Wakuu habar za jioni hii
Polen na mfungo, wa poleni na harakati za familia na poleni kwa safar zote za maisha
Lengo la kufungua uzi huu ni juu ya tatizo la meno pindi mtu anaposugua kitu kwa...
wakuu kutokana na kukithiri kwa joto jijini dar nimekuwa nikioga maji ya baridi ambayo nimewekea mabonge ya barafu je hii inaweza kuwa na madhara kwny mwili wangu? wataalam msaada
nakaribisha maswali yote kuhusu tohara ya mwanaume.
Tohara ya mwanaume ya kitaalamu ni upasuaji mdogo wa kukata na kuondoa ngozi inayo funika kichwa cha uume.
kazi hii hufanywa na wataalam wa...
Habari!
Naomba kujifunza, wewe binti/mwanamke unatumia dawa gani kuzuia mimba pindi unapofanya tendo la ndoa bila kinga?
Kuna wale wanaotumia vidonge vya Asprin au Metronidazole kabla ya tendo...
Naomba ufafanuzi kuna maeneo huwezi kupata kazi au kujiunga mpaka uwe bikra...
Mfano watawa wa RC hiyo ndio sifa kuu ya kujiunga nao,je hizo bikra wanapima kwa style gani?
Sent using Jamii Forums...
Naomba radhi kwanza maana hata mimi nina mama angu aliye nizaa. Heshima kwa wanawake wote.
Naomba kujua huu utofauti wa matiti baada ya mwanamke kuzaa.
Kuna wengine baada ya kuzaa matiti yanakua...
Habari wakuu kuna ndugu yangu anatatizo la kutotoka mkojo ipasavyo anapokwenda kukojoa,mkojo wake unakuwa hauna nguvu unapotoka hata akibanwa vipi na mkojo akenda kukojoa haauna speed kabisa...
Ngoja tuongelee hili swala kidogo.
Huu ni uoga wa kujumuika na watu kwa sababu ya kuogopa kwamba unaweza kufanya jambo la kukuabisha au kuogopa kwamba watu wengine watakuonaje. Hapa haihusu watu...
Wakuu habari,
Naomba Kuuliza:
Hivi kwanini Hospital nyingi kubwa kama TMJ,Rabininsia,Masana nk no nk
Huwa wanapenda Kupima malaria kwa Kutumia kipimo cha MRDT?
Kile kinachotoa majibu baada ya...
Habari! Naombeni kujua nini kinasababisha kichomi na Tiba yake ikoje?...mwenzangu anaumwa na kichomi chini ya ziwa na usiku anapata shida kulala,naombeni mawazo yenu.
Profesa Janabi’s Diet leo Katika Kipindi cha Clouds 360 Tarehe 25,April. Mkurugenzi wa Jakaya Kikwete Heart Institute.
Ametoa njia rahisi ya Kupungua na ukaona matokeo ndani ya Mwezi mmoja tu...
Mtu akidondoka bafuni kumpeleka hospitali mapafu yanajaa damu je inawezekana, ni kweli badae akienda hospitali anafariki. Hii hutokea au ni nadra sana.
Habari ya asubuhi ndugu zangu
Niende kwenye mada moja kwa moja
Ilianza mwaka juzi mida ya saa 10 usiku nilishtuka tumbo lilikua linanyonga sana huku haja kubwa ikawa inauma.nlipoenda uani...
Ndugu wana jamvi poleni na mihangaiko. Jamaa yangu ana tatizo limemuanza yapata mwezi sasa kichwa cha uume kinakuwa kimebabuka yaani kinakuwa na vimelea vya kama kidonda kinachopona yaani kinakuwa...
Kwanza nina tatizo lankuwashwa mwili mzima na natoka vipele vidogovidog hasa pale ninapotoka kuoga je tiba ni ipi na lingine kuhusu koo yaan nikimeza chakula nasikia kitu kinapanda na kushuka je...
Siku hizi ukifungua mitandao ya kijamii utakutana na matangazo mengi ya kurefusha uume, mara kuongeza kiu ya tenda la ndoa au kutibu ukosefu wa nguvu za kiume.
Hawa watu wanakuja kwa ushawishi...
Ndugu wana jamvi naombeni msaada wenu wa mawazo kwani rafiki yangu ana tatizo la kichwa cha uume wake umekuwa umebabuka kama kidonda kinachoelekea kupona na limempata yapata mwezi sasa tatizo...
MAMBO YANAYOFANYA MTU KUNENEPEANA..
Zipo sababu nyingi za kusababisha unene ila leo naelezea sababu hizi tu na pia tutashauri vyakula vinavyosaidia kutatua tatizo hili la unene. Ungana nami...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.