Ndugu dr, naomba msaada mke wangu bsdo mwezimmoja kujifungua ila ameanza kukooa kooa na pia tumbo hua linamuuma.
Hi ni kwasababu gani na dawa yake ni ipi,
Habari za majukumu! Mm Nina shida ya lips zangu zimekuwa red (mouth ulcers?) kutokana na kuishi sehemu ambayo ni kame kwa kipindi Cha muda mrefu takribani miez mitano hvyo kupelekea kukosa kula...
Habarini wana Jf
Nime bahatika kupata mtoto wakiume ametimiza miezi miwili sasa...tatizo nikwamba hapata choo leo ni siku ya sita
Je tatizo ni nini au kuna njia yoyote yakumsaidia apate choo?
Husika na kichwa na habari hapo juu.
Mimi ni kijana 26 yrs, Mwenye afya nzuri tangu nikiwa mdogo sijawahi kusumbuliwa na matatizo makubwa ya kiafya.
Lakini tangu miaka miwili nyuma nimeanza...
Habari zenu?
Naombeni ushauri nilikuwa naumwa na typhoid na vidonda vya tumbo kwa muda wa kama wiki 2 hivi na sasa hivi bado nipo kwenye dozi ila cha kushangaza toka Jana naona miguu inavimba na...
Japo sijawahi kushauriwa na daktari kwamba dawa hii ukimeza usinywe maziwa, lakini nimelelewa nikiaminishwa hivyo kwamba dawa na maziwa fresh haviendani. Sababu kuu ni kupunguza nguvu ya dawa. Je...
Naenda kwenye maada
Eti jamii ya hizi dawa kikawaida unatakiwa kufunua na kumimina unga wake au unameza nzima kama ilivyo?
Nmeuliza kwasababu wengine wanakupa maelezo kua usifunue umeze zilivyo...
Wandugu habari zenu. Nina tatizo sijajua ni allergy au ni nini, siwezi kushia vitu vya baridi au kunywa, mfano maji, soda etc...Hata maji baridi kuogea nashindwa. Ikitokea huwa nakuwa nawashwa...
Naomba kuuliza kama kuna uhusiano wowote kati ya acid reflux na matezi kuvimba chini ya mataya (submandibular lymph nodes)?
Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la acid reflux kwa kipindi cha miezi 5...
Nna tatzo la meno ya mbele yameoza so daktari aliniambia tofauti na kuyatoa ni bora kuweka crown,so nahitaji kufahamu kiundani zaidi kuhusu hyo crown inawekwaje faida zake madhara yake na gharama...
JINSI VYAKULA TULAVYO NDIVYO VINAVYO TUMALIZA TARATIBU.
LEO napenda kuchukua fursa hii kueleza kwa mapana na marefu suala la vyakula na namna ambavyo vimekuwa chanzo kikuu cha maradhi sugu...
Wakuu habari, nahitaji kuonana Na dr bingwa wa wanawake kuhusu mambo ya uzazi, mwenye kujua wapi anapatikana, Mawasiliano yake au hospital gani tafadhalini msaada kwenu.
Naomba msaada jamani mke wangu ana mimba ya miezi miwili na wiki moja ambayo ndiyo mara ya kwanza kushika mimba lkn leo ameona dalili ya hedhi kutoka baada chupi yake kuonesha ina damu kidogo lkn...
Akikaribia siku zake tumbo linamuuma kwa chini upande wa kushoto na akimaliza hedhi bado linaendelea mpaka wiki inafika.
Je, nini itakuwa tatizo wataalam?
Naomba kujua hii taarifa ya kupunguza sifa za kudahili wanafunzi watakaopenda kusomea uuguzi na ukunga hii imekaaje? Sidhani kama shida ni vigezo kutokwenda kusoma hiyo fan, japo inawezekana.
Mwanangu huwa anasumbuliwa sana na tumbo wakati hali ya hewa inapo badilika mawingu yanapo finga huwa analia sana mpaka umchemshie mizizi ya mndula atakapo kunywa tu ile hali inapotea sijajua...
Mfano nme sex na mpenz wang ambaye aliingia hedhi tarehe 2/4/2019 ambaye hedhi ilikatika tarehe 8/4/2019 nikasex nae tarehe 22 /04 /2019 lakn siku zake huwa zinabadilika badilika hv hapo anaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.