Sio kila kinacholiwa kinaweza kuliwa wakatiti wowote. Leo nitawapeni kwa uchache elimu kuhusu ulaji wa vyakula.
Vyakula vimegawanyika katika makundi makuu 6 ya kutia nguvu, kujenga mwili, kulinda...
Habari ndugu najua kwenye wengi app haribiki kitu.. na wapo wataalam na waliowahi patwa na hili jambo..
Baba anasumbuliwa na kwikwi tumejaribu kwenda hospital lakini wataalam wamesema hawaoni...
Jaman hivi kweli vyuo vya tanzania vitakua vinatoa bachelor of science in clinical medicine kwa ajili C.O. mwenye uelewa hili msaada tafadhali anisaidie na itachukua miaka mingapi?
Asanteni sana...
Tarehe 1 desemba kila mwaka, ni siku ya ukimwi duniani.Ukimwi na magonjwa mengine makubwa yamepewa siku rasmi kila mwaka ili kuikumbusha jamii juu ya mapambano dhidi ya magonjwa hayo. Katika siku...
6 Negative Side Affects To Eating Genetically Modified Foods
Genetically modified organisms also known as (GMOs) can be found in as many as 60-70% of the foods in the US.
As we have...
URAIBU (ADDICTION)
Ni ugonjwa wa kimwili kiakili na kiimani ambao huathiri nyanja zote za maisha yetu, Ugonjwa huu unaweza kuwa ni wa kurithi, wa kupandikiza au hujitokeza na kukua kwa sababu za...
FAHAMU UMUHIMU WA MADINI YA CALCIUM KATIKA MWILI WA BINADAMU.
Madini ya Calcium yanapatikana mwilini ni 2% ya uzito wako. 99% inapatikana kwenye mifupa na meno. Na nyingine inapatikana kwenye...
Kuna uwezekano nyoka akawa mwenye sumu au asiwe mwenye sumu,mgojwa kupoteza fahamu au kushindwa kupumua vizuri.Kama una uhakika kuwa nyoka aliyehusika hana sumu basi mtibu mgonjwa kwa kutumia njia...
Mke wangu anatumia hii njia ya nyota ya kijani baadhi ya watalaamu wananishauli asitumie njia hii atumie kalenda,hakuna anayenishauri atumie njia kitaalamu nyingine zaidi ya kalenda inamaana hizi...
Nliingia period tar.21/10 hadi 26/10 tarehe 2_4/11 nkakutana na mwenzi Wang ambapo pia cku hyo ya tarehe 3 ambayo ilikua siku ya 14 kabisa nliona ute wa ovulation lkn baada ya sex nlikaa kama...
Nishawaambia Adui wa kwanza Duniani ni SUKARI SUKARI SUKARI SUKARI.
1. Anayekufanya Uwe SHAPELESS na USIFURAHIE hata Mavazi yako NI SUKARI. Nakushangaa kwa nini Unaikumbatia SUKARI.
2...
Nimeaanzisha uhusiano na msichana last week, na tumesha yajenga maramoja, and nimemfurahia at 360degree, ila tu kuna kasoro moja ananuka K tatizo ambalo naamini sio kubwa na linatibika...
If a mother has blood group O and a father has blood group A, both with Rh +. There is any problems in pregnancy for mother? They can bear a child without any problems?
Ndugu wana jukwaa, habari za muda huu ?. Ninaomba kufahamishwa faida za mbegu za tikiti maji(water melon) kwa matumizi ya mwanadamu. Mwenye ujuzi kuhusu hili anifahamishe. Naomba kuwasilisha.
Naomba msaada wako Doctor wa JF naomba unifahamishe na unielimishe kwamba kutokwa na Uchafu mweusi Ukeni unasababishwa na njia ya Uzazi wa mpango wa njia ya Vijiti?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.