Naomba kujuzwa tafadhali, kama kuna athari yoyote kwa mgonjwa kunywa dawa kwa kutumia maji ya baridi (yaani maji yaliyotoka kwenye JOKOFU)
......... Msaada tafadhali.
Salaam kwenu wanajukwaa. Nimekua addicted na mchezo wa kubahatisha wa bonanza kiasi cha kuhatarisha uchumi wangu. Hii hutokana na kila ifikapo kuanzia saa 12:00 jioni sina cha kufanya kiasi cha...
Habari wadau wa JF?!!!
Kumekua na tatizo linalosumbua watu wengi sana juu ya kukoroma aidha usiku au mchana hasa pale tu mtu anapolala.... na imekua kero sana kiukweli maana kuna wengine hukoroma...
Wakuu umofia kwenu. Hii salamu ni ya kiafrika . Nauliza wataalamu wa udaktari kuna tofauti yoyote ya mtoto anayezaliwa Kwa upasuaji NA aliyezaliwa kwa njia ya kawaida?
Kama kichwa cha habari hapo juu, natafuta genuine medical centre/hospital wanapofanya all parameters za body check up at least wana vipimo vyote kwa asilimia 80
Habari zenu wana-Jf
Nasumbuliwa na ukuaji wa matiti yamejaa sana, halafu yanauma kila wakati, mpaka nakosa amani sasa.
Nauliza; Kama kuna mtu anafahamu namna ya kuyapunguza kwa namna yyoyote...
Tambua kuwa mtu binafsi hawezi jitambua kama ni kichaa au amekuwa na upungufu wa akili mpaka jamii inayomzunguka ione matendo husika na kumuwaisha hospital au kumfunga kamba.
soma hapo chini...
UGONJWA WA KUKOSA CHOO KWA MUDA MREFU {CONSTIPATION}
Ugonjwaa huu kitaalam tunaita constipation
mtu hukosa choo siku tatu au mpaka wiki nzima na akipata basi ni kidogo sana na kikavu mpaka...
Naam, ajabu za sayansi ya kisasa hazizidi kumshangaza. "Uvumbuzi" halisi wa kwanza ulikuwa ni prophylactic (kondomu). Uvumbuzi mwingine wa kisayansi ulikuwa Viagra. Leo, kwa mujibu wa Daily Mail...
Kwa Lugha nyepesi
Kinyesi cha mtoto akiwa kwenye tumbo la uzazi hufahamika kama [Meconium] Mara nyingi wafanyakazi wa hospitali watamwambia mama kwamba mtoto wake "alikula" au "alimeza" uchafu...
HABARI WANA JF!
Nina shida naomba mwenye uelewa anieleze nini tatzo
Ninaishi na jamaa yangu, sasa jamaa huyu ana mchumba wake.
Alikuwa mbali kwa takribani miezi miwili hivi
Sasa jana mchemba...
MADHARA 5 YA KUTOWA MIMBA.
Leo tuzungumzie madhara matano ya kutoa mimba na madhara yake kama tutakavyoona hapa leo.
UNAWEZA KUPOTEZA UHAI
Ukitoa mimba unaweza kupoteza maisha kutokana na ukweli...
Endeleeni tu ‘ Kufakamia ‘ hovyo Michips, Mipiza na Mihambaga pamoja na Misoseji huku mkijiona mmeukata Kimaisha na kwamba mna Hela za Kutosha wakati kumbe Ulaji huo ndiyo unatusaidia Sisi wengine...
Za leo wapendwa, nipo mbele yenu nikiwa ni mhanga na muathirika wa HD mpaka sasa nishafanya chemotherapy 2nd cycle umebaki uvimbe mdogo sana kwa ndani(mpaka ushike ushike nodes) ndo unafeel...
Hello!! Wanajamvi habari ya mda huu.....
Kwa wale waliougua vidonda vya tumbo wakapona naomba tujuzane aina ya dawa ulizotumia tafadhali kwa sababu ni vidonda vinasumbua sana hata shughuli...
Ndugu wanajamii juzi kati kuna demi alikuja ghetto, kiukwel nilimnyonyo chuchu zake baada kumaliza tendo la ndoa nilishangaa kuona kidonda tetesi za kitaa demu ni mwathirika je naweza kupata ukimwi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.