Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Good morning beautiful People, Mazee Nataka Nikapime Corona Naweza Kujua Ni Hospital Gani Wanapima Corona Na Kutoa na Cheti Hapa Dar.?
0 Reactions
0 Replies
533 Views
Miaka ya 2000-2010 ilisemekana kuwa mafuta ya ubuyu ni tiba ya kansa na magonjwa mengine yasiyotibika! na tayari mafuta ya ubuyu yalishaanza kutumiwa na watu Kama tiba, hata mimi nilitumia mashudu...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Naomba kuuliza, Unawezaje kutoa utandu kwenye meno,ambao hautoki kwa kutumia mswaki?
1 Reactions
8 Replies
3K Views
  • Closed
Barakoa hufanya kazi ya kunasa matone yaliyo na virusi tunayotoa tunapoongea, kukohoa au kupiga chafya. Husaidia katika kujilinda wewe na wanaokuzunguka dhidi ya virusi Ikiwa unaona barakoa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Uvutaji sigara hupunguza uwezo wa mapafu kufanya kazi na huongeza hatari ya maambukizi mengi ya njia ya upumuaji COVID-19 ni ugonjwa wa kuambukiza ambao kimsingi hushambulia mapafu Hivyo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nilijiwekea utaratibu wa kuwa nakunywa maji lita 2 kila ninapomaliza mlo wa usiku..baada ya siku chache nikaongeza nikawa nakunywa lita 4 na sasa imefikia lita tano. Kila siku nikimaliza tu kula...
1 Reactions
32 Replies
15K Views
Nina wiki 2 naumwa homa kali sana nimeenda hospitali 3 tofauti naambiwa sina maralia Wala uti wala typhoid, nilipewa tu pcm na amox sababu ya kikohozi. Leo siku 11 homa ikishuka kidogo inapanda...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Kama we ni kiongozi baki kiongozi, kama ni daktari kuwa daktari, kama wakitaka kutuua wanaweza kutumia ata chanjo ya Tetenas au Chanjo ya surua maana dawa kama zote tunategemea nje.
3 Reactions
2 Replies
810 Views
Miili yetu inafanana na magari yanayotumia mafuta ya petrol na diseli kutembea pole pole na kutembea haraka. Ili gari litembee lazima itafutwe namna mafuta na hewa ya oxygen vitakutana na cheche...
1 Reactions
1 Replies
663 Views
Child onset fluency disorder(stuttering)- This refers to the occasional disturbances in the normal fluency and time patterning of speech that are inappropriate to the individual’s age and language...
0 Reactions
1 Replies
790 Views
Kabeji ni miongoni mwa mboga ambayo hutumiwa na watu pamoja na nchi mbalimbali Russia ikiwa ni nchi inayo ongoza kwa matumizi ya cabbage, lakini wenda hujajua pia kabeji (cabbage)ni dawa...
2 Reactions
19 Replies
8K Views
Hi JF Doctors? Jamani naomba kuuliza, kuna madhara gani iwapo mwanamke atafunga kizazi akiwa chini ya 35 yrs. Wife anataka kufunga kizazi baada ya kupata watoto wawili na hataki njia zingingine...
1 Reactions
10 Replies
22K Views
Habari wa Jf, Nina mdogo angu aliumwa ghafra, Akapelekwa Hospital tatizo ilikuwa anaumia kwenye scrotum moja ikavimba kwa muda akawa anapata matibabu lakin haikupungua ikabidi mzee amuamishe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomben msaada mke wangu ana sumbuliwa na tumbo Kila baada ya kumaliza sexy kesho yake tumbo linaanza kumuuma sana je tatizo litakuwa nini?
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu, naomba kujua ni dawa ipi nzuri na ina kinga za kutosha kwa meno? Nilikuwa sina tabia ya kuangalia lebo lakini sasa inanibidi kwani kuna dawa nilitumia meno yakawa na ganzi.
1 Reactions
24 Replies
30K Views
Habari za majukum wadau, Kuna mtoto wa mwaka mmoja sasa anasumbuliwa sana na kifua yaani anakohoa sana ikifika kuanzia midnight ila mchana kutwa husikii akikohoa. Hii ni baada ya kulala kwa muda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wana JF? Ninatatizo ambalo limenianza hivi karibuni, kunamuda nahisi vitu vinanichoma mwilini, pia ninavipele vidogo maeneo yashingoni tatizo linaweza kuwa nini?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi, JF doctor naomba kuelekezwa sabuni, mafuta na poda nzuri kwa ajili ya mtoto mchanga jinsia ya kiume umri 1 week. Nikipata na picha nitafurahi zaidi. Shukurani.
1 Reactions
31 Replies
20K Views
Mwanangu wa kike anamiaka 12 anasumbuliwa na henia msaada tafadhali.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom