Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Asanteni wakuu
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nina tatizo zaidi ya mwaka sasa huwa nadondoka na kukakamaa na povu likinitoka kama ninavyoelezewa na ndugu zangu. Kama kuna anayejua dawa ya haya maradhi naomba anisaidie
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wataalam, Nina mwanya kwenye taya la chini. Mwanzo niliona kama issue ya kawaida tu coz ilikua ngumu mtu kunotice, mwanya ulikua mdogo sana. But kadiri siku zinavoenda naona unazidi kupanuka...
2 Reactions
89 Replies
20K Views
Habar, naomba kufahamishwa PID ni ugonjwa gani, unasababishwa na nn? Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
8 Replies
10K Views
Habari Wakuu. Naomba kujuzwa wakuu wapi naweza pata huduma ya Psychometric assessment test kwa Dar es salaam. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Brothers n' Sisters! Lolypop napata maumivu makali upande wa kulia chini kidogo ya mbavu, ambayo yanakwenda mpaka mgongoni. Hali hii hunitokea baada ya kula kama nimekaa muda mrefu bila kula. Je...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
MARADHI YANAYOTIBU HABBA SODAMatumizi Ya Kunufaisha Ya Habbat Sawdaa-1 (haba Soda – Chembe Nyeusi Imefasiriwa na Iliyasa bint Maulaanah Al-Bukhaariy anasimulia kutoka kwa Abu Hurayrah (Radhiya...
2 Reactions
7 Replies
14K Views
Wadau naomba ushauli wenu au anayejua tatizo ili ni nini au tiba yake ni ipi. Mwaka 2012 nikiwa kidato cha tano apo Singida nilipata tatizo la kuvimba joints ( za vidole vya mikono, kiwiko, bega...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Za jioni wadau, Mdogo wangu akiwa na miaka 10 alitemewa mate machoni na nyoka flani mweusi ambaye sikujua ni aina gani ya nyoka mwaka 1999, cha kushangaza macho ya mdogo wangu yalivimba tu na...
0 Reactions
36 Replies
9K Views
wale wenye kuhutaji hii kitu, wanaweza kuja inbox kwa upatikanaji wake.
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Dawa ya sikio jamani lina kama vitu tembea ndani msaada wenu
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nasikia vimaumivu kwa mbaali sehemu ya moyo kwa kuchoma choma unapodunda na hata muda mwingine kwa nyuma yake karibu na bega panauma piaa..kuna muda moyounaweza ukauma wenyewe kama unachoma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
```Tafadhali chukua walau dk 2 kusoma hii: 1. Chukulia ni muda wa saa 1:25 jioni unarudi nyumbani peke yako, baada ya kazi ngumu zusizo za kawaida ofisini. 2. Umechoka sana, una hasira na...
6 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari zenu, poleni na majukumu ya siku! Ndugu zangu ni muda wa miezi mitatu sasa nikiwa katika hali ya sintofahamu juu ya afya yangu na nimekuwa katika depression kubwa sana.. Mimi ni...
2 Reactions
88 Replies
24K Views
Usionee so sema kweli. Ni hatari magonjwa ya zinaa yanasumbua sana wanaume wengi yametutesa wanawake vile vile. Yapo magonjwa mengi ya zinaa kama vile: Kisonono Gono Kaswende Pangusa Haya...
2 Reactions
16 Replies
69K Views
Habari, nimepatwa na tatizo nawashwa uume kwa wiki nne sasa na nimeenda pharmacy kupima anasema sina tatizo lolote, chanzo ni kuwa huwa naishi mbali na mke siku alikuja kunitembelea nilikaa nae...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari zenu wanaJF. Hivi mama mjamzito anaruhusiwa kumeza dawa za minyoo aina ya Albendazole? madaktari naombeni ushauri wenu.
0 Reactions
4 Replies
24K Views
Habari wapendwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kusikia Kama kitu kigumu kwenye koo na makohozi mazito ambayo hayatoki ambapo hata nikila chakula kinarudi nimetembea mahospitalini...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari wana JF? Hivi karibuni nimekuwa nikipata maumivu kwenye korodani kupanda hadi maeneo ya kibofu chini kila nikifanya mazoezi ya kukimbia na hapo awali haijawahi kunitokea hali kama hii, je...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nina tatizo la kuwa na kiu ya maji mara kwa mara hata nikinywa maji baada ya muda mfupi nasikia kiu tena. Pia asubuhi nikihamka nasikia kiu sijui ni Dalili za nini mwenye ufahamu anisadie.
1 Reactions
23 Replies
15K Views
Back
Top Bottom