Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mke wangu ana mimba ya week 11, jana nimemaliza show nilipiga ya kibabe asubuhi akasema ameona matone ya damu Sasa jioni pia imeendelea kutoka, roho inaniuma sana ndo tunapoteza kiumbe chetu daah...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Wanajamii naombeni msaada wenu...! Eti ni nini chanzo au kitu kinachosababisha mtu kutokwa na vidonda pembeni ya mdomo! KUna baadhi ya watu huwa wanasema inatokana na labda homa/maleria ndio...
0 Reactions
99 Replies
96K Views
TIBA YA UGONJWA WA KUOTA KINYAMA SEHEMU ZA SIRI NA SEHEMU MBALIMBALI ZA MWILI (GENITAL WARTS & SKIN) Habari rafiki, natumaini mnaendelea vizuri leo napenda kuzungumzia tatizo la kutokewa...
1 Reactions
1 Replies
8K Views
Emerginor Levonorgestrel Hii dawa kwa ajili ya kuzuia mimba kwakuwa mtoto bado ananyonya na ana miezi 4 sasa ili kuepuka mimba maana mke wangu hapendi matumizi ya kondomu hasa siku...
0 Reactions
13 Replies
14K Views
Habari zenu wakuu, Dada yangu anasumbuliwa sana na maumivu makali sana ya mguu na mkono,wakati mwingine yanapelekea mguu au mkono kuwa na ganzi na mara nyingine kuvimba. Amejaribu kwenda hospital...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
1. Malaria Malaria, jina Lina asili ya Italian ikiwa na Maana "upepo mbaya" au “bad air”, ni homa inayosababishwa na vimelea viitwavyo Plasmodium, ambao wanaeneza baada ya kuumwa na mbu jike...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari wanajf... Leo najisikia vibaya mno, asubuhi kilianza kichwa pekee nikameza panadol kikatulia.. Jioni hii najisikia vibaya sana, hata kueleza siwezi ila najisikia vibaya kwelikweli...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Wakuu msaada wenu wa kimawazo tafadhari. Juzi nilikuwa Ambiance sasa bhana kwenye kucheza cheza mziki akaja msichana fulani hivi akaniminya mkono halafu akatangulia mbele na kunipa ishara ya...
9 Reactions
239 Replies
27K Views
Watafiti katika nchi ya Malaysia wamegundua kwamba juice ya majani ya mpapai inasaidia katika kutibu homa ya dengue. Ni dawa ambayo watu wa maeneo ya Asia ambako ugonjwa huu upo wamekuwa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari Wadau!, Jana Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Inmi K. Patterson na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa na Waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu...
0 Reactions
27 Replies
17K Views
Fanya hivi kila siku 1. Unapoamka Asubuhi kula Tunda la Tufaha (Apple) Hutoweza kuonana Daktari siku nzima. An apple a day keeps the doctor away 2. Kula Punje 2 za Kitunguu Saumu hutapata...
14 Reactions
89 Replies
17K Views
Nina binti yangu ametoka mba usoni.Atumie nini kuuondoa. Chanzo alikuwa na vipele akaenda hospital wakampa Sonaderm baada ya kutumia ndiyo mba zikaanzia hapo. I'm the girl from nowhere,... the...
0 Reactions
11 Replies
13K Views
Wakuu habari, Nina swali, kama mwanamke alikua mjamzito, mimba ikatoka ikiwa hata haijafika miezi miwili, je kitaalamu mwanamke huyo akae muda gani ndipo abebe mimba nyingine?
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Saratani hii hutokea kwenye tezi ya thyroid iliyopo sehemu ya mbele ya shingo ya mwanadamu ikiwa na sehemu mbili (lobes) moja kila upande wa shingo nahuwapata watu wa umri mbalimbali, kuanzia...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
VYAKULA VYA AINA 5 VINAVYOSAFISHA INI LAKO Vyakula vingi vinavyotumika kwa kizazi cha sasa ni vile vya kusindika, kukaanga ambavyo vinafanya ini liweze kufanya kazi nyingi na mara nyingine...
3 Reactions
5 Replies
10K Views
Habari zenu , Pumbu zinawasha washa has a nikioga mchana. Sijui hizi fungus gani nimejaribu kila dawa ya fungus but huwa napona tu kwa muda then tatizo linarudi pale pale. Wakati mwingine nikienda...
4 Reactions
101 Replies
10K Views
Nimeshtushwa, nimeogopa na nimekosa raha hadi hivi sasa kwani kwa muda sasa nimekuwa nikisia katika pitapita zangu huku na kule kwamba Siku hizi Watanzania wamekuja na ' Ubunifu ' wa Kipekee...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wana JF Dr. Naomba msaada wenu hasa wa mawazo na ushauri wa tiba kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nilipata ajari nika vunjika mguu eneo la jointi.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari ndg zangu, Nimeleta kwenu uzi huu mnisaidie jinsi/mbinu ya kupata mtoto wa kike kwa kutumia karenda. Mwezi wa 4 niliona siku zangu za hedhi tarehe 15, Mwezi Wa 5 niliona Siku zangu za...
0 Reactions
11 Replies
11K Views
#bbbbb
1 Reactions
80 Replies
18K Views
Back
Top Bottom