Vipimo na tafiti muhimu kufanya kabla ya kupata ujauzito
Ikiwa umeamua kufanya vipimo vya awali kabla ya kupata ujauzito, mtaalamu wako wa afya au nesi anaweza kukuliza kuhusu:
Kazi...
Mshauri mmoja wa mambo ya saikolokjia na jamii aliyefuatilia mlipuko wa Corona unaosababishwa na Virusi vya. Covid-19 ameshauri ifuatavyo:
1. Jitenge mwenyewe usipate taarifa mbaya za ugonjwa huu...
JF Doctors,
Katika mapambano dhidi yaCovid 19 kuna mtu ameniambia kwamba neem oil ukiweka drops puani kama Una dalili za Covid inapotea . Je, wataalam wa afya hii kweli iko salama ?
Neem oil =...
Hatua ya kwanza katika vita yoyote huwa ni kumjua adui yako; nguvu yake na udhaifu wake. Sisi tumemjua ni kirusi kwa jina COVID-19, Sasa kwakuwa ni kirusi basi tushirikishane 'mbinu mbalimbali za...
Habari waungwana,
Niende moja kwa moja kwenye lengo la thread hii, ni kwamba kuna rafiki yangu wa kike ana tatizo. Tatizo lenyewe ni kwamba ana madonda yanatoa maji maji kwenye maeneo karibu na...
Wale tunaopenda kunywa pombe Kali Kali kuanzia konyagi, k vant Zed highlife Bushmen vodka, kitoko, blue, robot, shimwa waragi, ambiance spirit, diamond rock , valeur, gongo n.k tuwe makini Sana...
Nina mtoto wa mwaka mmoja. Wiki iliyopita alitoka vipele usoni na shingoni, nilimpeleka hospitali wakampa dawa ya kunywa na kupaka vikaisha.
Cha ajabu leo nimeona vipele vimerudi kwa kasi kama...
Wanajamvi naomba kuwauliza hasa wasichana hivi wakati wa tendo la ndoa kwenye ile stail ya mbuzi kagoma kwenda.. Kupumua kule nyuma ni ugonjwa au ni kawaida na je kila mwanamke akipigishwa ile...
Nimesumbuliwa na hilo tatizo kwa miaka miwili sasa, nilianza kutibu kwa kutumia ANUSOL SUPPOSITORY bila mafanikio,nimefanyiwa upasuaji mdogo mala tatu katika kipindi cha kuanzia march hadi sasa...
Habari wakuu
Hapa nilipo sina amani kabisa ,uwezo wa kunusa umepotea kabisa ,ninakula chakula bila kusikia harufu yake.
Ninamafua ya kawaida hayanibani sana ,ila hili la kutonusa na kusikia...
Tezi Dume (Prostate gland)
KUVIMBA KWA TEZI DUME (BENIGN PROSTATE HYPERPLASIA BPH) FEATURE
Tezi Dume (Prostate gland)
Tezi dume ni sehemu mojawapo ya mfumo wa uzazi wa kiume. Inaundwa na...
Nimekuwa nikifatilia mijadala ya UKIMWI humu kwa muda mrefu na haya ninayotaka kuyasema humu yalishasemwa na mimi nimeyashuhudia siku chache zilizopita kwa majirani zangu.
Jirani yangu huyu...
Baada ya mtoto wako kuzaliwa, mrija wa chakula toka kwa mama utakatwa na kubanwa na kibana kitovu.
Mfunge nepi mtoto wako ikiwa chini ya kitovu, ili kibana kitovu kipate hewa na pia kisipate...
Wakuu salaam!
Mimi na mke wangu tuna watoto watatu, kwa sasa ni mjamzito. Tatizo ni kuwa katika ujauzito huu hana hamu kabisa ya tendo la ndoa, muda mwingine raundi ya kwanza ikiisha hataki...
Katika elimu ya anatomy, anthropolojia ya kibaolojia na sayansi ya wanyama kuhusu uwezo wa UBONGO wa mwanadamu wa zama hizi brain capacity zetu / cm³ ni around 1400cc adi 1500 cc uyo ni mwanadamu...
Habari za jumapili ndugu zangu na wikiendi kwa ujumla
Nije kwenye mada,
Nasumbuliwa na mafua wiki sasa mchana naweza nikashinda vizuri na nikaendelea na kazi zangu vizuri tu ila ikifika usiku...
Habari zenu wapendwa.
Naomba kusaidiwa, nimepatwa na tatizo la kukakama kwa misuli ya miguu na paja, nyakati za alfajiri ninapokuwa kitandani, yaani mfupa unakakamaa au kupinda na kusababisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.