Kwanin tarehe za period kwa mwanamke huwa inabadika? Exp mie huwa naingia tarehe Tisa kila mwezi na ninapata ada yangu ndani yasiku tatu tu laini mwezi huu sijapat ada yang na sins dalili zozote...
Tarehe 06/06/2019 usiku mimba ya miezi mitatu iliporomoshwa kwa maksudi,mporomoshaji alikuwa akibleeda kwa maumivu makali sana,siku sita baadae akaenda hospitalini kusafishwa,baada ya hapo damu...
Wakuu habari,
Kama mnakumbuka muda kadhaa uliopita, nilipandisha uzi hapa Jamvini kuomba ushauri wa kitabibu kuhusu tatizo la Fungus sugu kwenye Nyeti lililokua linatusumbua mimi na mke wangu...
MATUMIZI ya mafuta ya habat soda ni mengi sana katika mwili wa binadamu lakini leo utajifunza na kufaidika na haya machache ambayo ninayaandika hapa chini:
KWA AFYA
Kunywa kijiko kimoja cha...
Binafsi sioni gonjwa hili likipungua au kutokomea hivi karibuni.
Kikubwa kinachoeneza hili gonjwa ni kitu kinachoitwa "usiri" watu hawako wazi si kwa ndugu, marafiki wala wapenzi wao.
Kila...
Hello JF salaam!
Nimekuja kwenu nipate mawili matatu huenda nikawa na tatizo. Nilikuwa na mwili wa wastani siyo bonge sana wala mwembamba sana.Kimbembe kimeanza kama miaka miwili nyuma naona...
Wanajamii, ikiwa kama kuna mtu anafahamu sehemu ambayo naweza kupata kipimo kizuri cha uchunguzi wa Tumbo au Vidonda vya Tumbo. Naomba anifahamishe, inaweza kuwa Dar au nje ya Dar.
Nasikia kuna...
Wanafunzi katika shule moja nchini Uingereza wameunda mipira ya kondomu inayowaonya watumiaji wanapojamiana na mtu aliyeambukizwa maradhi ya zinaa.
Kondomu hiyo inabadili rangi pindi inapokutana...
Habari wakuu, Lengo la kuweka thread hii ni kuwaomba wataalamu wa mazoezi ya viungo kutupatia
ufafanuzi zaidi juu ya mazoezi ya aina mbalimbali, mazoezi yenye faida na faida zake na mazoezi yenye...
Nina demu wangu na alishawekaga vijiti mkononi vya kuzuia mimba, lkn juz kati kaniambia kama ana dalili zote za kuwa kabeba mimba. Ila amepima hamna kitu. Msaada Kwa wajuzi je ni keel inaweza...
Habari!
Nina mtoto wa kiume ana miezi minne sasa. Tatizo ni kwamba huwa analia sana nikimshika/nikimbeba, lakini akishikwa au kubebwa na mama yake ananyamaza na mwisho wa siku anakua kawaida tu...
Mheshiwa waziri na serikali yako, staki kuongea mengi bali nikustue tu kuwa dengue imeua, inaua na inaendelea kuua, hivi mnataka tufe sote ndo mchukue hatua?
Bado uko ofisini na wala hutaki kujua...
Poleni kwa kazi! Naomba kuuliza kama mtu unaona unadalili zinazofanana na dengue na kwa bahati mbaya eneo ulilopo vipimo vya ugonjwa huo havijafika ni dawa zipi tunazoweza kuzitumia ili kutibu...
Hi all napenda kuuliza hivi karibuni ilitokea rafiki yangu ameshika damu ya muathirika wa ukimwi aliyekuwa akimuhudumia ikamgusa kwenye mkono hakuwa amevaa gloves na wala hakuwa na michubuko...
Huu ugonjwa unachukua muda gani kupona mbona ni wiki ya tatu sasa bado najisikia dhaifu ingawa sio kama ilivyokuwa wakati wa ugonjwa?na pia naulizia dawa gani nzuri kwa kuondoa kabisa tatizo la...
Nauliza kuhusu gharama za matibabu kwa masikio yenye uwezo mdogo wa kusikia. Sikio langu moja linanisumbua. Mliowai kupatwa na tatizo hili mlikutana na changamoto gani? Msaada tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.