Nahitaji kujua bei ya Kifaa cha kupimia Presha na wapi ntakipata kwa ajili ya kuwa nampima mgojwa wangu kila baada ya siku chache ili kuepusha usumbufu wa kwenda hospital kwa ajili ya ishu hiyo...
Nimekuwa nikisikia wataalam mbali mbali wakisema kuwa vifo vingi vinatokana na utaratibu wa watu kutofanya check up za mala kwa mala,wanasema kuwa hata cancer ikigundulika mapema huweza kupona na...
Naombeni nisaidieni, mtoto wangu alivimba shavu la kushoto last week, uvimbe huo huanzia kwenye sikikio kushuka chini. nikampeleka hospital na akapewa ampiclox akapona, leo asubuhi kaamka kavimba...
Naomba msaada wenu wajameni, mke wangu amepata bahati mbaya mimba imetoka kwa hiyo baada ya kusafishwa hospital.
Baada ya muda gani ataweza kuanza kutafuta ujauzito?
Fursa kwa ajili ya madaktari walio ajiriwa na wasio ajiriwa au wale wamiliki wa vituo vya afya napenda kuwajulisha kuna fursa Mpya kabisa karibuni piga Simu 0758844240 kwa maelezo zaidi
Habar wana jf kitaalamu hii imekaaje kula mchanganyko wa matunda kwa mda mmoja kiafya in vzr au mbaya mfano unakuta sahan ina tkt,embe,papai,parachich,tango,chungwa
Wakuu kama wiki imepita nilikuja dawa za Malaria inaitwa Ekelfin na ikanisababishia kiuvimbe kwenye uume upande wa kushoto na tako ya kushoto pia, nasema hivi maana ni mara ya pili nakunywa hii...
Wakuu kwa mwenye kujua chanzo cha tatizo la mdomo kuwa na ladha chumvi chumvi muda wote, yani kila unachokula au kunywa unahis kina chumvi,kuanzia maji,juis, chai na chakula pia kwenye kula...
Jamani naomba msaada wenu apa
Chanzo cha Kuongezeka na kupungua kwa homoni mwilini husababishwa nanini!!??
Nani madhara gani umpata MTU kama homoni zicpo balance???
Kwa jinsia yoyote,
Ila mm n ME
Jamani, kama kuna madoctor humu, naombeni mnijibu hapa. ninaye rafiki yangu ambaye ameoa mwanamke na kwa muda mrefu sasa hawajapa mimba. yule mke ni ndugu yangu kwahiyo jamaa ni kama shemeji...
Naomba kuuliza nilienda hospital nikaambiwa ninatatizo la left ventricular hypertrophy nikapewa dawa tajwa hapo juu lakin now ni napata maumivu makali kama moto tangu jana usiku ila kabla sijaanza...
Naomba kuuliza nilienda hospital nikaambiwa ninatatizo la left ventricular hypertrophy nikapewa dawa tajwa hapo juu lakin now ni napata maumivu makali kama moto tangu jana usiku ila kabla sijaanza...
Wandugu habari za kutwa, ninashida ya ugonjwa wa nyonga upande wa mguu wa kulia, jambo ambalo ni la muda wa wiki sasa.
Nimeenda Agakhan Hospital na kupiga x ray ambao imeonyesha kuna hilo tatizo...
Kwa muda wa takribani cku 5 zilizopita hadi sasa ninasumbuliwa na maumivu ya jino ila baada ya kukutana na doctor m1 nikaelezwa kuwa 1wapo ya matatizo ya maumivu ya meno ni kwenda chumvini haswa...
Avocado health benefits are extensive and include:
Avocado eaters tend to be healthier. A 2013 study published in the Nutrition Journal found that avocado consumers tend to have higher nutrient...
Samahani najua mara nyingi watu wenye miili mikubwa hasa vitambi vikubwa wanakuwa na maumbile madogo. Je mwaume mwenye mwili mkubwa akipungua anaweza kuongeza maumbile yake au anatakiwa afanye...
Nilienda hospital nikaambiwa ninatatizo la kwenye moyo yani left hypertrophy nikapewa dawa hapo juu ila tangu nianze kuzitumia ni kweli mguu wa kushoto ulikua unauma sana kabla now hauumi ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.