Mimi ni Nurse mwajiliwa mpya, nilivyo ajiriwa nilipangiwa kituo ambapo ambapo ni school nurse sasa katibu wangu akaanza nipigia sim mara kwa mara ananisalimia basi siku moja nikaongea na rafiki...
Salama wadau?
Mtoto wangu wa Miezi 11 na majuma mawili siku Kama Tano zilizopita alipandisha joto Sana nikamkimbiza Hospitali, tulifanikiwa kumpima damu na kukutwa na Malaria 7. Hadi hapo tayari...
wakuu swali hapo juu linajieleza naomba kujua kuhusu hilo je gegedeo la mwanaume linawez kuendelea kukua hata baada ya miaka 18
msaada wenu wakuu madoctors na wanajamii
Naomba msaada wako Doctor wa JF naomba unifahamishe na unielimishe kwamba kutokwa na Uchafu mweusi Ukeni unasababishwa na njia ya Uzazi wa mpango wa njia ya Vijiti?
Kifua kikuu(TB )ni ugonjwa unaosababishwa na bacteria anaejulikana kwa jina la Mycobacterium tuberculosis. Mycobacterium tuberculosis ni aina ya bacteria anaesababisha TB kwa binadamu….ingawa zipo...
Niliingia mp trh 31/10 nikamaliza trh 3/11 ...ilipofika trh 10/11 gafla tu nikashangaa nikaona dam lkn chache nadhan pad nusu , kesho take ped ikakomea jujuu tu basis haikutoka tena lkn nakua na...
Nilibahatika kuhudhuria katika mjadala mmoja siku ya leo kuhusu maambukizi ya ukimwi kwa vijana na katika mjadaka huo alikuwepo mtu mmoja ambae alijinadi kuwa ni doctor na katika mazungumzo yake...
Naomba msaada wako Doctor wa JF naomba unifahamishe na unielimishe kwamba kutokwa na Uchafu mweusi Ukeni unasababishwa na njia ya Uzazi wa mpango wa njia ya Vijiti?
Mimi kila ninapoamka napata mafua tena ya chafya kali ila ikifika mchana jua kali napona kabisa. Ila na wkt wa baridi pua zinaziba pia natumia dawa za hospital napona ila baada ya siku mbili...
Wakuu habari za muda huu, nina rafiki angu ambaye ana mtoto wa kike ambaye sasa hivi anatimiza mwaka na miezi 7 hivi takribani sasa mpaka leo huyo mtoto hajatembea kabisa shida itakuwa ni nini...
HABBAT SODA AU BLACK SEED OIL NI DAWA KWA KILA UGONJWA ISIPOKUWA KIFO
Mada hii kuhusiana na nguvu ya Black Seed Oil katika kutibu magonjwa si jambo geni humu. Mimi naelta marudio tu maana...
Wadau
Naomba kufahamu maabara binafsi ambayo naweza kufanya kipimo cha urine culture( sina hakika na spellings).
Napenda kujua kwa maabara zilizopo dar es salaam.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za wikend ndugu nina kama wiki tatu miguu inaisha ngumu mwanzon ikawa nikinyoosha nahisi chini ya magoti kama ina ganzi nikaenda hospital wakanipima kisukari na malaria ila cna nkapewa...
Mimi nilikua mwajiriwa katika kampuni moja Binafsi, na pia nilikua mwanachama katika Mfuko wa Bima Ya Afya ya Nhif. Sasa Niachishwa kazi. Je kuhusu bima yangu Ya Afya nitakua nalipiaje? Maana...
Madaktari,husika na kichwa hapo juu,jamaa anasumbuliwa miwasho every where mwilini mwake especially sehemu za siri na njia ya haja kubwa.
Katumia FLUCONAZOLE zimegonga mwamba,nimeonelea atumie...
Za asubuhi waungwana!?
Kama mada inavyojieleza,takribani kuanzia mwezi uliopita yani October nimekua na tatizo ambalo sijajua tatizo ni nini ingawa nahisi siko poa kimawazo
Mwezi October...
Habari zenu wandugu,
Jino langu la mwisho la chini limekua likiuma pale ninapokula ama kunywa vitu vya moto ama baridi,
Nahisi ni ishara mbaya huenda likauma zaidi. Naomba mwenye kujua anijuze...
Habarini za hasubuhi wana jf
Ninandugu yangu hana raha mpaka sasa kutokana na kipimo cha HIV
Alienda kupima HIV navile vipimo vya kawaida cha kwanza kili react lakini cha chapili kilikuwa...
Kumekuwa na dhana ya wanaume kufanya mapenzi na wake/wenzi wao wajawazito kwa kisingizio cha kupanua njia ili mama asipate shida wakati wa kujifungua. Najiuliza kweli kuna ukweli?
1. Je, wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.