Kwa wale wataalam wa afya mfano wauguzi, madaktari na ma lab technician wanaokutana na mazingira mengi ya kushika damu za wagonjwa.
Ajali kazini hutokea mfano daktari anamfanyia OP mgonjwa ambaye...
Mara nyingi nimekuwa nikisikia kwamba ,endapo mwanamke atakuwa katika siku zake za hatari,Kama akishiriki tendo takatifu bila kinga na endapo wakati wa tendo akafikishwa kileleni basi yale manii...
Kwa vile Mimi sio mtaalamu wa mambo ya uzito ninaomba wenye uelewa wa uzito wa mwili anipe ufanunuzi kidogo(ila asiwe doctor uchwara)
Nina urefu wa mita 1.78,Nina kilo 58kg je?uzito wangu...
Teknolojia mpya ya meno imeingia nchini kwa mujibu wa daktari wa meno katika television ya taifa TBC leo na ameshauri Ulaya kamwe hawang'oi jino bali wanakarabati hivyo tuachane na misemo...
Ghafla nimepatwa tatizo uume wangu hausimami, tangia utotoni sijawahi kupatwa na tatizo ili nilikua nikifanya tendo napiga goli 5 za kuunganisha bila kupumzika, nimeoa mwezi wa 8 mwaka jana mke...
Tatizo langu nime vimba tezi moja kooni afu kuna viji uvimbe pembeni mwakoo kwandani nisha enda mnazi mmoja hawaja nambia tatizo zaidi wame nipa dawa na hazija nisaidia
Sent using Jamii Forums...
Kooni kwangu kuna uvimbe wa tenzi una nisumbua sana na nime enda mnazi mmoja wame nipa dawa hazija nipeni ushauli ndugu zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaman habari za asubuhi?mimba yangu ni ya miezi miwili na wk moja.lakn leo asubuhi nimeshangaa kuona damu kidogo inatoka.je inaweza ikawa nitatzo madokta?
Sikio linauma yaani sasa hivi latoa maji maji sijui usaha kuna wakati nilikuwa nahisi latokota ndani sasa nimetumia amoxyln na panadol bado lauma sasa sijui nifanye au nifanyeje kesho nitibu sikio...
Hellooo
Poleni na majukumu ya kila siku, mi mjamzito nilipima ultrasound nikaandikiwa majibu ya tar ya kjjifungua lakin sasa najisikia maumivu kweli kuzunguka kiuno na yanakuja na kupotea. Swali...
Kuna kipindi ulikuwa unawasha hivi nikatumia kila aina ya dawa na hasa zile za aleji, napona lakini nikisha acha tu, naendelea kuwashwa.
Mwisho nikaacha kuhofia usungu. Nikaendelea kuwashwa ...
Ninasikia maumivu makali chini ya tumbo upande wa kulia kati ya kitovu na kibofu cha mkojo pia maumivu hayo husambaa mpaka kwenye mguu wa kulia.
Kuna Doctor nilimwelza akasema ni kidole tumbo...
Habari wakuu
kwa muda mrefu nimekua nikisumbuliwa na maumivu ya kiuno na mgongo, kuwashwa njia ya haja kubwa, tumbo kuunguruma mara kwa mara na kujaa gesi na kichefuchefu.
kuna baadhi ya watu...
Habarini wana JF,
Ni muda wa mwezi sasa mwenzenu nimekua nikisumbuliwa na maradhi ambayo kwakweli sijui ni nini hasa.
Mwili wangu unachoka kuliko maelezo, Sisikii hamu ya kula,
Nimeshaenda fanya...
Habari zenu ndugu zangu
Naomba kuuliza kwa wale wazee wa maabala,
Kuna hospitali moja nimetembelea nimekuta wanatumia hii blood tube holder kwa zaid ya mtu mmoja (reuse) yan wanachofanya ni...
Wataalam wa utrasound, (sonographers) nisaidieni kusoma maelezo hayo, na mnisaidie kufafanua kitaalamu, hasa kwenye FHR na GA.... Wife alienda kufanya vipimo, but kama mnavojua wajawazito wanakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.