Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

KWA WALE WENYE KUHITAJI BLACK SEED OIL AU HABBAT SODA OIL WANAWEZA KUWASILIANA NAMI KUPITIA 0756419186. UBORA WA MAFUTA HAYA KATIKA TIBA NA KWA AFYA YA BINADAMU UNAWEZA KUINGIA MTANDAONI UKAIPATA...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Dawa kwasikio linaalotoa muugurumo Kama kuna Maji na macho ambayo hayaonimbali
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Naomba msaada wenu wa mawazo, nina maumivu ya Shingo kwa muda wa Miaka kumi hivi tokea kisogoni,shingo(misuli) mpaka mgongoni kati kati ya Mabega.Ambapo nikijaribu kunyosha shingo misuli ikikaza...
0 Reactions
9 Replies
18K Views
Habari wana JF, mimi nina mtoto wa miezi miwili ambaye alizaliwa akiwa na week 34 tu tumboni. Baada ya kuzaliwa alikaa kwa muda wa siku tatu kisha madaktari wakamruhusu na kutuambia baada ya week...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
nimekuwa nikitafuta hii dawa bila ya mafanikio hapa Dar Es Salaam bila yamafanikio. msaada tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Leo jioni nimepigiwa Simu na rafiki . Aliniuliza direct question, amepima hepatitis B 22 November 2018 na majibu yalikuwa negative. Na kuanza chanjo 12//1/2019 alitakiwa kwenda kuchoma last dose...
0 Reactions
0 Replies
437 Views
Naanza wiki ya pili sasa toka tatizo hili lianze naomba msaada ....napenda kujua chanzo cha tatizo na nini Tiba yake ....yani mate yamekauka mdomoni napata Shida kula kwa sasa inanibidi Nile...
0 Reactions
3 Replies
649 Views
Watafiti wanaendelea na uchunguzi wa kinga itakayokuwa inadhibiti maambukizi ya Malaria kabla mashambulizi kutokea Kwa muda mrefu watafiti wamefanikiwa kutumia kemikali kuua vimelea vya Malaria...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam waungwana? Kama mada inavyojieleza Nilikua katika dozi ya malaria nilikua natumia dawa mseto almaarufu ALU Sasa dozi ndo nimemaliza Leo na hapa nilipo Nina kiu mbaya Sasa nauliza je...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Heeeee heeee kimbembe leo. Nimeshafika na nishachukuliwa damu wamenipa tube nikatoe haja ndogo kwa ajili ya vipimo vingine. Sababu ya kupima HIV sio hiyari yangu, ntarudi niwaeleze baadae...
3 Reactions
45 Replies
4K Views
Naomba kuuliza je hii inasababishwa na kwa bint Ambaye hajaingia mp unakuta wakat anasafisha uke wake anakuta damu damu kwa mbali! Naomben majibu jaman ya kitaalamu Sent from my iPhone using...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Rối loạn tăng động giảm chú ý (ADHD) là một chứng rối loạn não bộ tác động lên khả năng chú ý và tập trung của người bệnh. Một số người có biểu hiện tăng động và các triệu chứng khác. Một khi đã...
0 Reactions
2 Replies
940 Views
Ugonjwa ni janga. Ni jambo la kuogofya. Inahitaji tahadhari. Tahadhari ya kwanza ni elimu. Picha kadhaa ni maelezo ya Dr Norman kuhusu ugonjwa huu. Tukumbuke ugonjwa huu umeshaua wagonjwa kadhaa...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Huyu jamaa kwa muda mrefu amekuwa akieleza kuwa hakuna UKIMWI wala HIV bali ni hoax flani hivi iliyoanzishwa na watu ili kupiga hela. Kwa maana wauze ARV ila hakuna cha UKIMWI wala nini...
8 Reactions
376 Replies
40K Views
Habari wana Jf!! Nina Allergy na mavumbi je hii hali naweza nikapata dawa ikaisha kabisa.Huwa napiga chafya mnoo mpaka nahisi joto..huwa natumia piritoni lakini hazini saidii kutuliza hali. Ahsante.
0 Reactions
2 Replies
735 Views
Habari ,naomba kupata msaada ,kwa mtoto wa miezi mitatu kupata choo chenye mapovu mapovu na ukijani ,shida ni nini? Na tatizo hili unaweza kulitibu vip Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za jioni wapendwa... Kuna rafiki yangu kaja hapa Ghetto anadai kuwa uume wake sehemu ya kichwa kwa nyuma amekuwa akitokewa na viupele vidogo ambavyo vinakuwa na maji maji hivi na badae...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
JE, NGONO KINYUME NA MAUMBILE NI SALAMA? . . [emoji3504]HAPANA, Ngono kinyume na maumbile si salama kwa sababu ina madhara mengi kiafya kama yafuatavyo; . . [emoji117]MOJA, Njia ya haja kubwa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Nnatatizo la tumbo kuchoma chini ya kitovu sjajua tatizo nini, nisaidieni anayejua tatizo!
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Jina sahihi la hali hii ni Nocturnal Penile Tumescence (NPT).Ni hali inayotokea karibia kwa kila mwanamme hasa vijana.Watu wengi huamini hutokana na kusisimka au kupanda kwa hisia za kufanya...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Back
Top Bottom