Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Heshima kwenu wanajukwaa..! Ni muda mrefu sana nimekua nikitumia miwani ya macho... Kwasasa ninafikiria kuanza kutumia contact lenses,kwasababu matumizi ya miwani kuna wakati yananipa changamoto...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani wakuu mwanangu anahoma siku ya pili leo nimempeleka hospitali kapimwa hana maleria wala hana UTI wakampima kipimo kinachoitwa ESR wakasema ni 80 sijaelewa hii ni nini au ni ugonjwa gani huu
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Ni matatizo ya kawaida na huwapata watu kuanzia umri wa miaka 45 lakini wengi husumbuliwa zaidi katika miaka ya 80. Mtu ambae hupata matatizo haya tabia zake hubadilika; - hutafuta maneno wakati...
5 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwili wa binadamu unafanya mambo mengi ya kibaiolojia ambayo mara nyingi ni vigumu kuyaelewa. Mwili una mifumo mbalimbali ya ulinzi ambayo inatulinda na hatari zinazoweza kutudhuru. Mifumo hiyo...
76 Reactions
278 Replies
46K Views
Baada ya askari wawili wa jeshi la polisi Tanzania, Nelson Mkonda na ASP Benedict Nyamatara kujiua kwa risasi ndani ya siku moja (juzi) ni vema kuangalia angalau juujuu mambo kadhaa, hasa eneo la...
5 Reactions
4 Replies
4K Views
Habar, rejea mada tajwa hapo juu Ni siku ya pili nmekua nikihisi kama kohozi flan lipo kohon kila nkijatahid kujikoholesha lakin halitoki. Naomba uelewa juu ya hili tatizo na jinsi ya kuliondoa.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wapendwa kwanza kabisa poleni na majukumu ya wiki zima. Kutokana na kichwa hapo juu.Nianze moja kwa moja kwa kuwapongeza madaktari wenye moyo wa huruma na wakujitolea kuelimisha jamii juu ya elimu...
35 Reactions
114 Replies
27K Views
Naulizia hospitali ya private yenye kutoa huduma nzuri lakini bei zake ni nafuu maeneo ya Dar. Je kipimo cha ultrasound kinagharimu kiasi gani.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Natumaini wote mu wazima mpaka kufika hapa. Naomba kushauriwa hospitali gani ya private ni nzuri kwa kujifungulia na gharama zake zikoje kwa njia ya kawaida au mkasi? Nilikua muhimbil earlier...
0 Reactions
80 Replies
35K Views
je, una maumivu ya viungo?? mgongo,shingo,bega,kiuno,nyonga,magoti,miguukuwaka moto,ganzi mikononi na miguuni???? Niulize swali nikupatie ufumbuzi wa tatizo lako .
0 Reactions
57 Replies
10K Views
Hasa hasa napenda kuulizia dawa moja nasikia iko huko Bukoba inatibu magonjwa mengi sana wenyeji wa huko mtaniambia, Lakini kikwetu dawa matata bingwa wa yote ni mwarobaini Karibuni
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Habari Za weekend. Kama kichwa cha habari kinavyo sema kuna ndugu yangu ni mdada alipima kwa Wachina Dar akaambiwa ana Lupus. Je huu ugonjwa una tiba? Make nimejaribu ku google naambiwa huwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ndugu zangu naomba kueleweshwa kuhusu vitanda vya kufanyia mazoezi vinavyo tumia umeme,he ni kwa wagonjwa au hata wazima,na je,faida zake ama hasara zake kama zipo,kwani naona vimeenea karibu kila...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni miezi mitatu sasa tangu tuoane na mke wangu na tumekuwa tukifanya ngono mara kwa mara ili tuanzishe familia lakini mke wangu hajashika ujauzito hadi sasa. Je, nini inaweza kuwa sababu?
0 Reactions
84 Replies
9K Views
Kwa watalaamu toka Afya Je NHIF inacover gharama za vipimo vya Sperm analysis na hormonal imbalances?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, Heshima kwenu Mada tajwa hapo juu, ninasumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi kwa sababu ya mawazo, Sio siri ninateseka sana naombeni kwa wanaofahamu vyakula mbalimbali ambavyo huongeza...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ukomo wa hedhi ni wakati ambao mzunguko wa hedhi huisha na kwa hali hiyo mwanamke hawezi tena kushika mimba-lakini ni vitu gani hutokea kwa mwanamke huyu wakati wa ukomo wa hedhi na kwa nini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
BBC News Swahili | Mwanamke mjamzito ajifanyia upasuaji na kutoa mtoto Tanzania - https://www.bbc.com/swahili/habari-48470420?ocid=wsswahili.chat-apps.in-app-msg.whatsapp.trial.link1_.auin...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hellow wanajf miaka kadhaa nyuma nilikwa na UZITO kilogram 58 ambazo nimekaa nazo kwa takribani miaka mi5. Lakini miaka miwili ya karibuni niliongezeka kidogo na kuwa kg 63. Lakini Cha ajabu kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom