Habari Wadau
Kuna ndugu yangu huwa akimshika mtoto (pakata) huwa mtoto analia sana kama vile kafinywa. Mtoto ana umri wa miezi miwili. Lakini akipakatwa na mtu mwingine anatulia. Wajuzi wa...
Wana JF,
Kuna mjadala umetokea sehemu nikaona huenda kuna ufumbuzi humu ndani ya Jukwaa letu. Ni hivi jamaa kachepuka. Akirudi kwa wife kitu kinalala, akienda kwa mchepuko mambo fresh. Hii ni...
Wife ni mama kijacho wa miezi takriban mitatu sasa tumehesabu kuanzia period yake ya mwisho yaani alipoanza tarehe 18 /9/2018 mpk sasa. Hii ni mimba yake ya kwanza, ameenda leo zahanati flan...
HYPOTENSION : Low Blood Pressure
Ifahamu Presha ya kushuka
Nini presha ya kushuka ?
Hypotension ndio jina alinalotumika kuelezea presha ya kushuka (90/60 mm Hg) ambayo huonekana kutokuwa na...
MATUMIZI YA DAWA BILA USHAURI.
Tabia ya kujinunulia dawa bila ushauri wa daktari, (self medication) kwa mtu asiye mtaalamu wa afya inazidi kuongezeka.
Wapo watu wanajinunulia dawa kwa sababu ya...
Madoctor naomba mnisaidie hili,mwanangu jana alikuwa anachemka nikampeleka hospital wakampima wakasem hana homa wala U.T.I nikarudi nae nyumbani,sasa leo asubh akaanza kuchemka tena nikamchukua...
Wana bodi.
Mimi ni mmoja wa wanyoaji wa ndevu kwa kutumia MAGIC naomba kufahamu madhara ya moja kwa moja au side effect zake.
madhara ya muda mfupi pia ya muda mrefu.
aksanteni.
Uume wangu kuna wakati unawasha kwa ndani yaani kwandani kidigo kutokea pale kwenye mdomo wa uume. Jinsi inavyowasha kama mgonjwa wa gono lakini sipati tabu wakati wa aja ndogo wala sitoi usaha
Mara nyingi nimekuwa nikiona threads humu ndani watu wakiulizia unawezaje kuhesabu siku na kujua zile siku za hatari ambazo mwanamke anaweza kushika mimba; naimba leo nitoe somo kidogo...
MIRACLE DRINK- CARROT, POTATO AND APPLE
This MIRACLE DRINK has been circulating for a long time long long ago. It is worth your while to take note. There is a celebrity Mr. Seto who...
Naomba jibu kama ndio hiv au ni vya nin
======
Ni hivi, huyu dada anakaa Arusha, nilikutanaga naye kwenye semina moja hivi tukabadilishana contact kiukweli nilitokea kumpenda sana huyu cos ni...
Nawasalimu wanajf wenzangu,
Nina swali linalonitataza,kuna kijana anaitwa joji a.k.a panga la shaba [kaniruhusu kuandika haya] anakula chakula kila siku ila baada ya wiki moja na siku moja ndipo...
Habari za asubuhi wadau.......
Nina maumivu makali sana ya kidole baada ya kidole gumba kidole kinachofuata. Maumivu yapo eneo baada ya kucha na joint ya kwanza basi. ni maumivu makali japo huwa...
Habari wakuu!
Mimi ni kijana wa miaka 30 sasa ina nina mdogo wangu waa kiume ambaye kwa sasa ana miaka kamaa 18 hivi, leo kaamua kunifungukia kuwa hana nguvu za kiume kabisa! amekuwa akiona aibu...
Health checkups are designed so as to help check for any illness or disease that has gone unchecked in the body. Let’s face it, when it comes to your health, prevention is always a better option...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.