Katika kukua kwangu nimezijua dawa za aina mbali mbali kila siku ntakua naelezea dawa nzozijua nkipata muda leo tuanze na sawa ya allergy mara nyingi mzio au allergy unawapata watoto wadogo kwa...
Wadau nimekuwa na tataizo la muda kidogo na nimeshakwenda kwenye hizi hospital zetu za wilaya kulingana na hali yangu tatizo halijajulikana kwa kweli.
Kila nikitumia chai ya rangi hasa nikiweka...
Naomba nisaidiwe kama Kuna mtaalam wa Magonjwa ya mfumo wa Hewa especially (Astic case) Au Pumu,
Tiba gani ambayo naweza Kutumia au kuipata ili Kupona kabisa au Kupata nafuu Maana Kila uchwao...
Habari zenu viongozi na madokta JF shida iko hivi;-
Ni baada ya kupigwa sindano nane kwa wiki 4 bado tatizo lipo na ndio kwanza linazidi. Tatizo lipo hivi;-
Nibaada ya kutembea na duu mmoja hivi...
Kujiskia uchovu sana na moyo kupiga kwa nguvu na kwa haraka sana mara tu baada ya kula (nusu saa baada ya kula hadi masaa mawili sana sana breakfast na chakula cha mchana)
Kuyumba yumba au kukosa...
UTAFITI: Wanaume wanapaswa kupiga puri (punyeto) mara 21 kwa mwezi ili kujikinga na ugonjwa wa saratani ya tezi dume.
~> https://www.health.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni baada ya kupigwa sindano nane kwa wiki 4 bado tatizo lipo na ndio kwanza linazidi tatizo lipo hivi;-
Nibaada ya kutembea na duu mmoja hivi kama miezi mitatu iliyopita nikaanza kusikia muwasho...
Mazoezi ya kichura chura yanasaidia sana kukaza misuli iliyo athirika kwa ajili ya punyeto
Pia yanasaidia kupeleka damu nyingi kwenye uume hivyo kuupa nguvu uume na kuufanya usimame kikamilifu...
Habari zenu wana jamvi, ni matumaini yangu kuwa nyote mu wazima.
Ninakuja hapa kwanza kakutoa shukrani kwa wadau mbalimbali ambao hutoa michango yao ya kitabibu ambayo imekua msaada mkubwa sana...
Nina ugonjwa siku nyingi sasa yani nikimaliza kuoga kama dakika 2 mwili wote unaanza kuwasha najikuna hadi nusu saa baadae unapoa. Nimetumia dawa za aleji lakini wapi naombeni msaada nitumie dawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.