Miezi kama miwili hivi iliyopita kuna mwanamke nilikutana naye. Sikusex naye zaidi ya romance (Nashukuru Mungu). Siku mbili zilizopita nimesikia kuwa ni muathirika na anakunywa dawa na rafiki zake...
Nilikuwa na tatizo la mafua yasiyoisha nikapewa koflyn Sasa nilivoanza kuinywa hii sryup nikagundua inanipa usingizi mzuri Sana hata nilivyomaliza chupa ya kwanza ikabidi nikanunue chupa Nyingine...
Mtoto wa Jicho hufahamika kama (Cataract) ambapo lensi ya jicho inakuwa na hali ya ukungu ambapo huzuwia mwanga kuingia ndani ya jicho, matokeo yake ni upofu.. Mtoto wa jicho shida inakuwa kwenye...
Habari wandugu iko kidole kina mwezi wa pili sasa tumejaribu kumkamua lakini hakijatoa usaha kwa hivyo sio jipu na pia sio mdudu maana watu wanadai mdudu hawezi kudumu kwa kipindi kirefu hivyo...
Msaada kwenye tuta
Mke wangu amebakiza wiki 2 tu kufiisha miezi tisa ya ujauzito wake but sikuya pili leo tumbo limemsumbua sana nimefikisha hospital wanasema njia inafunguka
Je, inawezekana...
Watu husumbuliwa na maumivu ya shingo pale wanapo amka asubuhi
Wakati mwengine aina ya mto wako unaotumia unaweza changia Hasa mto ukiwa
1. Mgumu sana
2. Mkubwa sana
3.Mdogo sana
vitu hivi...
Mapungufu ya Damu kwa mama mjamzito huweza kupelekea ukuaji hafifu wa mtoto alieko tumboni, kuzaa mtoto njiti, mtoto kufia tumboni na pia chupa ya mtoto tumboni kupasuka kabla ya wakati || kiasi...
Katika mada ya leo tatazungumzia baadhi ya matatizo au magonjwa yanayosababisha maumivu katika mifupa. Kwa sababu matatizo yanayoleta maumivu katika mifupa ni mengi mno, tutajaribu kuzungumzia...
Tafadhali naombeni msaada kuna Mtoto wa rafiki yangu ana ugonjwa pengine niute wa ngozi, pembezo mwa unyao wa kila mguu amechanika chanika sana kama Yale wanayaita masagamba!
Dawa IPI...
Wakuu Salaam!
Njia za Kisasa za uzazi wa mpango ambazo zimekua zikitumika hasa nchi za kiafrika pamoja na kuwa na msaada lakini zimekua zikisababisha madhara makubwa ya Kiafya lakini Mara nyingi...
Tunaambiwa Dengue huenezwa kupitia mbu "aedes".. carrier wa vijidudu vya dengue, Asa kwanini mbu huyo hujitokeza tu baadhi ya miaka, Katika miaka mingne ambako huwa hatuskii dengue, mbu huyo huwa...
Ni wangapi walishatumia vyoo vya hospitali? Hapo juu ni moja ya vyoo vyenye hali bora.
Kwanza unakuta mfumo wa maji taka ulishaenda likizo ya kudumu na choo bado kinatumika.
Hilo bakuli unakuta...
Salama wakuu.
Heshima kwenu.
Lipo tatizo ambalo linawakuta baadhi ya wanawake ambapo hutokwa na damu mfululizo siku kadhaa mara baada ya kufanya tendo la ndoa. Damu hii inakuwa kama ile...
Jana nilishindwa kuendelea kujibu maswali kwenye uzi wangu niliouandika ghafra tu baada ya kubanwa na maumivu makali ya tumbo la kuharisha(diarrhea ) na hii ni baada ya kugundua kwamba nilikunywa...
salam kwenu wana jf.
wakuu kama kuna anayejua hiyo tiba naomba anisaidie ,au aliyewahi kupona tatizo kama hili la kutokusikia harufu naomba mwongozo wa tiba hili tatizo nimezaliwa nalo ,kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.