Wanaojua mahali naweza nikanunua sildenafil citrate (viagra) hapa Dar- es- salaam,naomba mnielekeze.tafadhali mnitajie bei ya tembe moja.It will be better if i also get refferals-yaani kama...
Figo zina majukumu muhimu sana katika mwili wa binadamu- kwanza inaondoa sumu kutoka mwili wa binadamu na kusafisha damu na kutoa sumu zote.
Kama figo haifanyi kazi vizuri, basi hii inaweza...
Ni tatizo linalo gharimu maisha ya watu ni vipi mtu anaweza jikinga na tatizo hilo Je gharama za vipimo vya figo ni rafiki kwa mtu wa kawaida endapo mtu atahitaji kufanya kidney checkup, vyakula...
RM, May his Soul rest in peace.
WanaJF poleni kwa msiba. Kama ilivyo ada, na tunavyofundishwa, kutokea kwa msiba ni nafasi yetu sisi wazima kuji analyse na kuji assess kiroho na kiafya. Kufuatia...
Habari zenu wana JF, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi huwa napata sana ilo tatizo la moyo kwenda mbio sana sana wakati wa usiku pia nikistuka pia moyo unaenda kasi sana mpaka inanibidi...
SECONDARY INFERTILITY:
hii ni aina ya ugumba ambao hutokea baada ya mtu kushika mimba moja au zaidi. Imekuwa maarufu kuliko ugumba wa kushindwa kushika mimba kabisa. Huu unasababishwa na mambo...
Kama nilivyoandika hapo juu mdogo wangu ameugua ugojwa wa ngozi akiwa shule. Tumejaribu kuuguza na kumpeleka KCMC na ndipo wakachukua kipande cha nyama ipi kujua tatizo. Matokeo yalipotoka...
“Why HIV cure and cancer?” asked Nobel Laureate Professor Françoise Barré-Sinoussi at a meeting in Paris last month. Renowned for co-discovering the HI virus in 1983, she said that the two had...
*SABABU ZA MAGOJWA YA FIGO. JIHADHARI NA ONYEKA!.*
*JINSI YA KUONDOKANA NA JANGA HATARI LA UGONJWA WA FIGO:*
*1.Usichelewe kwenda HAJA.* Kutunza mkojo kweye kibofu...
*SABABU ZA MAGOJWA YA FIGO. JIHADHARI NA ONYEKA!.*
Raia wa Ghana wanazidi kufa kwa matokeo ya ugonjwa wa Figo.
*JINSI YA KUONDOKANA NA JANGA HATARI LA UGONJWA WA FIGO:*...
Jamani mimi nina tatizo naomba msaada tafadhali
Tatizo langu ni kwamba nahisi kama muwasho au kama vile kuna wadudu wadogo sana mithili ya utitiri(kwa kuku) wanatambaa juu ya ngozi lakini si...
jamani daktari gani Dar anaweza kumsaidia ndugu yangu ambaye ni mvulana miaka 19 mwaka wa pili ana kijipu kinaota ndani ya pua na kinamletea maumivu baada ya muda kinatoweka na baada ya miezi...
Habari zenu waungwana
Leo naomba tujadiliane kuhusu ugonjwa mkubwa wa mawazo (Stress disease) ambao naamini 99% au 100% ya watu wote duniani wanakumbwa na ugonjwa huu ambao haujulikani au...
Jamani naombeni msaada wa mke wangu kusumbuliwa na maumivu makali ya mshono, yanayokuja na kuondoka leo yamezidi alijifungua kwa operation miezi minne iliyopita anaumia sana mpaka namuonea huruma...
Wakuu nasumbuliwa na macho hasa jicho moja la upande wa kushoto..yan likianza kuwasha linawasha kweli kweli
Najitahid kujizuia kulifikicha ila nashindwa matokeo yake nayafikicha mpaka nahisi...
Inasemwa kuwa “wewe ni kile unachokula” kwa kumaanisha kuwa mwonekano wetu na afya ya mwili na akili unajengwa na chakula tunachokula. Madhara ya chakula chetu tunachotumia yako pia katika ngozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.