Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

habari za muda wana jf dr
0 Reactions
20 Replies
70K Views
Habari za asubuhi wakuu, kisa hiki ni cha kweli na kimenitokea mimi mwenyewe. Nimekuwa na tatizo la kupata maumivu ya kawaida na ya kipindi kifupi, maumivu haya huwa nayasikia kwenye korodani...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Hili huwa linanichanganya sana akili yangu. Watoto wadogo hasa miezi miwili + mara nyingi huwa wanalia sana bila sababu. Hii hupelekea watu hasa kina mama kuamini kuwa mtoto anapolia mara kwa mara...
1 Reactions
19 Replies
20K Views
PUMU NI NINI? Ni ugonjwa unaoathiri njia ya hewa kwenda/kutoka katika mapafu. Mtu mwenye pumu huwa na mcharuko-mwili sugu(chronic inflammation) katika mirija yake ya kupitishia hewa unaosababisha...
4 Reactions
20 Replies
32K Views
HIV Vaccine To Begin Human Trials in 2019 Hii chanjo itaanza kujaribiwa kwa binadamu kuanzia mwaka 2019 baada ya kuonyesha mafanikio makubwa katika kudhoofisha virusi vya UKIMWI kwa wanyama...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mtoto wangu ana umri wa miaka miwili na ametoka vipele vya joto mwilini kiasi kwamba inabidi ashinde bila nguo na kulala bila nguo ila naona vipeleb vyenyewe haviiShi je kuna dawa yake ? Sent...
0 Reactions
2 Replies
11K Views
Habari waungwana. Naomba kuambiwa kiutalamu athari za kutokunywa maji ya kutosha mwilini kwa hakika nahisi niko na marazi siwezi ( sipendi) kunywa maji hata kidogo naweza kupitisha week bila ya...
1 Reactions
45 Replies
12K Views
Kumekuwa na ripoti nyingi na matukio ambayo inatokea mtu anazikwa kabla hajafa, hasa sehemu za vijijini sana ambapo hakuna madaktari au wahudumu wa afya.Kwa sheria za Tanzania, mgonjwa akifia...
3 Reactions
11 Replies
10K Views
Naomba kujuzwa kwa mtu aliyejifungua akapata tear 3rd degree baada ya muda mfupi nyuzi zikafumuka akarudishwa hospitali akafanyiwa perineal tear repair baadae kukawa kidonda kwa bibi kikatibiwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naombeni msaada wa kutumia njia gani za asili za uzazi wa mpango...sizihitaji za kisasa.. Naombeni ushauri wa njia mbalimbali..
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Wakuu habari za jioni naomba niwashilikishe tatizo langu na mwenye uelewa anaweza nipa ushauri. Miez kama sita nyuma nilipatwa na kauvimbe sehemu yachini ya shingo yani kwenye shina la...
0 Reactions
3 Replies
777 Views
PureLife Tap Maji safi ni nini? BF Suma PureLife ya Maji inashika nafasi ya 7 kati ya vifaa vyenye ubora na ufanisi wa maji kwa hali ya juu , kifaa ambacho kinaweza kuzuia chembe za 0.1amu na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
AntiDiarr ya Kuharisha? BF Suma AntiDiarr ni msaada wa haraka wa kupunguza kuhara, inapunguza matatizo ya kuharisha karibu mara moja. Faida za Afya za Kupambana na Ugonjwa wa Kuharisha lna...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ini ni kiungo muhimu sana katika mwili wa binadamu. Ndicho kiungo kikubwa kilichopo ndani ya mwili. Ugonjwa wa cirrhosis ni ugonjwa wa 12 duniani kati ya magonjwa yanayosababisha vifo vitokanavyo...
3 Reactions
5 Replies
21K Views
Wakuu hodi humu, Naomba kufahamu ni nini hasa kinasababisha wanawake (baadhi) kutokwa na utando mwingi sana wakati wa ku~do? Mimi ni Mvulana na kitu hiki huwa kinaniboa sana tunapo~do kwani huwa...
2 Reactions
74 Replies
53K Views
Habari wakuu, naomba mnidasaidie kunipa faida za kupaka majimaji ya mmea wa alovera ,nasubiri mawazo yenu. Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajamii na bila shaka mnaendelea vema na kazi za kila siku. Mimi huwa napenda kumshukuru kila mmoja ambaye anajali maisha ya mwingine pia kuweza kutoa elimu kwa wengine pia. Hapa napenda...
1 Reactions
12 Replies
22K Views
Ni mwaka wa 4, tangu nigundulike kuwa na ugonjwa huu unaoathiri ini, lakn kwa kipnd chote hko sijapata tiba ya uhakika, hicho ndo kinanipa hofu, kwani tatizo linazidi kuwa kubwa, nimeamua kutumia...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
Habari waungwana..... Ninaomba kufahamishwa juu ya ugonjwa wa Seli mindu (sikle cell) hasa dalili na matibabu yake. Nb: Kama kuna link pia ni vyema kunijuza! Nawasilisha.
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wadau, Natumai wazima wa afya... Binafsi nime develop a hobby ya mazoezi...ila appetite yangu ni ya kawaida mno plus natamani ku gain weight wastani... Sasa kwenye pita pita nimekutana na...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Back
Top Bottom