Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

kama kichwa cha habari kinavyosema naomba kwa yeyote anayejua dawa ya tatizo hilo anisaidie tafadhali
0 Reactions
34 Replies
12K Views
Habari zenu Wakushi. Poleni na majukumu na mihangaiko ya siku nzima ya leo. Kutokana na ulazima uliopo imebidi kumuachisha mwanangu kunyonya ziwa la mama yake kuanzia leo 20/nov imenibidi...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu nina tatizo la sikio langu linauma kwa ndani kuna kama kipele hivi yaani nimevumilia nimeshindwa je tiba yake ni nini? ntashukuru nikipata majibu hapa.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Medical team hold the first baby born via uterus transplant from a deceased donor at the hospital in Sao Paulo, Brazil December 15, 2017 in this picture handout obtained on December 4, 2018...
1 Reactions
0 Replies
507 Views
Habari za humu ndani jamani, naomba msaada wa kitaalam kwahili, Je?,Nikweli ukitafuna mihogo mibichi au karanga huongeza uzakishaji wa mbegu za kiume (manii) mwilini?
0 Reactions
11 Replies
4K Views
wasalaam Ndugu zangu habari ya jumapili Leo Nina swali mdogo wenu, kwanza kabisa tarehe 2 mwezi wa 9 mwaka huu nilishiriki tendo (NILITUMIA KINGA) na binti baadae alinambia kaathirika + HIV baada...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
wakuu nina tatizo la sikio kuuma kwa ndani... yaani nahisi kama kuna kipele hivi yaani nakosa raha kabisa.. Je tiba ni nini??
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Jamani wana jamii forum mwanangu wa miez mitatu anajisaidia kinyesi kimechanganyika na maziwa alionyonya nn inaweza kuwa shida msaada
0 Reactions
5 Replies
774 Views
Hodi wakuu Mimi Nina mke wangu tunaishi Dar es salaam, tuna miaka mitano kwenye ndoa bila mtoto tafadhali anayejua hospital ambayo tukienda tutapata msaada maelekezo tafadhali, ahsante.
1 Reactions
9 Replies
4K Views
HIV and AIDS can be easily confused, and often are among those that do not know enough about the subject. These two are unique diagnosis but are related at a certain level. AIDS is a condition...
1 Reactions
0 Replies
677 Views
homornal imbalance kwa wanaume husabàbishwa na nn dalili na tiba zake zinakuwaje??
0 Reactions
3 Replies
929 Views
Naomba nijifunze nini kinapotokea mtu anapopokea damu ya mtu mwingine labda group 1 au tofauti... Or lets say mtu apewa damu ya mnyama kama mbuzi au ng'ombe... Nini kinatokea kwenye blood...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kujua faida ya kitunguu swaumukibichi na asali mbichi. Sent from my BlackBerry 9780{katefar}
0 Reactions
37 Replies
105K Views
Habari za muda huu wana JF. Naombeni ushauri juu ya tatizo hili.Ni siku ya 7 sasa nimekuwa nikihisi maumivu upande wa kulia na kadri siku zinavyoendelea maumivu yanaonekana kusambaa mpaka upande...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Matumizi ya kahawa ni tiba ya asili kwa mwili wa binadamu. Habari njema ni kuwa kahawa ina mchango mkubwa katika kuzuia magonjwa ya moyo ikiwemo shambulio la moyo na kuziba kwa mishipa ya damu...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
wanajamvi nilikuwa naomba kujuzwaa jambo hilii mtoto wa miez mitano kuwa na umbile la kichwa kikubwa kisichoendana sawia na mwilii ila sio kikubwa sana na kwambalii utosini kunakuw kama kumebonyea...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Niaje wadau wife anasumbuliwa na maumivu katikati ya kiuno na mbavu upande wa kushoto ,sijajua tatizo ni nini hapa kama mwenye uelewa na hivyo msaada .naomba kuwasilisha
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa muda wa miezi nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu ambaye ana tatizo la presha,Sasa wiki mbili zilizopita nilikuwa najisikia hovyo nikaenda hospitali kupima ,sukari bp typhoid na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Husika na kichwa cha habari wakuu, ni hospitali gani nzuri kwa kufanyia tohara wototo wadogo hapa Dar Shukran
0 Reactions
39 Replies
13K Views
Habarini wakuu, nafahamu ya kua wajuzi wa masuala ya afya mko hapa, bila kupoteza mda niende moja Kwa moja kwene mada Wakuu ninasumbuliwa na tumbo adi nahisi kutoweka duniani siku si nyingi...
0 Reactions
5 Replies
797 Views
Back
Top Bottom