215/5000
Salaam wote :)
Mimi na mke wangu tunajaribu kuwa na mtoto na nilishangaa ikiwa una vidokezo vya mimba na maambukizi mafanikio? Tumetumia kihesabu cha ovulation (hapa) lakini kuna kitu...
Kuiga wanyama au wadudu ili ufanikishe jambo jema ni jambo zuri, mfano mzuri wa watu walioiga wanyama au wadudu kufanikisha jambo jema kwa maendeleo mema ya dunia ni wanasayansi, wamewaiga wanyama...
Wataalam wa hizi kazi naomba kuuliza
Hivi kuna uwezekano wa kutumia condom wakati wa tendo la ndoa na bado ukapata mchubuko hata kama condom haijapasuka?
Mzuqa
Juzi nilikuwa na appointment ya kupimwa na kupewa chanjo ya Hepatitis A and B kwasababu nina ka partime kusafisha hospital flan.
Nilienda hospital mchafumchafu na Jasho kwasababu nilikuwa...
YAJUE MADHARA YA KULA MAYAI AMBAYO HAYAKUIVA VIZURI KISHA FANYA UAMUZI
Mayai ni moja ya vyakula vyenye viini lishe muhimu kwa ajili ya afya ya mwili wa binadamu. Kwa kawaida mayai kabla ya...
Tarehe 30 mwezi wa nne dunia inahitimisha wiki ya chanjo duniani.
Hebu uliza wataalamu waKupe majibu kuhusu swali lolote kuhusu chanjo..
Wataalamu toeni maelezo kwa kila swali.
NB: kama kuna...
Je, ni kweli wanaweza julikana kwa namna afya zao zinavyokuwa bora?
Naomba izingatiwe kwamba sina nia ya kuwanyanyapaa ndugu zangu wanaoishi na VVU. Ila nimesikia kwamba ukiona mtu ana mkono...
habari wanajamvi naombwa kujuzwa sana juu chanjo gani anazopewa mtoto kuanzia wiki ya kwanza mpka anapofikisha miez 9 na pamoja na ile zana ya kuwa hizi chanjo sio nzuri kwa wototo wetu asante.
The untold story of anaesthesia care challenges in Tanzania
By Syriacus Buguzi
More by this Author
News
ADVERTISEMENT
10 Hours Ago
Medical experts at the newly launched Simulation Lab for...
Nina rafiki yangu ambaye ananunua dawa za kikohozi kila siku na hawezi kuacha.
Iko hivi, dawa nyingi za kikohozi zina codeine Ndani yake. Codeine ni dawa ya kulevya ambayo kama zilivyo dawa...
1. Kundi A+
• Kundi unaloweza lisaidia damu:
- Kundi A na Kundi AB+
• Kundi linaloweza kusaidia damu:
- Kundi A+, A-, 0+ na 0-
2. Kundi 0+
• Kundi unaloweza lisaidia damu:
- Kundi 0+, A+, B+ na...
Moses Musonga: Kawaida wanaume hawana matiti lakini mimi ninayo
Saratani ya matiti inapozungumziwa, moja kwa moja kinachowaingia fikirani watu wengi huwa ni wanawake. Lakini wajua kuwa ugonjwa huu...
Kuna muda unaweza kuchana nywele alafu ukashangaa vitu kama cheche za moto/umeme zinaonekana kwa mbali. Jaribu mida ya usiku/gizani uone.
hii inasababisha na nini wataalam?
Habar zenu wakuu..ndugu yenu Nina tatizo la kiafya huu Sasa ni mwaka wa Tisa...
Tatizo hili Lilianza mwaka 2010 nikiwa kidato Cha pili nikiwa shule mwili wngu ulianza kuwa na joto Kali Sana yaani...
Imezoeleka kuwa wanawake pekee ndiyo wameumbiwa kuingia period kila mwezi mara pale wanapovunja ungo, kudhihirisha kuwa sasa wako tayari kuweza kubeba ujauzito na kuzaa
Lakini ni kitu cha ajabu...
Habari wakuu wangu,
Najua humu kuna wataalam na wenye uzoefu mbali mbali na changamoto za afya. Naomba msaada juu ya shida hapa chini.
Mimi ni ME umri wa arround 33 nani mtumishi wa umma...
Samahani nilikua nataka kujua kuhusu bima rahisi maana yangu nilikatiwa na mzaz na sasa haifanyi kazii nimeuliza nhif ziko juu gharama milion moja na laki tano nilikua nataka kujua kuna bima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.