Poleni na majukumu ndugu zangu kama mjuavyo maradhi tumeumbiwa binadamu mwenzenu nimekuja hapa leo nahitaji msaada wenu,yaan ni hivi kama wiki mbili nyuma nilianza kuskia maumivu kwenye mkono...
Hakuna anaewapangia matumizi ya pesa zenu. Lakini ninaomba kuuliza, ni lazima mkifika bar au pub mnywe mpaka mlewe?
Kunywa bia moja au mbili ni nzuri kwa afya hasa baada ya kuuchosha mwili siku...
Sina ubishi dawa hii atapewa bure sio ya kulipia masharti ni uwe umezidiwa, uko ndani ya mkoa wa Kilimanjaro, uwe una matatizo makubwa kiasi kwamba kazi zako hazifanyiki kwakuwa uasumbuliwa sana...
Wadau Naomba Mrejee Kichwa Cha Habari Tajwa hapo Juu .Mwili wangu unawasha sana wakati wa joto hata usiku joto likizidi unawasha mpaka naamka kuoga usiku ndo nipumzike tena,maana desturi yangu...
Utafiti unaonyesha mbegu za Maboga zinauwezo wa kuepusha magojwa zaidi ya 10
Ugonjwa wa moyo
Kiasi kingi cha madini ya magnesium ktk mbegu hizo yanaifanya kuwa muhimu sana kwa watu wenye magonjwa...
Msaada wajameni; imekuwa ikinitokea mara kadhaa hii hali ya kupata ganzi miguuni pindi napochinja kuku.
Nashindwa kuelewa kuwa hii ni hali ya kawaida au ni kwangu tu. Na je, kipi kinafanya hii...
Nipo kwa shoga angu Leo Christmas day. Namsaidia vijikazi, tukisubiri jioni tule Xmas Pamoja.... Leo Niliamka saa tatu asub nimejichokea Sana. Sina Raha Sana naona nahangaishwa na uchovu mwingi...
heshima kwenu wote
natoa nafasi ya kuulizwa swali lolote linahusiana na vimelea vya magonjwa, upimaji wake na kinga ya mwili
kama una sehemu unatatizwa na unahitaji kufafanuliwa nitakupa...
Habarin ndugu!
Ninavyofaham hua tunatumia kondom kwa lengo la kuepuka magonjwa ya ngono hasa HIV ambapo hutakiwa kuvalisha/kuvika maungo yanayojishughulisha na tendo la kugegedana yaan dushe au...
Wana JF, nimeulizwa swali na rafiki yangu mmoja kuwa yeye huwa akiwa usingizini anasugua meno bila yeye kujitambua. Amekuwa akielezwa na ndugu zake, wakubwa zake na wadogo zake tangu zamani lakini...
Habari wana JF!
Je, inawezekana mtoto tumboni kugeuka akiwa na week 20 na ikawa hali ya kawaida? Kwa sababu nilipata kusikia mtoto hugeuka akiwa na miezi minane tumboni. Msaada please kama huna...
Habari wana JF, kama kichwa habari kisemavyo ningependa kijua kwa mwenye ufahamu juu ujauzito. Kuna mwanamke ana ujauzito wa week 20 lakin miguu yake inavimba alipoenda hospital akapimwa mkojo...
Kuna kazi moja ya nje yaaan kidumu kinacholiwaza pindi mamsapu akifura... Mwezi uliopita nilikua nae ndani ila hatukufanya yaaan zilikua zile romance za hapa na pale na mengineyo hadi nguo akavua...
hi wakuu
Naona mazigizaga tu kwa upande wangu nimepeez kwanza sperm inatoka kawaida ila kadri zinavyotoka zinakua na hali tofauti mara iwe kama imeganda flan hiv na kuvutika kama gundi ya karatasi...
Mahitaji : limau 5 , kitunguu saumu Kimoja, tangawizi pisi moja na maji Lita 2
Unaanza na kukamulia hizo limau kwenye bakuli limau ulizokamua usitiupe zitakuja kutumika baadae
Katakata kitunguu...
Hbr zenu wakuu,
Nisaidieni kuelewa haya yaliyonikuta; leo nimeamka asubuhi nikachemsha tangawizi kali, kiasi cha kikombe kile kikubwa then nikachanganya na vitu vifuatavyo nusu limao na apple...
Kuna mwezi mmoja na nusu umepita tangu nishiriki na binti mmoja leo nimetumiwa hii kitu sasa najiuliza ni kwel yuko positive na je kuna vitu vinaweza fanyaa aonekae postive wakati ni negative kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.