Wanawake walio na umri wa miaka 30 walio na historia katika familia ya jamaa zao kuugua saratani ya matiti, wanapaswa kufanyiwa ukaguzi wa kila mwaka kubaini mapema iwapo wanaugua ugonjwa huo...
habari wana jamii...
Naomba msaada jinsi ya kupata kibari cha kutoa tiba mbadala au taratibu za kufuata ili kufungua helbal clinic........pia naomba mwenye website ya baraza la tiba asili na tiba...
MADHARA YA KUTUMIA VIDONGE VYA UZAZI WA MPANGO
Serikali huwa haiwaambii ukweli wanawake hasa pale matangazo kuhusu uzazi wa mpango yanaposhika kasi kwenye Tv na Radio
Ili kuepuka kupata...
Habari Dr na wanajamii forum mimi ninatatizo la jicho la kushoto linaniuma sana mpaka na kichwa kinauma tena upande wa jicho LA kushoto nilikwenda kwa Dr mmoja akanipa miwani ila bado napata...
Ndugu wana jf, habarini za kutwa nzima! kwanza kabisa naomba niwapongeze kwa majukumu ya uelimishaji humu jamvini. ama baada ya salam naomba msaada wako wewe mdau wa jamvi hili namna n'takavyoweza...
Habari za Mda huu wakuu wote humu ndani,
Ni matarajio yangu weekend inaenda swadacta na mapumziko yapo sawa sawia
Naomba msaada juu ya swala lililo mtokea Shemeji yangu (Mke wa kaka yangu)...
Je mtoto wa miaka hiyo anaweza kuelezea hali mbali mbali anazosikia, kuziona au kuzihisi nazo zikawa ni halisi na zikahitaji kufanyiwa kazi kulingana na anavyoelezea?
Msaada wenu waungwana
Sent...
Habarin wana jf naombeni nisaidiwe anaejua dawa ya hili tatizo....
Nina tatizo hili mwezi sasa unaisha napata shida sana ktk utokaji wa haja kubwa yani choo huwa kigumu sana nilipoenda hosptal...
Kampuni ya Whitedent wanadai wameweka "active ingredient 0.76% of sodium monofluorophosphate" katika dawa yao ambapo ni tofauti na "Colgate- ambayo wao wameweka 1.1% ya sodium monofluorophosphate...
Habari za mda huu ndugu zangu.
Bila kupoteza mda naomba niende moja kwa moja kwenye maada, ni hivi wiki tatu zimepita nilinyoa zile nywele zinazozunguka haja kubwa as a matter of hygiene, naomba...
Mada tajwa Baba yangu ana tatizo la kutosikia lililomtokea ghafla mwaka 1996 nakupata matibabu hadi kuishia Bugando kutokana na kipato chake kidogo hakufanikiwa kupona na Madaktari walimruhusu...
Ndugu wanabodi,
Kichwa cha habari chahusika.
Nina binti yangu ana miaka kumi sasa lakini anajikojolea sana usiku akilala.
Sometimes huwa namchapa sana viboko ili aache lakini haijasaidia, sasa...
Naomba kuuliza, hivi kwa mtu anaevuta sigara akiwa karibu na wewe ule moshi wa sigara unaweza kukuathiri wewe mtu wa pembeni yake?
Kwani hawa wavutaji wa sigara huwa hawana staha hata mbele za...
Nauliza kwasababu anaumwa tezi mara kwa mara na anahemea juu kama kuna kitu kina mkaba na sauti ni ya shida kusikika
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.