Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wanajamii forum wenzangu naomba mnisaidie nipate kuelewa juu ya blood groups, kwamba. (1) Mtoto anaweza kufanana blood group na wazazi wake au mtoto huzaliwa na group lake la damu tofauti na...
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Habari Wakuu Mim mwili wangu ni mwembamba sana na nashindwa hata kuvaa kaptula kutokana na miguu kuwa miembamba kupita maelezo nilianza mazoezi nina kama mwezi sasa change iko lakin ndog sana na...
0 Reactions
13 Replies
13K Views
Habari wataalam kuna mtoto wa miaka miwilina miezi mitatu joto lake LA mwili halipungui amepata dawa za malaria na UTI lakini joto bado naomba kujuzwa tatizo ni mini hasa joto ndo linachanganya sana.
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Habar zenu wana jamvi! Mnamo tarehe 15 mwez wa 12/18 nilipata ajal nikiwa natoka kwenye mizunguko yangu...nilipata majeraha sehemu tofaut-tofaut za mwil ikiwemo usoni, hasa kweny paji la uso...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari njema kwa wagonjwa wa kisukari..... Ni matarajio mtasambaza ujumbe huu naana huenda ukamsaidia muhitaji wa habari hii. Kuna mwanamke wa miaka 65 aliekuwa na kisukari takriban miaka 20 au...
2 Reactions
27 Replies
8K Views
Habari wana JF,Mimi nina girlfriend wangu ameniambia kuwa yupo kwenye period(bleeding ) siku ya kumi sasa mfululizo. Nauliza hivi hili ni tatizo LA kiafya au ni kawaida kwa baadhi ya wasichana...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni wanasiasa wangapi na wafanyabiashara utawaskia wakijigamba vile wanalala kwa muda mfupi? Kukosa kulala usingizi wa kutosha husababisha madhara kwa ubongo wetu na miili yetu pia. Matthew...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina mchumba wangu mjamzito wa miezi mitano anasumbuliwa sana na kiuno sijui chanzo nn coz hata kazi ngumu hafanyi yupo tu nyumbani, any msaada please?
1 Reactions
31 Replies
110K Views
Kuna vitu gani katika mwili wa mwanadamu ambavyo vikikatwa hawezi kuumia.
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Habari za wakati huu wakuu. Nimengoa jino tarehe 20 december 2018 lakini mpaka dakika hii fizi inaniuma sana. Dawa nilizopewa pamoja na za maumivu zimeisha na nimeongeza zingine lakini fizi bado...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo nilikua naangalia kipindi flani katika maisha magic bongo msanii billinasi amekiri kuwa rasta alizoweka saizi kanunua kwa binadamu aliezikata Swali je 1) kuna uwezekano wowote wa kupata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za mda huu wadau! Haya yule wifi/shemej yenu anakaribia kunifungua Mungu ashukuriwe. Napenda kuuliza je ni hospital gani nzuri ya private kwa kujifungulia kwa hapa Dar es Salaam na gharama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina ndugu yangu ni mwanamke na ni mjamzito tatizo lake vimeota vinyama ndani ya uke. Bado hajaenda hospital kupima mimi nimeamua kuleta kwanza humu mnipe ushauri kabla ili nimwelekeze aanzie...
0 Reactions
24 Replies
16K Views
Poleni na majukumu wapendwa. Kama tulivyo wengi nina kipili pili balaa.nikichana nywele kichwa kina uma. Natamani sana nifuge nywele natural ila kuchana ndo mziki.....nikikaa mda mrefu bila...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu na hilo tatizo limenianza siku kama nne zilizopita,kilitokea kitu kama kiramani kidogo kwenye ulimi chenye rangi nyekundu hivi siku ya kwanza kilikuwa kama kimevimba kidogo but kesho yake...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamani nina tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na ni la muda mrefu kidogo kama miaka 4,nimetumia dawa kadhaa lakin bila mafanikio Uume wangu misuli yake imelegea,ukisimama unakuwa hauna nguvu...
1 Reactions
44 Replies
26K Views
Habari wa Jf kwa yeyote anayejua tiba take au zinapopatikana anisaidiee plz!!!!!
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nitajuaje kama nina mbegu bora za kutungisha mimba? Au niende kitengo gani katk hospitali kupima? Nina was was sana?[emoji52]
0 Reactions
27 Replies
41K Views
Maumivu haya yamedumu toka mwaka Jana mwezi wa 7 nimeshatumia dawa nyingi lakini bado cjapona ...naomba msaada wa kimawazo wakuu
0 Reactions
114 Replies
15K Views
Naombaa jibu toka kwa Dr halisi na si mwanahisia au mshawishi. Je mwanaume akifunga kizazi ni jumla au anaweza kufungua? Je inaathiri nguvu za kiume? Je ni opereshen kubwa? Je kuna aina ngap za...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom