Jamani, mimi nimeathirika na nyeto. Nguvu za kiume nahisi kupungua; zamani ku-sex mara 5 usiku mmoja ilikuwa kawaida tu, leo moja tu chali.
Naombeni msaada nifanyeje.
Kuna rafiki yangu anampenzi anae mpenda sana tatizo kwamba kila akikutana nae kimwili mpenzi wake anatoa harufu mbaya inayo sababisha muda mwingine asipende kufanya nae mapenzi, msaada wenu jaman...
Poleni kwa majukumu ya siku ya leo, naomba kujua madhara ya kunywa grand malt,maana kwa siku naweza kunywa tatu, naomba Na njia mbadala ya kuacha soda.
Wataalamu naomba mnisaidie nina mchumba wangu ana tatizo hilo la kutokwa na damu sehemu zake za uke tatizo hili lilianza siku tulipokuwa tunayafanya yetu baada ya kumpelekea mashine damu ikaanza...
Naomba kuuliza tikitimaji ni salama kwa mama mjamzito?tena ujauzito wa wiki tatu?
Pia naomba kujuzwa na matunda mengine ambayo ni salama na ambayo si salama kwa afya ya mimba Changa na kuendelea...
Maana kuna mdada analalamika tumbo linamuuma pia anahisi dalili za mimba na kajipima kakuta negative
ila kaenda hospitali kaonekana postive ....
na kwakutumia ultra sound haionekani kitu yani...
Poleni kwa majukumu wakuu.
Ninasumbulilwa na korodani ya upande wakulia huwa inaniuma hata kwa kuishika najisikia maumivu
Nilipokuwa mdogo ilivimba nikapewa dawa za hospital ikarudi haliyake...
Habari wadau...
Nauliza kama mtoto anatakiwa kucheza kila siku tumboni ama lah...
Nimepata mashaka kwani mke wangu anasema toka juzi mtoto hajacheza, mimba kwa sasa ina miezi mitano!
Naombeni...
Wakuu habari za mchana,
Nina ndugu yangu ambaye amekua akisumbuliwa na meno kwa nyakati tofauti.Ni meno ambayo ameshayang'oa lakini kila alipong'olewa jino ganzi(sindano tatu) haikufanya kazi...
Habari zenu.
Napenda kuleta mbele yenu Uzi huu ili tujadili kwa kina mambo muhimu ya kuzingatia kwa mwanamke akiwa na ujauzito ikiwemo vyakula na matunzo mbalimbali mpaka anajifungua ili tuweze...
Habari wana JF,
Je ni tatizo gani la kisaikolojia alilonalo mtu anayependa kuishi mwenyewe, kufanya mambo yake mwenyewe, kupenda kukaa mbali na watu na hata wakiwepo wasiwe wengi sana na hata...
Naombeni msaada kwa wajuzi na wazoefu.
Mke wangu kapitiliza muda wa makadirio ya kujifungua wiki 40 kwa mujibu wa ultrasound.
Toka wiki iliopita mpaka sasa anapata dalili kama uchungu lakini...
Ndugu wana jukwaa naomba msaada kwa mke wng ambaye amejifungua kwa operation leo n siku ya tano (5) anasumbuliwa na maumivu makali sana ya kichwa, shingo na mgongo inayopelekea hata kukaa...
Habari wadau wa jukwaa muhimu Sana kuliko yote maana afya ni mtaji.naenda moja kwa moja kwenye juzi tu nilikuwa nasikia mwili kuuma hasa joints baridi,mwili kuchemka hasa ikabidi niende dispensary...
pineal gland, ni tezi liyoko ndani ya mwili wa mamalia eneo la kichwani ambayo inaunda mfumo wa ufahamu katika kategori ya endocrine gland.
Tezi hii hutoa kemikali aina ya melatonin ambayo...
Habari wakuu,, naamin bado tuko wazima wa afya ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu.namba niende kwenye mada moja kwa moja.Wakuu nina matatizo yafuatayo 1:hasira za haraka 2: kugomagoma ovyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.