Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Achana na sukari, asali, mikate, vitumbua, maandazi, keki nk Kunywa litre mbili za maji kila siku Tembea hatua 8,500 kila siku.
4 Reactions
69 Replies
6K Views
Habari za muda huu Madoctor wote popote mlipo. Naomba kuuliza Ninatatizo lakupata maumivi wakati wa mwisho wa kumaliza kukojoa tatizo hili nila muda mrefu kwani linanitokea nakupotea. Lakini kwa...
0 Reactions
4 Replies
866 Views
Wadau nmekuwa nikifikiria sana namna ambavyo tunaweza shirikishana mambo mbalimbali yanayohusu familia kwa ujumla Tunaweza shirikishana hapa suala la Ujauzito na Changamoto zake. Uzazi na...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
habari waungwana; Napenda kujulishwa kwamba kuna madhara gani ya kutoa damu mwililini pindi inapokua imezidi kiwango cha kawaida? Na kama kuna njia mbadala ya kutatua tatizo hili naomben...
0 Reactions
17 Replies
50K Views
Kutokana na swali la hapo juu wakuu naomba tuu! kujua kuna kitu kinaitwa undetectable viral load, Je, mtu anaetumia ARV na akawa na virusi 40copies/per mills na cd4 count 850. Je, nirahisi kwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ninaomba kujuzwa kuhusiana na fao la uzazi la PSPF. Nina mke wangu ni mtumishi alijifungua mwezi June 2018. Hivyo alijaza fomu stahiki kwaajili ya kupata fao hilo la uzazi. Majibu aliyopewa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari zenu wapendwa. Heri ya mwaka mpya. Takribani mwaka mmoja na nusu ndani ya ndoa lkn bado mdogo wangu hajabahatika kupata mtoto. Alienda Kairuki hospital akafanya vipimo akaambiwa mirija...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Utangulizi Figo ni miongoni mwa viungo muhimu sana katika mfumo wa utendaji kazi wa mwili wa binadamu. Kwa kawaida, mwili wa binadamu una figo mbili zenye maumbo yanayofanana kama yale ya...
1 Reactions
13 Replies
15K Views
HUSIANO KATI YA DAMU NA TABIA Je unajua kuwa tabia ulizonazo ni kutokana na kundi lako la damu? Kwa kawaida kila binadamu yuko kwenye kundi mojawapo la damu kati ya makundi manne A,B,AB na O...
9 Reactions
31 Replies
29K Views
Kati ya Mwanamke mwembamba na kisimi kuwa Kirefu kwa Kina? Majibu tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama mada inavyojieleza ngozi yangu ni maji ya kunde lakini nina lips nyeusi sana kiasi kwamba kila moja ananihisi kama natumia au aidha nishawahi kutumia bangi/sigara kitu ambacho sio kweli...
2 Reactions
12 Replies
11K Views
Ndg wanajf naombeni ushauri juu ya tatizo langu, nimekuwa na mpaka sasa nasumbuliwa na tumbo yaani linauma kama tumboni kuna moto unaotoa uvuguvugu. Naombeni msaada wenu.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nina ndugu yangu wa damu wa kiume anatatizo la Mapumbu yake ni makubwa usawa wa ngumi yake, alipoenda Hosp kuangalia kama anatatizo la busha/matende wakamwambia hana tatizo hilo. Tatizo ni kuwa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Naombeni msaada wenu nimepatwa na Hili tatizo mara ya kwanza nikaenda pharmacy wakanipa malt vitamin mavidonge makubwa jumla 10 Kila siku nikawa nameza kimoja tatizo likaisha nimekaa mwezi tatizo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana JF heshima mbele. Nina rafiki yangu ana 33 years. Ni miaka miwili na nusu toka aolewe. Alipata mimba lakini ilitoka ikiwa na miezi 3. Toka hapo hajafanikiwa kupata mimba nyingine. Alishaenda...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nimevuta sigara toka mwaka 1979 mpaka sasa.Nimefikia nimepata tatizo japo halisababishwi na sigara ila Dr amenishauri ni bora niache kwa umri huu wa 52. Wana JF naomba msaada nitumie nini kutoa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari zenu wadau, sinaga maneno naenda kwa point moja kwa moja. Mimi mwenzenu kuna jambo linaniumiza kichwa nashindwa kuelewa, nimepitia katika mahusiano na wanawake wengi (30+) shida ni kuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF! Nimekua mara kwa mara nashuhudia watu wakitumia mafuta ya taa na wengine hata chumvi kama tiba ya kidonda hasa pale ikitokea mtu amejikata na kitu chenye asili ya chuma. Swali...
0 Reactions
16 Replies
15K Views
Your body gets enough sugar from carbohydrates, ugali, rice, chapati, pasta etc. These foods are enough monosaccharides needed for metabolism. From 1s January 2019 sugar will be a new word in my...
12 Reactions
85 Replies
7K Views
Mwanaume hasifiwi kula bali kazi, na kazi ya KWANZA ya mwanaume inaanzia chumbani kwake. KAMA UNA TATIZO MOJAWAPO KATI YA HAYA BASI UNAHITAJI TIBA YA KUDUMU ILI UWE MCHAPA KAZI. Uume Kushindwa...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Back
Top Bottom