MAAJABU YA KARANGA MBICHI
Wengi wetu huchukulia ulaji wa karanga kama chakula cha kujiburudisha na kisichokuwa na umuhimu sana katika afya ya mwili wa binadamu.Kiukweli karanga siyo chakula cha...
"Laughter and crying are closely linked from a psychological and physiological standpoint. Think of the last time someone told you a joke that made you buckle up with laughter and you could hardly...
Habari za asubuhi ndugu zanguni.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25.
Kwa miaka mingi nimekuwa nikisumbuliwa na...
Jamani naomba mnisaidie dawa ya vidonda kwenye lipsi nimetumia dawa ya vitamin B complex na pia nilikunywa multi vitamin ila bado haviponi.Na kama kupima nimepima mpaka HIV wiki mbili zilizopita...
Jamani ni dawa gani naweza msaidia mwanangu mafua maana nimemuona ana mafua...nahisi sababu ya mvua hizi...
Je naweza mpa dawa gani ya mafua ya watoto itakayomsaidia bila madhara...?
Ana kg 8 na...
Jamani wanaojua zaidi ni dawa au chakula gani ni bora kwa afya ya akili ambacho chaweza kuongeza uwezo wa kumbukumbu na uwezo wa kufikiri?
maana binafsi napata shida kwenye Kumbukumbu.
Sent using...
Poleni kwa majukumu ndugu zangu.Mtoto anaumwa matezi muda wote.Pamoja na kuhangaika Sana ktk kutafuta matibabu lakini bado.At the same time ana tatizo la kifua(pumu) ambayo Baba yake anayo...
Salaam wana JF.....kama kichwa cha Habari kinavyo jieleza,nimesumbuka kwa muda mrefu sana juu ya tatizo hili la Ngozi la kijana wangu. Mwenye ufahamu jinsi ya kutibu tatizo hili au Dr ambaye...
Msaada tafadhali,mwezi January hedhi lianza tarehe 11 ,mwezi wa February ilianza tarehe 8, mwezi huu imeanza jana 05/March,na siku za za hedhi ni 3-4.
Nilitarajia mwezi huu ingeanza 08/March...
Ndugu zangu nasumbuliwa sana na kiungulia nimejar kwenda hospitali lakin sijapata nafuu kabisa...naomba anayefahamu tiba ama doctor wa kuweza kunisaidja nikapona hili tatizo.
Habari za usiku na poleni na uchovu wa weekend naomba mwenye kufahamu tiba nzuri ya kuongeza damu kwa kutumia dawa za asili anisaidie ninachomaanisha sio dawa za Hospitalini. Asanteni
Sent using...
Wenye magonjwa sugu wengi huishi kwa msaada wa dawa. Dawa unazokunywa kupitia kwenye damu ili kufika kwenye chembe hai za mwili. Baada ya kufanya kazi dawa nyingi huchujwa na figo na kutoka na...
Wakuu nimekuwa nafanya mapenzi lakini sifiki kileleni. Hata kama nikeshe usiku kucha lakini simwagi.
Nina wake wawili sasa huyu bi mdogo niliyemwoa mwaka jana analalamika sana. Anataka mtoto...
Habari wadau..
Ni kama wiki na kidogo sasa sehemu mbalimbali za mwili ninatokwa na vipele vidogovdogo kama vya jasho lakn vinawasha hali inayopelekea kujikuna hadi naichubua ngozi wkt...
Naomba kujua dalili za mimba zenye mapacha zinakuwaje kuwaje, hata ukiweza kutoa uzoefu wako hapa itapendeza sana kwa faida ya wengine.
asanteni na karibuni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.