Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wadau hamjambo Nina mtoto wangu katimiza miaka 6 tarehe 10 April mwaka huu....sasa tangu meno mawili ya chini yatoke na kuota mengine ni miezi Sita imepita....mpaka sasa meno ya juu hayajang'oka...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wanaJF wote, Nina umri wa miaka 19 npo kidato cha tano. Nipo hapa kuomba ushauri na msaada kuhusu tatizo langu la kusinzia darasani hasa mwalimu anapokua anafundisha, hasa mida ya...
0 Reactions
47 Replies
11K Views
Habari zenu ndugu Napenda kujua ni hospitali gani ntapata huduma ya kupima CTSCAN kwa mkoa wa Dar es salaam.Kwani ninaumwa na daktari alinishauri nikafanye vipimo vya ctscan na ukizingatia natoka...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu, mwenzenu na shida tarehe 1 juz niliamka asubui nikawa naskia maumivu ya tumbo ghafla nikaanza kuharisha nakutapika baada ya kwenda hospital wakanipima nikaambiwa na typhoid na vidonda...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hivi ni baadhi ya vitu sahihi vya kula vinavyoendana na blood group yako. Kila mtu aangalie blood group yake na ajue vitu gani ale na vipi asivile. ZIFAHAMU GROUP (KUNDI) ZA DAMU NA TABIA ZAKE...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Samahani wadau hasa madocta, mtoto wangu ana dalili hii ya ugonjwa ikifika saa nane usiku anapata homa kali mno na ikifika saa kumi na mbili asubuhi homa huisha na anarudi hali ya kawaida tatizo...
0 Reactions
4 Replies
984 Views
Sorry jf doctor widal test ni tatizo/ugonjwa gan.?
0 Reactions
4 Replies
660 Views
Kujitibu mwenyewe ni hali ya kuamua kutumia dawa kulingana na ugonjwa au dalili za ugonjwa ambazo mtu anazisikia au anahisi na kuzifahamu yeye mwenyewe pasipo kupata maelekezo ya mtaalam wa Afya...
0 Reactions
1 Replies
950 Views
Ni hilo tu nataka kufahamu,nimeuliza hivyo baada ya kugundua kuwa mtu aliyekuwa ananizidi kimo nikiwa na miaka 21 yeye akiwa na miaka 31 Sasa hivi namzidi kimo.
0 Reactions
18 Replies
10K Views
Salaam wakuu, kama kuna mtu ana sababu za kitabibu au kisaikolojia naomba atujuze. Mnisamehe kama hii mada sio ya hili jukwaa na kama ilishawahi kujadiliwa.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba kuelewesha sababu zinazofanya mjamzito kuzidisha miezi ya kujifungua nikiwa na maana kwamba kawaida mtoto hukaa tumboni kwa miezi tisa lakini nimekuwa nikishuhudia wajawazito wengi...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Habar wana JF Dada yangu ameletewa lotion Ya kupaka ili eti apunguze mwili, imetengenezwa ña ORFRAME sijui,, nimejaribu kumshauri asitumie nimeshindwa, ivi nikweli inapunguza mwili jamani au...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nilikua nasumbuliwa na tumbo ambalo nilidhani ni tumbo la kawaida, kwani lilikua limewai kuniuma mara kadhaa apo nyuma sana . Kwa kipindi hiki likaja na maumivu makali zaidi ambayo hua naya sikia...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu, Katika mfululizo wa elimu hii, nitakuwa nagusia Nyanja zote, na nitapitia kila kipande cha somo tofauti ili wasomaji mpate nafasi ya kuuliza maswali na maswali hayo yajibiwe. KARIBU PART 1...
3 Reactions
27 Replies
5K Views
Wapendwa hospital gani inayotumia bima ya NHIF naweza kupata daktari bingwa wa ngozi, please share uzoefu ikiwa na Wewe ulishawahi kuumwa na ugonjwa wa ngozi na ukapata tiba.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
MATUMIZI SAHIHI ya dawa yanamaanisha kuwa dawa sahihi imetolewa kwa mgojwa sahihi na kwamba imetumika kwa njia sahihi, kwa dozi sahihi, kwa wakati sahihi, kwa muda sahihi na kwamba gharama ni...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naombeni kufahamu vitu gani naweza kutumia kuongeza hamu ya kula, hatimaye kuongeza uzito.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nashindwa kuamua kati ya 1. Anyonye asubui saa moja na asubiri muda tena mpaka saa sita atakapo rudi mama yake. 2. Nimpe maziwa ya ng'ombe kwa muda huo ambao mama yake atakuwa hayupo au 3. Nimpe...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Back
Top Bottom