HUTOKANA NA MIKAO MIBAYA/POOR POSTURE
Mara nyingi ukikaa muda mrefu kutumia computer huwa tunapata maumivu ya misuli ya shingo na mgongo.
Mikao mibaya husababisha tension kwenye misuli ya shingo...
1. Kufanya tendo la ndoa mara kwa mara, angalau siku tatu kwa wiki, ikiwezekana on alternate days.
2. Tumia ovulation prediction kit, hiki ni kifaa ambacho kitakusaidia kujua wakati hasa mwanamke...
Habari wana JF
Nina mdogo wangu anakumbwa na majipu kila wakati tumempeleka hospitali akapewa dawa ambazo kwa maezo ya muuguzi ni kwaajili ya kukausha na kuzuia kutojirudia tena lakini bado...
Amani iwe nanyi!
Niende moja kwa moja kuelezea ugonjwa wenyewe,
Wandugu kuna rafiki yangu wa kike ni rafiki yangu wa mda mrefu, mwaka 2007 akiwa shule kidato cha pili alipatwa na ugojwa ambao...
Hallo JF Dr.
Naomba msaada kwa madoctor wataalam wa afya.
Mwanangu wa Kike Ana umri wa Miezi mitatu na siku 7, kuna baadhi ya siku huwa anapata Choo laini chenye rangi ya kijani ila sio pure...
Nilinunua line ya tigo ya chuo juzi na kuisajili kwaajili ya internet tuu, niliambiwa kuwa ukiweka 2000 unapata 4gb kwa wiki, kweli baada ya kuikamilisha menu ilikuwa hyvyo na niliunga, sasa leo...
Nina tatzo la kichemba juu ya tumbo wasukuma wanasema (kagembe)panauma sana mda mwingne mpka nyuma ya mgongo pia choo kinakuwa kigumu sana tumbo kujaa ges bila sababu hasa mida ya jion, nimewahi...
Ni watoto wa ndugu,baba zao wamezaliwa baba na mama mmoja,walikuwa wanafanya yao yakatokea hayo yaliyotokea.
Tunaambiwa ndugu wakioana kuna uwezekano mkubwa wakazaa mtoto ambaye ni taahira,ili...
Nimezunguka mitaa ya fb kuna kitu imenishangaza sana baada ya kuona tangazo na mfano wake.
Nikaseme sio hiyana ngoja niulize wana wote wenye ujuzi wa hii mambo.
Swali la mwisho kwa wale wa...
Rhesus Factor is an antigen that exists on the surface of red blood cells in most people (about 85% of humans). It is also referred to as Rh Factor. People who have the Rh have “positive” (+)...
Habari za asubuhi wana Jamii<br>Kuna hili tatizo la wanawake kuchanwa wakati wa kujifungua ili kuongeza njia mtoto apite vizuri na baada ya kujifungua mama hushonwa, Sasa huwa inatokea kuwa...
kichwa cha habari cha husika.
nimeamua kurudi tena, kila mwenye sikio na asikie, kila mwenye macho aende hospital akajionee mambo yanayo tokea kwa waathilika walivyo kosa matumaini na wanavyo...
Habari zenu wakongwe..!?
Kuna hii hali ambayo huwa inanitokea mara kwa mara,yaani huwa inanikera ile mbaya..!
Yaani kuna wakati nikiwa napumua huwa nahisi hewa inataka kupitia kwenye masikio,yaani...
JE UNAPATA DALILI HIZI
1.Maumivu makali eneo la kalio
2.Maumivu makali eneo la mgongo kushuka chini mpaka kwenye vidole vya mguu
3.Ganzi sehemu ya paja,miguuni, vidoleni
4.Baridi au miguu...
Nimeamua kuiweka hii thread huku kwa faida ya wote maana huku panatembelewa na wengi.
Mara nyingi utasikia watu wanasema nimeahirisha kunywa dawa maana asubuhi nilikunywa maziwa.
Je, ni kweli...
Am Ali Abdi, aged 26yrs old. Nimekua na shida ya korodani moja ya upande wa (right) Kwa kipindi kirefu sasa. Kama ni ngono bila kinga, niliwahi kufanya Mwaka wa 2012 ambapo nilipata ugonjwa wa...
UGONJWA WA DENGUE NI MOJA KATI YA MAGONJWA HATARI AMBAPO IMETAJWA KUWA WATU 12000 WAMEGUNDULIKA NA UGONJWA HUO KUANZIA MWENZI JANUARI MPKA MWENZI WA TANO HUKU JIJI LA DAR ES SALAAM LIKIONGOZA KWA...
Baada ya kuzaliwa mdogo wangu alionekana ana tatizo la korodani kuto kushuka katika eneo lake (scrotam) na kubakia kwa juu tumboni yaani hazishikiki...,
Tulichelewa kufanya maamuzi ya kumuwahisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.