Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mgonjwa wangu anasumbuliwa na mgongo juu ya kiuno kidogo alipiga xray wakamwambia pingili azina shida ila ana uchafu pembeni ya uti wa mgongo dawa kamaliza ila bado anapata maumvi je hii utokana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
SABABU SABA KWA NINI UZITO WAKO UTAKUJA KUKUUA NDANI YA MIAKA MITANO. Uzito ni moja ya tatizo kubwa sana kwa sasa katika afya za walio wengi na madhara ya UZITO uliopitiliza ni makubwa na...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mmea huu hutoa maua kama yanavyoonekana hapo pichani. Maua ya manuka hupendwa na nyuki. Nyuki wanaotoa asali kutoka kwenye kiini cha ua la manuka hutoa asali iliyo bora. Asali ya manuka ‘manuka...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
The gas
1 Reactions
65 Replies
7K Views
Habari wadau! naombeni ushauri juu ya kilevi kisichokua na madhara kwa watoto chini ya mwaka mmoja! Niko na watoto twins wamezaliwa january ila ni wakorofi kweli kweli, hawapendi kulala...
3 Reactions
56 Replies
5K Views
Habari wanaJF Nilikuw kuhusu clinical officer kwa waliosoma vyuo vyote vya private au gvt Natak kupata experience je ukisoma cha private ajira zake ana ugumu wake Na serkali pia Nashukuru Ahsantenii
0 Reactions
0 Replies
618 Views
-Hivi ni kwanini mda mwengine yanaumisha tumbo ukishayala? -Tunaambiwa yana fiber na ufahamu wangu fiber inasaidia sana kwenye choo nahata mwili unakua relaxed kabisa hichi nimekipeleleza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wengi mlishuhudia mhemko wa mwili katika umri wa balehe. Sasa fikiria mhemko huo utokee na nyumbani kuna matatizo. 1. Baba ni mlevi na hana muda na familia 2. Mama hana msaada anawalea kama mzazi...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Wadau nimekuwa nikisumbuliwa na uzito mkubwa kwa takribani miaka 10 sasa, nataka nijinasue na hilo, kuna mdau mmoja akanielekeza nifwate diet ya Dr boaz, kama kuna mtu yoyote ana udhoefu na diet...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Nimeshashuhudia watu wanavyohangaika kukata weight kwa diet zile za kabechi two weeks, diet ya juice from food extractors for two weeks, gnld, forever living, kuna wadada walitumia mchina mpaka...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakuu wangu shikamooni nahitaji ushauri wenu bila matusi wala kejeli mke wangu ni mjamzito ila bado ana mtoto mdogo wa mwak na nusu ananyonya yapi madhara kwa afya ya mama na mtot?
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Heshima kwenu! Naomba msaada wa dawa ya kutibu vipele vinavyotokana na joto kuzidi kwa mtoto mdogo wa miezi 11.
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Nilikuwa kijijini, nimeitembelea familia moja huko kijijini na kumkuta huyu mtoto akiwa na tatizo la nywele kuisha anabaki na vipara kama amenyolewa na wembe. Picha inaelezea zaidi, naomba...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nina tatizo kwenye uume wangu kwenye njia ya mkojo nikibinya kuna maumivu nayasikia na yaliaza kama miaka mitano iliyopita nimeuzuria hospital Mara kwa Mara wakaniambia kutakuwa na bacteria...
0 Reactions
3 Replies
817 Views
Nimefanya jipu anaeo la paja yani dah linanikosesha amani, Nimelitumbua limetoa usaha lakini bado naona maumivu yapo na bado lipo. Msaada wa dawa wakuu.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mi ni mwanaume, sasa nilinyoa nywele za siri,,baada ya siku vhache kukaota vipele vidogo vidogo,,kwa kipind chote icho my wife alikuwa kasafiri, lkn alirudi kipind vile vipere vimeota sehem ya...
0 Reactions
35 Replies
7K Views
Acquired Immune Deficiency Syndrome (AIDS) ilijulikana kama ugonjwa mpya mwaka 1981. Kadiri miaka ilivyokwenda virusi vya UKIMWI viligundulika 1985. Kipindi hiki ukisikia ugonjwa huu hofu na uoga...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamvi heshima kwenu, Kama kichwa kinavyojieleza kuna kipindi siku za nyuma niliwahi kumsikia radioni mtaalamu mmoja wa afya akisema mimba inayotungwa alfajiri hupelekea kuzaliwa watoto...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tatizo hili huwasumbua wanawake wengi walio katika umri wa kuzaa na baadhi ya wanawake ambao tayari wameshafikia ukomo wa kuzaa. Kwa mwanamke aliyekwishafunga kupata hedhi kuendelea kupata damu...
2 Reactions
22 Replies
97K Views
Back
Top Bottom