Rais Magufuli anaposema chanjo za hawa watu weupe hazifai ni hatari muwege mnaelewa.
Rais akisema kitu anazo taarifa zote msidhani amekurupuka.
Hizi chanjo zimeanza kuwapa shida wao wenyewe huko...
Habari zenu wana jamvi natumaini mu wazima wa afya.Naombeni kujua hospitali nzuri ya meno jîjini hapa maana sina raha na hili jino.
Nashukuruni muwe na wakati mzuri
Wataalamu naomba mnisaidie ushauri ni kwa namna gani naweza maintain usafi wa kinywa changu.
Hapa nazungumzia kuzuia harufu mbaya kinywa, pia naona meno yangu yanaliwa na wadudu na kwa umri huu...
Habari,
Mke Wangu ni mjamzito ila toka amepata ujauzito nimekuwa nikiumwa magonjwa yasiyoisha sana nimekuwa nisumbuliwa na tumbo Mara kwa Mara imetumia dawa ila wap ila kingine toka amepata...
Ujauzito ni mtihani mgumu maana anayoyapitia mwanamke ni mazito. Anashindwa wakati mwingine kula, kulala, kutembea yani kwa ujumla kuishi maisha yake ya kawaida kabla ya ujauzito wake ni...
Habari wapendwa poleni na majukumu, ni mwezi wa 2 sasa natokwa na ute mweupe mzito hata nikiwa danger day sitokwi na ule ute wa kuvutika ambao unasaidia kubeba mimba unaendelea kutoka tu huu...
Shida ya akili ni neno pana linaloelezea upotezaji wa uwezo wa kufikiria, kumbukumbu, na uwezo mwingine wa akili. Vitu vingi vinaweza kusababisha shida ya akili.
Inatokea wakati sehemu za ubongo...
Mke wangu anatatizo la kukosa hedhi kwa muda mrefu yaani uchukua miezi 3 Hadi minne na akianza kupata tumbo chini ya kitovu lina muuma kupita kiasi na wakati mwingine hedhi yake uambatana na...
Napenda kujua chanzo cha ugonjwa wa mchango kwa watoto wadogo na mbona inasemekana hakuna dawa ya hospital inayotibu?
Kwanini dawa za kienyeji tu ndizo zinatibu?
Napenda kujua wana JF
Salamu kwenu wote ndugu zangu leo nimekuja kusema jambo ambalo watu wengi huwa tunachanganya sana.
Ukiwa na mke wako kisha uume ukawa hausimami basi jua kabisa sio kwamba una upungufu wa vitu...
Nina A ya Biology, B ya chemistry na C ya Physics lakin napenda kwenda chuo na sio advance kwani nataka kuchukua clinical medicine ila sijajua vyuo gan vizur ninavyoweza kuapply diploma naomben...
Habari wataalamu wa Masuala ya Afya.
Ulizo langu ni kuwa, Je inawezekana kumpima mtoto DNA siku moja baada ya kuzaliwa? Binafsi sio mtaalamu wa masuala ya Afya nimeona ni vyema kutafuta jawabu...
Habarini waungwana
Ni kwa takriban 5yrs now tangia nifahamiane na mshkaj m1 ambae yuko na tatizo la mtoto wa jicho, tatizo linazidi kuwa kubwa yaani mpaka december inawez kuwa hatari zaidi...
Pneumonia Ni Nini?
Pneumonia ni ugonjwa unaoshambulia vifuko vya hewa kwenye pafu moja au yote mawili. Vifuko hivi huweza kujaa maji au usaha na kusababibisha kikohozi kinachotoa uchafu unaotoka...
Habari wana jf .... samahani naomba kufahamishwa ni lini hasa mtu aliyejifungua kwa operation anaweza kuanza kula kawaida tofauti na ndizi au viazi. Kwani havikai tumboni na mtoto ananyonya saana...
Vyakula vyekundu kama vile mbogamboga na matunda vina muunganiko wa kemikali iitwayo Phytochemicals, ambayo ina faida kubwa katika afya ya mwanadamu. Phytochemicals hizo ni pamoja na flavonoids...
Hello Wandugu,
Sorry ni mara yangu ya kwanza kuandika hapa so ntaomba radhi kama kuna namna ntam bore mtu Recently nimegundua rafiki yangu ana tatizo la endometriosis yaan nimeshindwa cha...
Msaada, maana hata sielewi maana matiti yangu yameongezeka na yanauma pia mapigo yangu ya moyo yanaenda kasi sana, ila nilisex siku ya hatari lakini kabla ya masaa 72 nilimeza p2 ila nilijisahau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.