Wakuu,
Naomba kuuliza,
Huyu manzi wangu nimekuwa nae mda, sasa hivi karibuni kuna style nimempatia basi ana mwaga maji balaa, lakini inachukua mda kuanzia lisaa.
Sasa tatizo mwenzangu anataka...
Aiseee salaam kwanza popote mlipo natanguliza shukrani
Mi ni kijana 24 years sina historia yoyote ya kuugua uhonjwa mkubwa wowote ule tofauti na homa ndogo ndogo za mafua na kikohoo labda,, sasa...
Maendeleo ya sayansi na teknolojia yamebadili mfumo wa maisha ya watu pamoja na kuathiri afya zao kwa kiasi kikubwa. Hivi leo watu wanatumia vyombo mbalimbali vya usafiri kwenda karibu kila eneo...
MWANAMKE KUKOSA HAMU YA KUFANYA MAPENZI
Tatizo la kukosa hamu ya kufanya mapenzi au kukosa nyege kwa lugha ya mitaani huwatokea zaidi wanawake kuliko wanaume lakini ni wanaume wanaokerwa zaidi na...
Habari ya muda huu.Rejea kicha cha habari hapo juu,ni kwamba nina tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu sana(karibia miaka 15)na hii imesababishwa na tabia ya kujichua kwa muda mrefu sana...
Jioni hii ameanza kupumua kwa shida afu anakataa kunyonya nipo mbali na hospital usafiri nimekoswa nimeenda kwenye kibada kimoja cha madawa nimepatiwa dawa hii
Itanisaidia
Sent using Jamii...
Habari zenu wanajamii wenzangu
Nilikuwa naomba masaada wa dawa ya kuumwa kichwa kwa mda mrefu kwa maana Niko nasumbriwa na tatizo hilo kwa mda wa mwez mmoja na cjui nn tatizo dawa nimetumia sana...
Habar zenu
Naomba msaada
Sioni ule ute ambao unatoka siku ya hatar hvy nashindwa kujua ni siku gani ambayo ni sawa kwangu kwa ajili ya kutafuta mtoto
Na ni vyakula vipi naweza kutumia ili...
Napenda kutoa ushuhuda wangu katika mjadala wa Loliondo ambao umekuwa ukivuma sana katika blog ya michuzi kwa siku za hivi karibuni. Nawapongeza vijana wetu wakina, Magidd Mjengwa, mashaka john na...
Habarini wanafamilia,
Utotoni mwangu nilikuwaga hata sinuki lakini nilivyojiunga na shule ya boarding nikaanza kunuka kuanzia form 2. Basi nimekuwa ninanuka mpaka leo nimeishakuwa mtu mzima na...
Jamani nimeshindwa kuelewa maana ya neno hili PLASMATIC HUMAN VIRUS(PHV)
Naomba kujuzwa na inafanya VIP kazi na nikitu gani hasa
Sent using Jamii Forums mobile app
jaman habar.. mim nina matatiza.. huwa napat san maumiv ya misuli ya shingo mabega na mgongo... nina zaid ya miez mi3.. na nimeshatumia san dawa tofaut tofaut bila ya manufaa yotote.. maumivu...
Wanabidi wataalamu wa afya naomba msaada wenu, mtoto wa ndugu yangu anaumri wa miaka 5, alikuwa analalamika sana kuwa anapata maumivu ya tumbo baada ya kula chakula na walipompeleka Hospitali...
Habari za leo wapendwa
Cancer ya utumbo mkubwa (Colon Cancer) ni ya tatu duniani kwa kusababisha vifo ukitoa breast na lung cancer. Dalili za cancer hii ni pamoja na kupungua damu, kutoa damu...
Habari wandugu,jamani nimepata tatizo pindi nikiwa nafanya mapenzi na mpenzi wangu uume huwa unasimama lakini nikianza kumfanya tu kama dakika moja hivi umme husinyaa ghafla na hausimami tena sasa...
Naomba kusaidiwa kuwa ni kwa nn ugonjwa wa maralia hauwekwi ktk list ya magonjwa ya kuambukiza km HIV?,au vp mtu akifanya mapenzi na mgonjwa wa maralia na michubuko kwa wote ikatokea si wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.