kwa wale dada zangu ambao wamekua wakipitia kipindi cha kuchoka choka mwili na maumivu ya mgongo pamoja na kuwa na uzito mkubwa wa mwili (unene)
hatua hizi zifuatazo ni tiba tosha na wala huitaji...
Hivi hili tatizo ni la dunia nzima au Tanzania?.
Nauliza hivi kwa sababu nataka nijue kama hili tatizo hata huko dunia ya kwanza,ulaya,marekani,hilo tatizo ni kubwa kama ilivyo Tanzania...
Kama mada tajwa hapo juuu isemavyo[emoji jamani naombeni msaada, nimeingiwa na maji sikioni jana kipindi naoga hayajatoka mpaka leo, limeziba sisikii zaidi ya ngoma2 na mchato bc nifanyeje ili...
Nina mdogo wangu ana tatizo hilo linamtesa sana toka akiwa mdogo amefanyiwa operation mara kadhaa na bado unajirudia. Ulimtokea ktk eneo la pua na jicho.
Nawakaribisha wataalamu kwa msaada kama...
Wakuu leo asubuhi niling'atwa na kitu kwenye kidole cha mguu, bahati mbaya sikufahamu hicho kilichoning'ata
Mpaka mda huu kidole kinaniuma
Nimechunguza chunguza nikaja kugundua kuwa niling'atwa...
Ninaumwa kifua miaka 3 sasa ilionekana uvimbe kwenye pafu la kulia lkn wakipima hawaoni kitu, ninashindwa kupumua na ninakohoa damu! Ila awali nilipima wakasema nina wadudu wengi wa amiba ambao...
Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kutoka Hospitali kuu ya jimbo la Shandong nchini China wanatarajia kuja nchini mwezi wa nane mwaka huu kwa ajili ya kufanya kambi maalum ya matibabu ya moyo...
Habari zenu waungwana
natumai hamjambo na mnaendelea vyema na harakati za kila siku katika ujenzi wa taifa.
leo naomba niwajuze faida mbalimbali zitokanazo na majani ya mpera
Mapera ni matunda...
Habari za Leo wanajamvi ni hivi ni miaka mitatu sasa uncle wangu alikuwa anahangaika kutengeneza Dawa ya mitishamba itakayo tibu Cancer na ukimwi hatimae majibu yamepatikana baada ya kuwatibu watu...
Wakuu wana JF. Hivi pindi ifikapo mida ya usiku huwa kuna kitu kina chezacheza/kutekenya sehemu ya haja kubwa pamoja na kuwashwa kwenye makalio iwe Asubuhi, mchana hadi usiku.
Ni dalili ya...
Ndg wana JF Habari za leo.
Napenda niende moja kwa moja kwenye maada.
Nimeoa na ni baba wa mtoto mmoja,mke wangu ni miongoni wa wanawake wenye mzunguko mrefu sana wa hedhi (30-35).
Katika...
Mambo VP wakuu..katika pitapita zangu katika vijiwe nimekutana na jamaa ambae ni bingwa wa research zinazohusu papuchi
Jamaa anasema kwamba asilimia kubwa ya wanawake wanaojichubua ngozi ya mwili...
Ushauri wenu,hivi dawa hiyo unaweza safishia kidonda cha operation na pia kuitumia kama dawa unapo taka kukifunga kidonda hicho au matumizi yake kiusahihi ni yapi
Habari zenu wanajf,
Napenda kuuliza, mie mtu mzima nilikuwa natafuna ubuyu kwa bahati mbaya sana nikajikuta punje moja nimeimeza kwa bahati mbaya.
Je, nifanyaje ili kuweza kuitoa?
Nitashukuru...
Wadau habarini za asubuhi..naomba niende kwenye mada husika hapo juu..nina mdogo wang alikuwa mzima kabisa utotoni lakin kwa sasa hasikii baada ya kupima muhimbili wakatwambia kuwa hawezi kusikia...
Ni mimba changa sana ina mwezi mmoja na siku kadhaa tu,na si mimba yangu ya kwanza,napata maumivu makali sana chini ya kitovu nikipumzika leo kesho mtindo mmoja,na kizazi kimeshuka kwa kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.