Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mara nyingi wanaume wanaojichua [masturbation] ni wale ambao hawana wanawake, Wanaume wengine hawajichui kwasababu wamepoteza hamu ya tendo la ndoa [sex]. kutokana na mapungufu ya hormone ya kiume...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Ni kijana wa miaka 38, tatizo langu kubwa ni kushindwa kuzuia mkojo hasa nyakati za baridi au nikinywa maji mengi, sikua hivi mwanzo lakini nashindwa imetokana na nini. Mkojo unakuja kwa ghafla...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Msaada wenu wapendwa mwanangu ana miezi 5 amekuwa akisumbuliwa na homa yaan anakuwa na joto kalii kichwani mikononi na tumbo ila kila nikienda hospital mtoto hana malaria. Japo mwanzo nilimkuta...
0 Reactions
57 Replies
9K Views
Habari tafadhali naomba msaada kwa member wanaoishi mwanza wapi naweza kupata chanjo ya mtoto mchanga (Siku kumi) ile ya begani bugando hazikuepo siku amejifungua na kituo cha afya hapa karibu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta vijana wa maabara aliyetayari kufanya kazi mwanza anitafute PM NB LAZIMA AWE AMEMALIZA KOZI MIAKA MIWILI AU MMOJA
0 Reactions
0 Replies
432 Views
Madaktari wetu kwa baadhi ya hospital na vituo vya afya wamekuwa kama sio madaktari kabisa. Leo mtoto wangu amepelekwa hospital moja mkoani singida kupima afya mara baada ya kuonekana anatapika...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
habari wakuu Msaada wa haraka unahitajika huyu doctor nasikia ana patikana aghakhan je kuna hospital nyingine nanaweza kumpata? Pale gharama zao kubwa sana kwa sisi wa hari za kawaida...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau naomba kujuzwa kama kwa hapa Dar es Salaam au Tanzania tuna Hospital inayohusika na hicho kipimo tofauti na pale kwa Mkemia mkuu wa Serikali. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Hello pipo, naomba kujua iwapo Tanzania kuna kipimo cha DNA. Na je ni bei gani!!? Hawa watoto nataka nikawapime, coz simwelewi wife hasa huyu mtoto wa mwisho, nlikuwa masomoni kwa mda sasa...
0 Reactions
26 Replies
10K Views
Wadau naulizia ni Chuo gani kinatoa CHETI katika kozi ya HIV &AIDS COUNSELLNG? Kiko wapi na ada zake zikoje?
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajukwaa leo tangu asubuhi mdomo wangu wa juu unacheza tatzo ni nini? Au kiashiria chake ni nini?
2 Reactions
19 Replies
46K Views
Wakuu ...Naomba msaada wa Tiba ya mtoto anayejikojelea kitandani kila siku. mtoto wa miaka 10 asanteni.
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Magazeti na vyombo vya habari kwa jumla nchini Afrika Kusini leo vimekuwa vikijadili sera ya ukimwi ya rais wa zamani wa nchi hiyo Thabo Mbeki. Swala hilo limeibuka upya baada ya Mbeki kujaribu...
0 Reactions
71 Replies
12K Views
Ebu jiulize unakula mara tatu kwa siku halafu unaenda chooni mara moja au baada wiki au mwezi, je unadhani chakula kinachobaki kinajificha wapi ?! Ebu tafakari mfano huu wewe hapo ulipo una uchafu...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
wakuu heshima kwenu. Nini husababisha mwananke kupata hedhi mda mrefu bila kukata...shemeji yangu ana mwezi wa tatu sasa anatatizo hilo..anatumia dawa za homoni inakata dawa zikiisha tu inarudi...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Figo ni kiungo muhimu sana katika mwili wa mnyama na binadamu kwa kufanya kazi nyingi ikiwemo kutoa taka mwili n.k Figo hukumbwa na matatizo mbalimbali ambazo huathiri utendaji wake kazi. Leo...
28 Reactions
103 Replies
11K Views
Dahh hili limekuwa tatizo kubwa sana tuwasaidieje hawa jamaa wananuka ma.pu.m.bu yani akitoa boksa hali ya hewa inabadilika na hata zoezi la BJ linafanyika kwa tabu sana
5 Reactions
81 Replies
23K Views
Mirungiu ni mmea ambao una majina mengi kulingana na eneo husika ambao unatumika , mfano wapo wanaita gomba, miraa, mirungi na majina mengine kama hayo. Ulaji wa mirungi ulianzia Ethiopia...
1 Reactions
2 Replies
16K Views
Kama kuna anayejua dawa ya tatizo hili,atujuze wakuu
1 Reactions
21 Replies
34K Views
Habari wanajamvi? Katika kipindi cha kuanzia 2010-2016 nimepoteza ndugu wa KARIBU sana 7 wakiniacha kwa maradhi ya saratani ya KOO,KIZAZI NA INI. Hapa naandika ndio jana nimezika mtu wangu wa...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Back
Top Bottom