Heshima mbele wana JF
Mwanangu wa kike mwenye miezi 10; kitovu chake sikiielewi
akiwa na njaa kinakuwa cha kawaida ila akishiba kinakuwa kikubwa.
nashindwa kujua kitovu chake ni kikubwa au ni...
Habarini wana jf,
Kama Kichwa kinavyojieleza hapo mimi na mpenzi wangu tuna blood group O+ wote sasa linakuja swala lakumtafuta mtoto je hii kitu inawezekana? kwasababu tulijaribu moja mimba...
Wana jf nina mwanangu ana tatizo la kutokwa na vidonda vya homa ya usiku katika mdomo wa juu(mouth upper lip), japo hujitokeza kwa muda ila hujirudia baada ya muda mrefu. Kwa aneyefahamu...
.
Kumekuwa na ongezeko kubwa la magonjwa ya mfumo wa mkojo (UTI) na uzazi kwa wanawake, hii inasababishwa na sababu nyingi ikiwemo ya kukosa uelewa sahihi wa kanuni za afya na usafi wa mwili...
Mwezi wa 12 mwaka jana, tulipata taarifa ni mkubwa alianguka akitembea barabarani. Aliwahishwa kwenye hospitali ya wilaya. Hukuweza kusimamia miguu wake wa kulia. Tunashukuru alifanyiwa X-ray...
Nasumbuliwa na tatizo la kubanwa msuli kunakoambatana na maumivu makali na hii hutokea nikiwa nimepumzka kitandani au popote ilianza mguu mmoja now Ni miguu
Hali hii hunipa maumivu makali Sana...
Wakuu naomba mnisaidie hapo, mtoto wangu alipatwa na jipu la kwanza wakalitumbua na kumpa dawa, sasa amepata jingne, within 3months, nataka kujua kwa mwenye uelewa na huu ugonjwa, nini chanzo chake?
Habari
Mwanangu ana umri wa miezi mitatu na wiki tatu sasa. Nimepatwa wasiwasi kuona jino upande wa kushoto chini (gego). Imezoeleka Watoto kuota meno ya kwanza ambapo vijino vinajitokeza mbele...
Habari wana JF,
Nimekutana na hiki kisa kwa mtu anayelalamika ana tatizo la akili. Yeye anasema kuna kipindi anaona mapichapicha ambayo hayaelewielewi. Yanatokea kwa kipindi kifupi tu cha sekunde...
Afya zaidi (AZ) consultants ni mradi unaojihusisha na kutoa elimu na ushauri wa afya ( magonjwa, dawa, vyakula, urembo na vipodozi) kwa jamii zote za Tanzania na sehemu zingine nje ya Tanzania kwa...
Nahitaji msaada wa haraka Sana
Mguu wangu wa kulia Kuna maumivivu nayapata makali sana yalianza siku3 zimepita ila leo usiku sijalala kabisa maumivi yamekuwa makali mno Tena Sana nimeshindwa...
Habari zenu wakuu, ni wiki ya tatu sasa tangu mke wangu aweke vijiti vya uzazi wa mpango, lakini kuanzia tarehe 01/01/2019 amekuwa kwenye mzunguko wa damu kwa mwezi(hedhi) hadi hivi leo na bado...
KUMEKUWA na ongezeko kubwa la vijana wanosumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume, likichangiwa kwa kiasi kikubwa na msongo wa mawazo, imefahamika. Hayo yamebainishwa na Daktari bingwa wa magonjwa ya...
Ni mwezi mmoja na siku kadhaa sasa tangu niambiwe na bp ya kupanda,wakati mwingine nakosa nguvu tu ila wakati mwingine nakuwa na hofu muda wote kila kitu nashtuka,simu ikiita inakuwa shida,nikiwa...
Habari za jumapili wanajamii
Nina mwaka sasa toka nimeona hivyo viuvimbe kwenye mrija wa mkojo nimeende hospitali kama mbili wote na kufanya vipimo kutokana na ushauri wa daktari wamesema sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.