Wakuu nawasalimia,
Sikio langu la kushoto limeanza kuwa na shida ya kutosikia vema, wakati fulani nahisi linakuwa linaziba wakati mwingine linafunguka.
Naomba kuelekezwa kwa Dar es Salaam naweza...
Poleni na msiba wa taifa waungwana.
Niende moja kwa moja kwa mada nilipima hospital Baada ya vipimo nikakutwa na U. T. I nyingi nikaandikiwa sindano za powersafe za mishipa now nimemaliza dozi...
Dear fellow Tanzanians, I would like to present to you a recent paper published in a journal "Medical Hypothesis, Volume 146, January 2021, 110411" with regard to wearing facemasks for preventing...
Habarini za wakati huu.
Naombeni msaada.
Nina mtoto wangu ana mwaka shida yake kubwa ni kuwa ni mjeuri sana kwenye kunywa dawa yani ukitaka kumnywesha tu dawa anakuwa anajitapisha au ateme yote...
Habari za majukumu wapendwa leo kuna mwenzangu kapatwa na shida, asubui wkati anaamka anasema alisikia sikio linawasha ,Sasa akachukua pamba ya kusafisha masikio akaanza kusafisha,ghafla sikio la...
Hellow wadau,
Hivi eti ni kweli nanasi ni hatari kwa akina mama wajawazito maana kuna jarida moja la kuaminika niliona limeeleza hayo, sasa nashindwa kuelewa iweje hili tunda iwe hatari, maana...
Kaa aina ya Horseshoe ni wakongwe kuliko dinosaurs. Wamekuwepo kwa takribani miaka milioni 450.
Zipo aina nne za kaa hao, aina tatu zinapatikana kwenye bara la Asia huku aina moja ikipatikana...
Watu hawapaswi kuvaa barakoa wakati wa kufanya mazoezi, kwa kuwa barakoa zinaweza kupunguza uwezo wa kupumua vizuri.
Jasho linaweza kufanya barakoa iweze kuwa na unyevu haraka zaidi ambapo...
Habari zenu
Ni vyema tukashirikishana mambo ya muhimu kama haya ambayo watu wengi hawayachukulii kwa uzito yaani yanaonekana ni ya kawaida tu lakini unaambiwa ukitaka kujua kuwa mwili wako ni wa...
Njia hii kitaalamu inaitwa “Gastric bypass”. Ni aina ya upasuaji unaosaidia mwili kupungua kwa kubadilisha namna ambavyo tumbo na utumbo mdogo unashughulikia chakula. Upasuaji huu hulifanya tumbo...
Machi 24 kila mwaka ni siku ya kifua kikuu duniani.
Madaktari wanaonya kuwa maendeleo yaliyopatikana katika mapambano dhidi ya ugonjwa huu yamerudi nyuma kwasababu ya janga la virusi vya corona...
Habari za wakati huu wanajukwaa wote mabibi na mabwana,pasipo kupoteza nyakati kuna jambo ninataka nisaidiwe kwa namna moja ama nyingine.
Nina mdogo wangu anasumbuliwa na fangasi za mdomoni yaani...
Jamani ndgu zangu mm Nina umri wa miaka 21 naomba msaada Nina tatizo la kutopata hedhi kwa muda mwingi Hali inayonifanya nikose Raha.
Kwa mwaka napata Mara 3 tu. Na pindi ikitokea napata maumivu...
Siku za karibuni tulisikia upasuaji uliofanyika Hospitali ya Muhimbili kitengo cha magonjwa ya Moyo kwa mtoto kuweka kifaa cha bandia ndani ya Moyo Wake.
Je, Pacemaker ni nini? Moyo umeundwa na...
Naombeni msaada kama kuna yeyote anaejua tiba mbadala ya mawe kwenye nyongo, hospital wanataka kunifanyia operation ya kunitoa nyongo, so alie na utaalam wa wapi naweza pata tiba naomba anisaidie.
Habarini wana jukwaa hapa JF doctors
Kwanza napenda kutoa salaam za pole kwa msiba mkubwa uliolikumba taifa letuu..
Niende moja kwa moja kwenye mada husika ,
Labda naweza kupata msaada kutoka kwa...
Tangu mwaka juzi mwezi wa 7 nilipatwa na tatizo la kuuma mgongo! Lakini niliwahi kupima vidonda vya tumbo wakanambia positive means nina vidonda vya tumbo.
Naombeni ushauri nifanye X ray au...
Habari za mchana wakuu?
Niende straight to the point. Majuzi niliumwa sana nikalazwa takribani wiki moja kwa maradhi ya tumbo. Nimetoka juzi naona kuna Hali Fulani imenianza naomba msaada wakuu...
Habarini wana JF,
Naombeni ushauri mwanangu ana umri wa mwaka na miezi 3 sasa anapenda Sana kunywa maziwa ya ng`ombe lakini anapoyatumia anapata kinyesi chepesi na chenye harufu Sana na rangi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.