Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habarini ndugu zangu wana JF, nimekua nashea posti mbalimbali humu nami nikaona siyo mbaya leo kuandika yangu kwa Mara ya kwanza, kama kichwa cha habari kinavyosomeka, madhara ni mengi ya kutumia...
5 Reactions
174 Replies
45K Views
Kumekua na deaturi ya watu wengi kukinga maji ya mvua pindi mvua inyeshapo, na kufanya kama maji ya kunywa bila kuzingatia usalama wowote wala tahadahari. Mfano labda kuchemsha au kuweka dawa ya...
2 Reactions
31 Replies
12K Views
Naomba msaada kwani Mimi nasumbuliwa namaumivu ya kiuno mpaka chini ya tako kuelekea kwenye mguu tatizo huwa nini na matibabu yake dawa gani naweza kutumia Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi kwanini doctors now days wako na aibu sana. Unaweza enda hospital ukamwelezea labda nina kipele sehem za siri. Lakini swali atakalo kuuliza ni kimeanza lini then kina usaha au hakina...
2 Reactions
39 Replies
6K Views
Naomba kujua je huu ni ugonjwa kwa mwanamke kutokupenda kufanya tendo la ndoa? je pia ni ugonjwa kutokusikia raha ya tendo la ndoa kwa mwanamke? kuna matibabu ya matatizo hayo? Angalizo mimi ni...
5 Reactions
73 Replies
16K Views
wanaJF naomba msaada nimetokewa na kiuvimbe kwenye kope ya jicho hakina maumivu ila kinanikera sielewi hichi kitu ni nini na kimesababishwa na nini. shukrani.
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari wana jamvi naamini hapa ni kisiwa cha maarifa naomba msaada Nina mtoto ana miezi mitatu na Sikh u ila anashitukashituka akilala wakati mwingine analia sana je tatizo ni nini naombeni msaada...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Umesikia mara nyingi kuwa kunywa maji kwa wingi hasa asubuhi kuna faida kubwa sana za kiafya mwilini,lakini kunywa maji yenye ndimu na vuguvugu kuna faida maradufu na ni rahisi kufanya kila siku...
3 Reactions
5 Replies
21K Views
Wana jf nasumbuliwa na mawe kwenye figo,naomba mwenye uelewa anipatie msaada namna gani nitajitibu.nimeenda hospitali moja hapa jijini mwanza walinipa vidonge nimetumia kwa siku 45 kuwa ingeweza...
2 Reactions
42 Replies
10K Views
Message…Wapendwa nauliza ugonjwa wa kisukari unaweza kusababisha kushuka kwa kinga ya mwili? Kufahamu kuhusu kisukari soma Vidonda Vya Kisukari: Fahamu Chanzo, Athari, Tiba na Kinga
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu Nina tatizo la uume wangu kusinyaa kabla sijakojoa. Nikianza shoo, kabla sijakojoa inasinyaa. Naombeni msaada
9 Reactions
158 Replies
28K Views
Duniani kweli Kuna mengi uishi one....na Mungu naye ana mipango yake kwa kila kiumbe.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Natafakari, hivi aliyetengeneza Chloroquine alikuwa anawaza nini hasa ile harufu bado naisikia dawa ile ili upone ni lazima ukimaliza dosage utapike ndipo upate nafuu. Mara ya mwisho kutumia...
14 Reactions
221 Replies
20K Views
Habari wana JF. Mzee wangu ameamka sauti haitoki, hawezi kuzungumza, ilianza kupotea taratibu tangu juzi, lakini leo asubuhil imekauka kabisa. Hana maumivu yoyote kooni wala sehemu nyingine...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Aliingia breed tarehe 12/02/2019,mpaka Sasa hajaingia tena ni takribani siku 42,zimepita,mwezi huu tarehe 21, nilimpima upt ikaonesha negative, Kwa Hali hii atakuwa na mimba au la, nifanyeje...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu Nahitaji psychological treatment ila sijui pa kuipata.Mimi naishi dar Kama kuna mtu anaeza nisaidia kunielekeza sehem/MTU napoeza pata hyo kitu naomba anielekeze au kama unaeza...
0 Reactions
2 Replies
921 Views
Hiv kwa wale wanawake wanaoingia period yaan mzunguko mrefu kipind cha cha siku 35 siku za hatar zinakuaga sawa na Kwenye mzunguko mfupi au wa kawaida? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Salaam ndg zangu na heri ya mwaka mpya. Nimekua napata maumivu mwilini ambayo sielewi sababu yake. Hasa misuli iliyopo nyuma ya bega au niseme sehemu ya juu ya mgongo inayounganisha mabega na...
1 Reactions
11 Replies
21K Views
Wana JF Doctor, Nimekuwa na maumivu ya mgongo kwa muda mrefu na nimetumia dawa za maumivu bila mafanikio kwani hali hurejea kama awali baada tu ya kumaliza dawa. maumivu ya mgongo katikati na...
0 Reactions
2 Replies
12K Views
Mm ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2018 ,, results phy_c bios_c and chem_c math_d ,, nilikuw naomba kujua ada za iyo course ya clinical medicine na mda wake kwa ngaz ya diploma Sent using...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Back
Top Bottom