Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
  • Closed
Kwa mujibu wa taasisi ya FOPH (Kituo cha Afya cha Taifa) ya nchini Uswisi, uwezekano wa vitu hivyo kubeba maambukizi ni mkubwa endapo mtu aliyeathirika atashika kitasa cha mlango au simu huku...
1 Reactions
0 Replies
926 Views
Wadau Mwanangu anasumbuliwa na ugonjwa mguu wa kulia unavia maji inatengeneza kitu kama kidonda pembeni ya mguu, hakiumi ukitumbua hutoa majimaji kama usaha. Hospital walinipa tube nipake...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu poleni na majukumu' Jana jioni wakati nalima nilijikata kidole Cha mguu chini ya kucha zikatoka damu nyingi chini ya kucha ,Leo nimeenda kwa dactar kasema nisubir siku 4 nitakua na option...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Ni week sasa nimekua na lala na paka kitanda kimoja bila wasiwasi wowote. Jana nilipata mgeni ghettoni kwangu, kilicho mshangaza mgeni wangu ni Kitendo cha paka kuja kulala pale tulipo lala...
9 Reactions
140 Replies
14K Views
Habarini wadau kama heading inavyosema. Kuna ukweli wowote kate ya sex ya mara kwa mara na upungufu wa nguvu za kiume? Mfano kwa wiki mara 4 na bao tatu tatu.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Closed
Matumizi ya feni nyumbani ni salama kwa mzunguko wa hewa kati ya wanafamilia wanaoishi pamoja ambao hawajaambukizwa na virusi vya Korona Lakini, feni zinapaswa kuepukwa wakati ambapo watu ambao...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Natumaini ndg zangu Ni wazima, poleni na majukumu ya kikazi na familia. Nina tatizo liloanza siku ya 3 leo nasumbuliwa na maumivu ya kifua upande wa kulia nasikia maumivu zaidi nikifuta hewa kwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kumekuwa na ongezeko kubwa sana la manunuzi ya vitamini C ili kukabiliana na janga la Corona. Nimesoma hapa tafiti kuhusu hili ila haziko wazi sana. Wanasema vitamin C imeonekana kuwa inapunguza...
4 Reactions
33 Replies
6K Views
Habari zenu wapendwa? Naombeni ushauri wenu natokewa na vitu usoni vya duara vinakuwa kama vishimo nashindwa hata kuelezea yani vinakuwa Kama vikovu nashindwa kuelewa tatizo ni nini. Mafuta...
6 Reactions
45 Replies
7K Views
Leo tarehe 3 mwezi Machi 2021 ni siku ya usikivu duniani. Hii ni siku ambayo inasherehekewa duniani na kampeni yake inaendeshwa na Ofisi inayojulikana kama “Prevention of Blindness and Deafness”...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni ujauzito wake wa kwanza. Ameenda clinic yake ya kwanza at government hospital (kituo cha afya) huku mkoani. Ujauzito week ya 8. Wingi wa damu (HB).... 10.9 Blood group... hajapimwa! Rh...
3 Reactions
40 Replies
9K Views
Historia ya Afya ya Familia ni rekodi ya taarifa za kiafya zinazohusu mhusika na ndugu zake karibu. Imeelezwa, ni muhimu kwa rekodi hiyo kuhusisha taarifa za Wazazi, Ndugu, Watoto, Bibi, Babu na...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari za usiku, Mke wangu ananiambia maziwa yanamuuma na ni mazito hasa wakati wa usiku yanamuuma sana. Hajabahatika kunyonyesha wala hana hata mimba lakini hilo kwake ni tatizo. Wajuzi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba kujua huu mmea ni dawa kweli na unatumikaje kuja wengine wanadai inatibu hadi Corona 1.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Closed
Kabla ya kugusa barakoa, safisha mikono yako na Sanitizer au maji na sabuni. Kagua barakoa kuona kama imechanika au kama ina matobo, usitumie barakoa ambayo imewahi kuvaliwa au imeharibika...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Kuna jamaa mmoja analalamika ana uvimbe shingoni na homa. Alifanyiwa ultrasound ya shingo mwaka jana mwezi wa saba akaambiwa kitalaamu ana multiple cervicle limphnodes enlarged...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
UTAFTI mpya umebaini kuwa nusu ya wanaume nchini ni wagumba ukipingana madai ya wengi kuwa tatizo hilo linawaathiri zaidi wanawake.Kwa mujibu wa utafiti huo, uliofanywa na Chuo Kikuu cha Tiba...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Unakuta mtu anamtembelea rafiki yake, akitoka kuoga anakuta taulo kwenye kamba analichukua na kutumia, utamsiki “huyu wangu sana “. Watoto wakiwa boarding school, taulo linaweza kula vichwa...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Ikiwa sifahamu au sikumbi nimemeza au sikumeza dawa, ni vyema kumeza tena?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wakuu Mke wangu ana mimba ya miezi mitatu na wiki mbili ila mtoto anacheza! Je, hili sio tatizo?
0 Reactions
9 Replies
12K Views
Back
Top Bottom