Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Jaman naitaj msaada wenu,miezi miwil xaxa nasumbuliwa na Mafua na maumivu sehemu mbalimbali za mwili, naombeni msaada nn tatizo.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kucheua kwa mtoto ni kitendo cha mtoto kutoa mabaki ya chakula yanayopitia mdomoni muda mfupi tu baada ya kula ama kunyonya. Kwa wazazi na walezi wengi, ni kitendo cha kawaida na mara nyingi baada...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Ndugu watanzania wenzangu afya njema ndio kila kitu maishani
0 Reactions
0 Replies
731 Views
Ni takriban mwaka wa tatu nikiwa na nasumbuliwa na tatizo la meno kutoboka hvyo kupelekea kung'olewa jino lakini kwa miez sita nimekuwa nikiziba Ila tatizo linalonisumbua kila nikiziba meno baada...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Samahani nilikua naomba kuuliza ngozi yangu ya uso ni ya mafuta lakin na shangaa nina kama wiki ivi ngozi yangu imebadilika na kua kavu na yenye mikunjo na mabaka kwa mbali sina mafuta hata kidogo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
swali, "Unawezakua na dalili za HIV/AIDS na kwenye vipimo vya HIV 1/2. Vikaonesha negative. Apo inakuaje members wenzangu ebu mnisaidie!!!??
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Niaje wadau vidole vyangu vya Mikono vimekiwa vikiwasha na Kutoka vipele ambavyo vipo Kwa mbali kama vionekanavyo hapo pichani.. isitoshe nimekuwa na kauchovu flani.. Mafua yasiyoisha mwezi na...
1 Reactions
61 Replies
14K Views
Kuna askari magereza mstaafu huko Kenya aliyekuwa kazi yake ni kutekeleza adhabu ya viboko. Anasema wao walikuwa wakichomwa sindano iitwayo TLP ( sina hakika kama matamshi yake ni hayo au...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mwanaume mwenye uwezo wa kuzalisha anahitaji kuwa na mbegu zisizopungua milioni 20, chochote chini ya hapa kinaweza kuwa sababu ya kutokutungisha ujauzito. Ikitokea umegundulika kuwa na mbegu...
2 Reactions
13 Replies
88K Views
Chanzo cha stress na madhara yake mwilini Hali ya mfadhaiko inasemwa kutokea wakati ubongo unapokabiliana na tatizo la mvurugiko wa akili na kujikuta ukishindwa kuendana na hali zingine...
1 Reactions
5 Replies
11K Views
Nina tatizo la kukaukiwa na koo kiasi kwamba napata shida hata katika kupumua na kuongea.nisaidie wana JF
0 Reactions
31 Replies
71K Views
karibuni hapa tufahamiane. kama wewe ni dokta / other health related professional coment hapa.
0 Reactions
2 Replies
812 Views
Wakuu katika pitapita zangu nimeona dawa kubwa ina herufi G nimeshindwa kujua ina tibu ugonjwa gani?
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Heshima kwenu wakuu natumai mmeamka vyema Natamani kujua juu ya jambo hili la kupungukiwa damu . Ilikua mwaka jana rafiki yangu kipenzi alimpoteza mdogo wake sababu ilikua kupungukiwa damu ...Leo...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu habari. Jamani wiki iliyopita nilipata muwasho sehemu za siri usio wa kawaida. Muwasho huo uliambatana na uchafu wa rangi ya maziwa uliofanana na mtindi lakini haukuwa na harufu. Yaani...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Kuishi muda mrefu ni matamanio ya kila binadamu, kwa sababu kila aliyezaliwa ana kusudi la kutimiza kabla ya kuondoka duniani. Mazoezi ya mwili na ulaji wa chakula bora yanatajwa kuwa sehemu...
0 Reactions
16 Replies
11K Views
Habari waungwana nina miaka 23 ninatatizo la macho... siku hiz za karibuni kila nikiamka asubuhi huwa naona ukungu yaan sioni vizuri na nakuta macho yamejaa matongotongo tofauti na hapo nyuma. Je...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Gghhh
0 Reactions
0 Replies
599 Views
1. Nyuzi za kushonea wanadamu hutengenezwa kutoka Nyama ya Ngozi ya huyu mnyama. 2. Insulin ya kuwatibu wagonjwa wa kisukari hutoka kwa hawa wanyama. # PIGS SAVE LIVES
9 Reactions
32 Replies
3K Views
Mimi nina mke wangu na ananyonyesha mtoto wa miezi 7,lakini kutokana na hali halisi ya kibinadamu tumejikuta tukifanya mapenzi..bila kinga.. Je,anaweza kushika mimba?
0 Reactions
11 Replies
43K Views
Back
Top Bottom