Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
  • Closed
Nini Chanzo Cha Pneumonia Pneumonia husababishwa na bacteria, virusi, fangasi na vyanzo vingine. Hapa chini tutaona baadhi ya vyanzo hivi kwa undani zaidi: Bacterial Pneumonia Wagonjwa wengi wa...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
UDAKU SPECIAL BLOG Menu Kulala na Feni Kunaweza Kusababisha Kifo? April 27, 2017 Afya No comments Watu wengi hasa wanaoishi katika maeneo yenye joto, mara nyingi hulala wakiwa...
1 Reactions
7 Replies
8K Views
Habari za humu wana jukwaa, naomba kuuliza, hivi mwanamke anaweza kupata mimba na huku akiwa anatumia uzazi wa mpango(kuweka plastic ndani ya uke)?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari. Kwa anaejua. Je shahawa zinakaa muda gani ukeni ndo zina expire?
0 Reactions
29 Replies
74K Views
Habarini wakuu, Cancer stage ya kwanza na ambayo haijaenea wala kuathiri chochote mwilini kuna uwezekano wa mgonjwa kupona? Mama yangu alipatwa na jipu likapelekea kidonda kikubwa sana na sasa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
UJUE UGONJWA HATARI WA EBOLA EBOLA: Ebola ni ugonjwa wa hatari unaosababishwa na virusi vijulikanavyo kwa lugha ya kitaalamu “EbolaVirus”.Ugonjwa huu ni miongoni mwa magonjwa yajulikanayo kwa...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Mke anaumwa tumbo ni mjamzito ameenda kituo cha afya na kuambiwa kuwa damu imeganda katika mirija ya uzazi. Je kuna dawa ya kuyeyusha hiyo damu? Na pia je akitumia hiyo dawa mimba haiwezi kutoka?
1 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Closed
Ukeketaji unakwamisha utendaji kazi wa asili wa mwili wa mwanamke na una madhara makubwa kwa afya ya wanawake na wasichana, ikiwa ni pamoja na afya yao kisaikolojia, kimahusiano na afya ya uzazi...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari. Kuna hili jambo ambalo limenishangaza kidogo baada ya kukutana na watu wa namna hii. Mtu kupenda maji kupita kiasi nikiwa na maana ya kuyashika/kugusa mwili wake muda mwingi. Madaktari...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu hivi majuzi nikienda kufanya checkup baada ya kusikia maumivu kwenye goti walipopima nikaambiwa uric acid imezidi nikatumia dawa walizonipa basi baada kama wiki pakatulia sasa nikapiga...
1 Reactions
25 Replies
7K Views
Hivi tatizo nini wanaume kuzaliwa Na uhanisi acha huu wakujitakia ule wakuzaliwa tatizo nini je wanakujaga kupona kweli Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
138 Replies
19K Views
  • Closed
Saratani ya utumbo mpana ni aina mojawapo ya saratani ambayo inaathiri utumbo mpana na eneo la mwisho la utumbo mpana linaloitwa rectum. Mwanzo wa saratani ya utumbo mpana ni vimbe ndogondogo...
2 Reactions
2 Replies
6K Views
Habari wakuu, Nimekuja gundua wadau wengi wa JF wanashuhuda za uhakika wa 100% za Tiba fulani za Asili kwa kuwa binafsi au ndugu zao wa karibu walizitumia kutatua Maradhi, Ulemavu au matatizo...
10 Reactions
50 Replies
10K Views
Nina kichocho dalili nimeanza kuziona leo. Je, dawa gani ya kutibu ugonjwa huu? ----- Maoni kutoka kwa wadau----- MziziMkavu anasema, Ndugu pole sana kwa kutokwa na damu wakati unakojoa ni...
0 Reactions
75 Replies
63K Views
1: MAANA YA PID. PID ni kifupisho cha neno Pelvic Imflammatory Disease. Huu ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria, bakteria hawa huenda na kushambulia via vya uzazi vya Mwanamke na kumletea mdhara...
1 Reactions
14 Replies
14K Views
ndugu zangu nimepima kama week tatu hivi na ziada kidogo niliambiwa damu imezidi sasa najiuliza nifanye nini ili hali iweze kutrngamama!
1 Reactions
18 Replies
31K Views
Habari JF, Je, kuna ukweli juu ya hii kauli kwamba maji ya moto yana athari katika afya ya uzazi wa kijana? Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu zangu habari zenu, ninapata shida ambayo sijui ndo macho au kichwa... Nikitembea ruti ndefu au nikifanya mazoezi ya kucheza mpira vile kukimbia kimbia, mazoezi yakichanganya napata shida ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu natanguliza salam zangu kwenu! Nimekuwa nikipata shida ya amiba mara kwa mara nimetumia dawa kama Tinidazole kwa nyakati tofauti tofauti na namaliza dozi lakini bado tatizo linarudia...
1 Reactions
8 Replies
9K Views
Wakubwa hongera kwa shughuri za Ujenzi wa Taifa letu pendwa Tanzania. Wakubwa naomba kupata ufafanuzi wa jambo hili. Je, nikwel uvaaji wa miwani ya macho kwa muda mrefu hupelekea macho kuingia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom