Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Assalam alayqum, ni matumaini yangu mu wazima alhamdulillah Jamani madokta wa jukwaa hili ninaomba msaada ni wakati gani mama au msichana akishajigundua yu mjamzito yafaa kwenda clinic? Kuna mtu...
6 Reactions
98 Replies
19K Views
Babu kagundulika ana tezi dume kapewa dawa ya kupaka, sijui haya ndio matibabu au kuna matibabu zaidi. Naomba ushauri kwa wenye ujuzi au uzoefu wa kutibu au kuuguza huu ugonjwa: 1. Kuna matibabu...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Naombeni ufafanuzi na majibu wadau. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Naomba kuwauliza damu iliyo vilia inatakiwa kukandwa na maji ya moto au barafu?
0 Reactions
1 Replies
916 Views
Ninapo fanya kazi kubwa(nzito) hasa za ujenzi kwa muda wa siku 2 au 3 na kuendelea linapotoka jasho ngozi huchoma choma alaf ukiikamua km unakamua kipele huwa inachoma zaid. Je nn tatizo? Msaada...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa naomba msaada wenu kwa anayejua matumizi ya hii Dawa inatumika kutibu magonjwa gani, PREDNISOLONE Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
24 Replies
47K Views
Wakuu naombeni kuongezwa uelewa. Kila nikiona ajira za kada ya afya zimetolewa naona vyeo au madaraja yanawekwa kama daktari msaidizi Daraja la pili n.k. sasa naomba kujua daktari daraja la pili...
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Baada ya mhe rais wa JMT kutangaza kuwa gongo in kinywaji safi isipokuwa inapaswa kupimwa ili kujua kiwango cha alcohol kilichomo, sasa nawaletea faida za kunywa gongo. Faida hizi wanywa bia...
6 Reactions
64 Replies
12K Views
Nimewahi kusika moja ya madhara ya kupiga punyeto ni uume kusinyaa na kukosa nguvu za kiume. Nilikuwa na uliza kuhusu kusinya kwa uume kwa maana kuwa mdogo. Kwa mfano ulikuwa una piga punyeto...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
wana JF naomba kuuliza naweza pata wapi vifaa vya kupimia HIV je naweza kuvinunua? ni shillingi ngapi? nitavinunua wapi?? nataka niwe najipima kila siku nijue afya yangu
0 Reactions
1 Replies
902 Views
Naomba ushauri kwa hili,Hivi damu iliyo vilia inatakiwa kukandwa na barafu au maji ya moto?
0 Reactions
0 Replies
694 Views
Wakuu habari, mfano mwanamke akawa majamzito, wakaweka makadilio kuwa atajifungua tarehe fulan, mfano tarehe 20.04.2019, Je dalili za uchungu kuanza, zinaweza kuanza wiki moja kabla ya siku ya...
0 Reactions
15 Replies
9K Views
1. Don't smoke (Usivute Sigara) Experiments from experts proves that smoking a cigarette after meal is comparable to smoking 10 cigarettes (chances of cancer is higher) 2. Don't eat fruits...
2 Reactions
46 Replies
14K Views
Wakuu habari za wakati? naomba msaada wenu wa kitabibu juu ya tatizo hili linaloniumiza kichwa Mwanangu wa miezi mitatu (3) anasumbuliwa na meno ya plastiki, mtoto amekuwa akilia sana hasa wakati...
0 Reactions
7 Replies
12K Views
Jamani wataalam wa afya,nimeletewa case hii. Mke na mme wamepima HIV. Mke positive ila mme negative.Yaani tokea waoane miaka kumi iliyopita mke alikuwaga hataki kabisa kwenda Clinic. Hivyo...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Samahan jamani... Mimi ninatatizo la kujoa mara kwa mara hasa wakati wa usiku sijui tatizo ni nini jamani nisaidien Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wakuu ndugu yangu mmoja kila anapolala na akiamka asubuhi,upande wa kushoto kwenye baji la uso huvimba kama uvimbe w kuumwa na jino ,lakini huo uvimbe haimuumi kabisa,baada ya masaa matatu...
0 Reactions
2 Replies
951 Views
Habarini wakuu, Wiki tatu zilizopita nilikuwa nafanya jukumu fulani ambalo lilinilazimu kukaa kwa muda mrefu sana na kwa uzembe mkubwa kabisa nilipuuza kifanya mazoezi nakumbuka nilifanya mara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Noma sana Jana nimeanza kuendesha kuanzia asubuhi mpaka sasa hivi. Jana nimeendesha kama mara sita, wakati usiku nimeendesha zaodi ya mara kumi. Jana Nimetapika sana pia Mwili unakuwa wa moto...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Wakuu, Nina tatizo moja ambalo sijui kama binadamu wenzangu mnalo. Tatizo hili ni tangu nikiwa mtoto (miaka ya 70) na nimeendelea kuwa nalo. TATIZO: Nikikiangalia (au kusikiliza) kitu kwa muda...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom