeka kwa kiwango cha magonjwa ya asubuhi katika kipindi cha wiki mbili za kwanza za ujauzito wakati mwingine unaweza kupata ugonjwa wa asubuhi...
1 Reactions
7 Replies
17K Views
Habari wakuu, Nina mpenzi wangu ana hii changamoto, kila apatapo mshtuko tu, anaanza kutokwa damu ukeni. Alishaenda hospitali akapewa tiba, lakini naona tatizo linajirudia. Pia kama kuna...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF. Mimi ni Muathirika wa tatizo la Vidonda vya Tumbo Almost Mwaka sasa lakini kutokana na kuutibu huu ugonjwa bila mafanikio nimepata comment mbali mbali ambazo nyingine...
1 Reactions
38 Replies
8K Views
Wakuu Sehemu ya mbele ya kichwa yaani fore head ama tuite kipanda uso panauma sana siku ya 4 sasa shida ni nini? Na wala sina Mafia Nina kikohozi tu kidogo ..napata tabu kufanya shughuli zangu...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
  • Closed
Unashauriwa kuwalinda wanyama kama vile unavyowalinda binadamu Usiruhusu wanyama kushikwa na watu nje ya kaya Ikiwa mtu ndani ya nyumba anaugua, mtenge mtu huyo na wanyama kama utavyomtenga na...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Watu wengi wanasubiri waugue ndo waanze mazoezi, hiyo ni kosa kubwa sana. Kwanza ukishaugua mwili utakosa na kuishiwa na nguvu, viungo vitauma yaani kila sehemu ya mwili utakuwa hoi. Dawa ni...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Inawezekana kupata SARS-CoV-2 kupitia macho Daktari wa kwanza duniani kufariki dunia kwasababu ya ugonjwa wa Covid-19 alikuwa daktari bingwa wa macho Li Wenliang: na tangu wakati huo, macho...
0 Reactions
8 Replies
929 Views
Back
Top Bottom