Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari wana JF, Kijana wangu wa kiume wa miaka 16 alianza kulalamika anaona madudu madudu toka mwaka 2016. Tulimpeleka MNH kitengo cha magonjwa ya akili. Ikaonekana alikuwa na stress na ndo maana...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Msaada ivi ukiwa mjamzito inabidi uanze kwenda clinic mimba ikiwa inamiezi mingapi?
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Ugumba ni hali ya wapenzi au mke na mume kutopata mtoto. Ugumba unaweza kua primary infertility yaani mtu hajawahi kubeba mimba kabisa tangu azaliwe au secondary infertility yaani mtu ambaye...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Mtu kung'atwa na Muathirika wa Ukimwi anapaswa kuchukua hatua gani ili asipate maambukizi..!!??
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Salaam madokta wa humu Mke wangu kajifungua mtoto wa kiume na kesho mtoto anatimiza miezi 3 kamili Tatizo lililopo ambalo hata wife linamtisha ni Hali ya mtoto kutapikaga maziwa aliyonyonya na...
0 Reactions
9 Replies
11K Views
hivi ni ugonjwa au ni kawaida kwa tumbo kua kama limejaa gesi au umeshiba muda wote hata umeze dawa za ktoa gesi hazisaidii kuna wakati unaweza fikiri ni mimba ukupima hakuna .hali hii...
0 Reactions
8 Replies
13K Views
Jaman Nina hitaji dawa za mapunye yana ni sumbua sana maeneo ya kichwani nipewa dawa hospital nitumia yana potea kwa muda kisha yana rudi tena
0 Reactions
9 Replies
10K Views
Wakuu Salama ! Mke wangu amegundulika na Vimelea vya Ugonjwa wa Rubella, vinavyo sababisha kila akishika Ujauzito unatoka, hatuja bahatika kupata mtoto. Chonde Msaada tutani.. Je atumie tiba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mie Nina mtoto wa miaka6 na miezi name tangu azaliwe amekuwa na matatizo ya tumbo nimempeleka hospitali tofauti lkn bado tumbo lake halijakaa sawa huwa Mara nyingi anapitiwa na haja kubwa kwa...
0 Reactions
8 Replies
975 Views
Ulimi kuchubuka chubuka na wakati mwingine kuuma unapokula baadhi ya vyakula kwa mfano dagaa, sababu yake na dawa yake ni nini?
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Za asubuhi washilika wa jukwaa hili? Wadau naombeni msaada wenu , wadau nimekuwa natabia yakufanya mgegedo mda mrefu sana bila kufunga goli inayopelekea mwenzangu kulaumu sana kuwa amechoka...
2 Reactions
37 Replies
7K Views
Nimesoma na kusikia kuwa majani ya huu mti (Curry leaf Tree) yanatibu magonjwa ya aina mbalimbali. Je, kwa Kiswahili mti huu unaitwaje? Naomba mtu yeyote anayefahamu ninapoweza kuupata mti huu...
2 Reactions
12 Replies
20K Views
Kwanini Asali sio nzur kwa mtoto chini ya mwaka mmoja ?. Asali sio nzur kwa mtoto aliye chini ya mwaka mmoja kwa sababu zifuatazo: Asali ina spores of bacterium ambao wanaitwa clostridium...
0 Reactions
5 Replies
13K Views
Ni madhara yapi kwa mimba au kwa mtoto yanayoweza kutokea kama mimba ilipatikana wakati mwanaume akiwa anaumwa maleria na yupo ndani ya dozi na akakutana na mwenza wake na kufanikiwa kumpa ujauzito?
0 Reactions
2 Replies
986 Views
Habari za jioni: Mwanangu wa kike ana umri wa miezi 11 hivi: Kwa muda sasa amekuwa na Joto kali sana kichwani sio kwenye paji la uso wala sehemu nyingine ya Mwili ni kichwani.Anaacheza na kula...
0 Reactions
12 Replies
21K Views
Habari zenu JF. Kama mada iulizavyo, juzi na Jana nilifanya kazi ikanitoa jasho maeneo yote ya mwili. Kisa ni hiki, maeneo ya makwapa yalitoka majimaji meupe yanye povu kama maziwa au sabuni...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Kwema ndugu zangu wana jf. Niende moja kwa moja kwenye maada hapo juu, nina tatizo la kutokwa na damu puani mpaka sasa limechukua takribani mwezi mmoja nimejaribu kutumia dawa za dukani lakini...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Alikuwa na sukari miaka mingi na kutobiwa kcmc,walimpa masharti akayafuatilia km SI asilimia 100 bc 95,ndipo madini yt yakaisha mwilini, kurudi hospital wakamwambia ale kila kitu,ikamsaidia Lea's...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu habari ya uzima, nini dawa ya kuondoa makovu. Karibuni
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom