Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wakuu nimegongwa na nge,wataalamu naomba mnisaidie tiba,natakiwa nifanyaje,maumivu ni makali sana na hadi saiv ishapita nusu saa bado sielewi natakiwa nifanyaje,msaada wenu tafadhali...
1 Reactions
78 Replies
8K Views
Mama yangu ana uvimbe usio na maumivu kwenye ziwa lake.hospitali wanasema hormone imbalance. Jamani naogopa sana nisaidieni inaweza kuwa nini? Nipo arusha nataka nianze kumtibia nianze wapi?
0 Reactions
4 Replies
961 Views
Mara nyingi watu wanaugua maradhi mbalimbali, lakini wengi wao hawapendi kwenda hospitali kufanya vipimo au kupata ushauri wa kitaalamu kutoka kwa daktari. Kutokana na uwepo wa maduka ya dawa...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari Wakuu! Msaada Wenu Tafadhali... Ni Muda Wa Mwaka Mmoja Sasa Haya Maumivu Nayasikia, Ni Kama Yanauma Kuanzia Upande Wa Mbele Wa Eneo La Moyo, Baadae Yanapanda Taratibu Hadi Kwenye Shingo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wanajamvi Ninashinda moja nimeiona kwa mpenzi wangu ambaye ninatarajia kufunga naye pingu za maisha Kama mungu Akipenda shinda yenyewe ni kwamba matiti yake yanatoa maziwa wakati yeye Hana...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za majukumu mke wangu amepatwa na matatizo ya akili tarehe 5 mwezi 2 mwaka huu mwanzo tulihisi labda ni mapepo tukaweka nguvu katika maombi sio siri hali ilizidi kua mbaya wa kukimbia...
1 Reactions
39 Replies
7K Views
Baada ya mimba ya kwanza kufanyiwa operation ni kama 4yr, na sasa yuko na mimba ya miezi mi nane tatizo lina kuja hapa kwenye mshono wa operation upata maumivu yasio elezeka wakati wa kusimama ni...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu habari za mchana, kama nlivyoandika hapo juu natafuta tiba za asili muafaka za kutibu wasiwasi , je zinapatikana wapi?
7 Reactions
97 Replies
18K Views
Habari nawasalim ! Nina mtoto wa kiume umri wake ni miaka 2.3, Tangu kuzaliwa kwake hakua na shida sana ila wakati anavyozidi kukua homa za hapa na pale hazimuishi zaidi kukohoa, Kadi ya Kriniki...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Shemeji yangu alikuwa anasumbuliwa na kifua yaani kinauma kiasi kwamba mpaka tukaogopa Baada ya kwenda hospital akafanyiwa vipimo vya mionzi X-ray ili kuangalia kama kuna shida lakini hapakukuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa muda sasa nimekuwa nikukutana na watu wanaojiita madaktari kwenye mabasi wakitoa elimu kwa abiria juu ya maswala ya afya. Baada ya maelezo hayo wanatangaza dawa zao wanazodai kutibu magonjwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Heshima zenu wakuu, nina hili tatzo linanichanganya sana. Maana huwa napata maumivu katikat ya kifua na hii hutokea pale tu ninapokuwa nimefanya kazi nzito kidogo, Je nini linaweza kuwa tatizo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwanamke mjamzito anaweza anaweza kufanyaje kuondoa tatizo la mkojo mchafu ili kuzuia U T I nini cha kufanya
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wadau, Kila siku nasikia kwenye radio, tv, mitandao na vyanzo mbalimbali vya habari kuhusu dawa za kuongeza nguvu za kiume, je hakuna dawa ya kuongeza nguvu za kike?
2 Reactions
40 Replies
13K Views
Kwanza Niungane na Muhenga Aliyetunga Methali isemayo " Mficha Maradhi Kifo humuumbua" Na kwa sababu sitaki kifo, nimekuja kwenu kuomba msaada. Wakuu naandika Thread hii ikiwa ni Saa 9 usiku...
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Sijaona siku zangu tangu mwezj huu uanze lakini pia sijafanya tendo lolote la ndoa je shida iko wap mpaka sasa? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Tiba ya uume kugoma kusimama wakati wa kufanya mapenzi ni nini? Sababu yake ni nini? Tiba yake ni nini?
0 Reactions
30 Replies
9K Views
Wapi ntapata virutubisho hivi and yeyote ajuaye dawa ya kuzuia saut kwenye viungio ambayo ni rahisi kuipata....nawasilisha nipo shinyanga Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
925 Views
Naomba kufahamu kwa yeyote anaejua. Nimejaribu ku-Google lakini sijapata ufumbuzi wa hili gonjwa, maana huwa napata changamoto kuujua kiundani huu ugonjwa huwa naufananisha na mshipa wa ngiri...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
#1 Jamani msaada ninavipele mkononi vidogo vidogo vinaniwasha sana usiku. vinataklibani miezi minne hata havitoki vipo kama shigles hivi mikono yote miwili vimenianza mwez was kumi na moja toka...
0 Reactions
27 Replies
11K Views
Back
Top Bottom