Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Makundi gani ya watu yako katika hali hatarishi ya kudhuriwa vibaya na changamoto za upumuaji? Wachukue hatua gani za ziada kujikinga kuingia katika janga hilo? Watafahamu vipi kwa haraka...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU Wakuu naomba nifikishe kilio cha rafiki yangu mmoja mwenye tatizo la kupata kizunguzungu kila alalapo, hasa anapolala chali kitandani. Huyu jamaa ana umri...
0 Reactions
153 Replies
176K Views
Habari za asuhuh jamani nina tatizo la kizunguzungu kila ninapo fanya shughuli yoyote kwa muda nini shida Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Haijawani tokea; Nilikuwa nasikia Kwa watu tu hii kadhia. Leo nimeingia chooni, kwakweli choo nilikuwa nayo, lakini ilikwama kutoka ilikuwa ngumu sana, nimekaa chooni karibia lisaa, choo...
44 Reactions
343 Replies
50K Views
Hili swali nimewahi kuuliza humu ndani na sikupata jibu. Kuna sehemu kohozi linatokea ghafla na ni mazingira ambayo huwezi kusema uteme. Sasa ukiwa mmezaji mkubwa, kuna madhara?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu hope mko poa. Me ni kijana wa kiume, Kuna situation naipitia hadi nakosa raha. Nilikuwa na wapenzi tofauti performance yangu kwa bed ilikuwa nzuri Sana, nilikuwa vizuri had katikati ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari JF Doctors na wadau mbalimbali, Nina kijana wa kiume miaka 19 anasumbuliwa na maumivu ya upande mmoja wa mshipa wa sehemu za uzazi, Tatizo hili limemuanza wiki moja nyuma ambapo palianza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Closed
Epuka moshi kutoka kwenye moto wa kupika kwasababu una vitu vidogo ndani yake ambayo vinaweza kuingia kwenye mapafu na kusababisha ugonjwa Epuka moshi huo kwa kupikia nje au mahali penye hewa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nina miaka sita nasumbuliwa na vidonda vya tumbo na nipo kwenye clinic ya matibabu mpaka sasa. Naomba kujua kama asali haina shida kwa matumizi kwa mimi mwenye shida ya madonda ama...
3 Reactions
11 Replies
9K Views
Nimepata vidonda kama picha inavyoonyesha na bado sijaweza kwenda hospitali . Je, ni ugonjwa gn?
8 Reactions
99 Replies
13K Views
Habari zenu wana JF, Mimi ni mgeni humu nimekuja kwenu kuomba ushauri na mawazo yenu maana humu kuna wataalamu mbalimbali. Mama watoto wangu ni mjamzito wa takribani miezi 8 na point na amekuwa...
3 Reactions
31 Replies
9K Views
Husika 'na kichwa cha habari hapo juu Mimi ni kijana mwenye umri 30 'niliekua na malengo na mipango mbalimbali 'katika maisha moja katika ayo ' ni kuwa na mjengo ili nimefanikisha kwa 70%...
10 Reactions
85 Replies
19K Views
Habari wakuu, Mwanaume anauwezo kuwapa mimba wanawake wangapi kwa siku mmoja?
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Husika na mada tajwa hapo juu jaman nahitaj ufafanuz wa dalili za ukimwi
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Wasalam ndugu zangu wa JF natumai mko na afya njema kabisa , na wale ambao hawako vizuri Mwenyezi Mungu awatie Nguvu na awafanyie wepesi mrudi kwenye Afya Imara. Kama kichwa cha habari...
1 Reactions
10 Replies
37K Views
Habarini wakuu! kabla sijaenda kwenye hoja yangu kama kichwa kinavyojieleza nitoe shukrani zangu za pekee kwa Mwenyezi Mungu anipae uhai, Wakuu ni wiki ya pili sasa tangu nilipoanza kupata tatizo...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Vijana wenzangu, wazee na watoto ambao mmewahi kuota ndevu za KWAPANI, CHINI, NDEVU & KICHWANI napenda kuwasilisha jambo hili kwenu kama mko na Experience ya ari hii ambayo mimi inanikumba kwa...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
habari zenu wakuu.. nimepatwa na mafua makali sana nahisi Kwa mara ya kwanza. 1. sisikii harufu ya kitu chochote ILA napumua nashkur Mungu. 2. mwili kuchoka kiasi japo juzi ilikua Hali tete...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Vijidudu/virusi vya corona vinaweza kuishi kwa muda kadhaa kwenye nguo, ngozi ya mwili, vitasa vya milango na maeneo kadhaa mbalimbali kama vile simu, samani, viti, mikoba, kalamu, madaftari, nk...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuuuu poleni na majukumu, Naombeni msaada wa hospital nzuri ya macho Mwanza inayotibu kwa bima ya afya, asanteni.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Back
Top Bottom