Salaam, naomba msaada
Huwa nafanya mazoezi ya kukimbia, kucheza mpira pamoja na mazoezi mengine lakini niliacha kwa muda wa wiki tatu au nne nafikiri,
Jana nilienda uwanjani nikafanya mazoezi ya...
Figo hufanya kazi muhimu kwenye miili yetu kama kuondoa sumu, kuchuja damu na kufyonza madini. Uharibifu wa figo unaweza usigundulike kwa miaka mingi kwa maana figo huweza kufanya kazi hata kwa...
Wakuu naombeni kujua faida za asali katika mwili wa mwanadamu (Kiafya generally) ni zipi?
Naipenda sana tu,kwa sababu imeandikwa kwenye Biblia kwamba nile asali ni nzuri kwa afya, lakini sijui...
Naombeni kujuzwa sababu zinazo fanya watu wenye damu group AB kuwa wachache sana duniani tofauti na makundi mengine kama A,B na O?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu, habari za wakati huu.
Nimekuja kwenu kuomba msaada wa dawa ya kupunguza kulala.
Nalala mapema sana, naweza kulala sa 1, sa 2 au hata sa 12 kama nimewahi kurudi nyumbani.
Nahitaji dawa...
Wasalam wadau,
Nina tatizo la kuumwa tumbo muda wote iwe nimekula au sijala.
Lilianza mwaka 2009,nilipoenda hospital nikafanya kipimo kinaitwa barium meal nikaelezwa nina vidonda vya...
Kichwa cha habari hapo juu.
Ni miaka miwili imepita ,niliwahi kutoa UZI kama hili kwenye ID yangu nyingine, kuomba ushauri kuhusu hili jambo.
Mimi siyo mtu wa sketi sana,kwa mwezi naweza...
Habari za wakati huu wapendwa..
Direct to the point..
Me ni kijana rijali kabisa nisiyezidi miaka 25..
So naweza kusema kuwa nimejaaliwa na Mwenyezimungu kuwa na nywele nyingi hasa kichwani na...
Wapenda mimi ni mpya hapa naomba msaada wenu nimeingia period tarehe 7/12 nikapata period tena tarehe 17/12 huo huo yani mwezi mmoja niliingia mara mbili sasa mpaka saiv sijapa period nyengine...
Habar wanajf eti kuna ukweli wowote kuhusu loshen ya vaseline kua inafaa zaidi kutumia sehem zenye joto kama dsm,, na kama hapana naomba mwenye kujua loshen nzur ambayo itanifaa sehem zenye joto...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,mm nasumbuliwa natatizo moja.miaka kama minne zilizopita nilkua napenda kujing'ata lipsi za midomo hii imepelekea lipsi zangu sehemu moja
India bans homework and heavy schoolbags to prevent spinal damage
Serikali ya Tanzania waangalie usalama wa watoto wetu kuwakinga na madhara ya uti wa mgongo yanayoweza kusababishwa na ubebaji...
Habari za usiku, tafadhali naomba ushauri, mwanangu ana miezi nane alizaliwa na damu 16 ila alipimwa tena akiwa na miezi 4 zilikuwa 14 gafla mwezi wa 7 zikawa damu 8 leo kapimwa tena akiwa na...
Samahani naomba kuuliza jambo kuhisiana na tatizo la ngozi,katika siku tano zilizopita nilipata rashes katika tano la kushoto na zinawasha haswa sana sana kipindi cha joto . zikianza kuwasha hadi...
Kwanini ni muhimu kunywa maji?
Miili yetu inaundwa na asilimia 70 ya maji, hivyo ni muhimu kunywa maji ya kutosha ili kuufanya mwili kufanya kazi vyema. Iwapo mwili wako haupati maji ya kutosha...
Habari zenu waungwana.....ishu ipo hivi...
Kuna jamaa yangu anakaa Malawi sasa ana demu wake yupo Iringa, jamaa ana muda wa miezi nane sasa hajaonana na mpenzi wake huyo
Mkasa ni kwamba, wiki...
wana JF,nina mtoto mmoja anapenda sana staili ya mbuzi kagoma anadai hiyo ndyo inamfikisha but mimi nahofu kuwa stahili hiyo itamharibu au kulegeza kizazi chake maana kitu kinagonga palepale na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.