Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Niaje washua!! eti ni mimi tuu napata shida hii au hata nyinyi munaipata?nikishanyoa vuzi panakuwa kipara saafi ila shida inakuja wakati vuzi linaanza tena kuota huwa linachomachoma haswa vile...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mtu kuwa na kamasi zito kila saa na kuhisi kohozi kifuani bila kuumwa kifua wala mafua tatizo linakuwa ni nini na ipi tiba yake? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu Niulize swali lolote kuhusu kinywa na meno, ntakujibu. Karibuni.
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Jamani wana jukwaa Mimi ni member wa jf Sema si muandishi sana. Twende kwenye mada Mimi ni kijana 21aged sasa mwenzenu nisha anza kuona nywele zina nyonyoka please anae jua dawa au njia ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habar ya muda wana jf?, kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu. Nimekumbwa na maumivu katika mshipa wa korodan yang ya kushoto cjajua nn chanzo hivyo naomba msaada wenu. Ikiw korodan zenyew...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Saratani imeendelea kuwa tishio hapa nchini huku hofu ikiendelea kuikumba jamii kutokana na wataalamu wa afya kushindwa kufahamu tiba halisi ya maradhi hayo hatari. Takwimu kutoka Taasisi ya...
6 Reactions
166 Replies
43K Views
Hodii wapendwa habari ! Tafadhari sana naomba msaada wenu! kuna ndugu yangu yeye kaoa ana mke lakini huyo mke wake kila anapobeba mimba inatoka baada ya miezi 2 hivi sasa 1month ago alishika tena...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari wana bodi nina ujauzito wa wiki 18 ila kwa bahati mbaya ijumaa nikaona maji yananitoka ukeni, ambapo clinic niliambiwa na kiashiria kibaya nikaletwa hospitali nimelazwa tangu siku hiyo...
4 Reactions
47 Replies
15K Views
Habari wanaJF, Kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na macho huwa macho yananiwasha sana ambapo kwa sasa hali imekuwa mbaya najua walioko humu jukwaani wanaweza kunipa ushauri niende hospitali...
0 Reactions
20 Replies
25K Views
Walking for 60 minutes or more a day can help you to burn excess body fat slowly every day. Meditation can be done while walking, this is physical and psychological benefits at once. Walking can...
3 Reactions
7 Replies
885 Views
Habarini ndugu wanaJF?!! Nilikuwa naangalia jinsi ya kufanya meno yetu yawe meupe, Pitapita yangu nikaona kuna mchanganyiko wa Baking Soda na Limao ila sikuona mwezeshaji ata akijaribu kutia...
0 Reactions
10 Replies
20K Views
Doctors nawazoef nisaidien plz.... Majuz kati hapo nlitoka kubanjuliwa huko sasa ila tulitumia kinga...na noted cjawai sex before yaan kutiwa kabsa ndo ilikua Mara kwanza....sasa ndugu cjaakaa...
0 Reactions
6 Replies
854 Views
Jaman wadau nisaidieni kwa hili hasa doctors, kibaya ni kwamba masomo ya science mimi yalinishinda kabla sijavuka form two nilishachagua naelekea wapi, kwenda moja kwa moja kwenye mada, ninajikuta...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari za leo wakuu, awali ya yote namshukuru Mwenyezi Mungu kwa ajili ya siku na masaa haya, Jina lake liimidiwe milele. Jmn nmekuwa na sintofahamu juu ya hatma ya Afya yangu kwa ujumla, awali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Doctors na wazoefu nisaidieni please. Majuz kati hapo nlitoka kufanya ngono huko sasa ila tulitumia kinga, na noted cjawai kusex before kabisa ndiyo ilikua mara kwanza. Sasa ndugu cjaakaa siku...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari zenu wapendwa naombeni ushaur Nywele zangu zina Dawa ila natamani zirudi natural bila kunyoa, je kuna njia yoyote ya kuondoa Dawa kichwani naombeni mnishauri nizifanyaje maana najuta kuweka...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zangu wiki mbili zilizopita nilikuwa na sumbuliwa na kuchezacheza kwa ngozi ya juu inayofunika jich lakini kuanzia juzi imeacha, lakini tena kuna mtu ambae anaishi jirani kaniambia ana zaidi...
1 Reactions
11 Replies
26K Views
Kama kuna mtu anajuajinsi ya kumtambua mwanamke aliyetoa mimba anijuze tafadhali
1 Reactions
14 Replies
13K Views
Back
Top Bottom