Nimeshawahi sikia mara nyingi tu kwamba, wakati unajamiiana na mwanamke, unakuwa unagusa kizazi, yaani yai la mwanamke.
Utajuaje kama hiki nilichokigusa ndiyo kizazi cha mwanamke?
Asante.
Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida nyingi, lakini linapokuja suala la kuzidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu wanaoendekeza sana ngono. Kuna watu...
Hope mko poa na mnaendelea na majukumu yenu vizuri,,
nahitaji msaada kidogo kuhusu vitamini C,, najua kuna baadhi ya vyakula na matunda ni chanzo kikuu cha hii vitamini C, lakini pia vitamini C...
Habari za usiku huu wakuu. Hopeful wengi wetu siku ya leo ilienda poa. Baada ya formalities naomba niende kwenye mada husika.
Kama kichwa kinavyosema, rafiki yangu hali ni tete katika mahusiano...
Habari waungwana,siku chache hapo nyuma nlileweka uzi humu kuhusiana na rafiki yangu ambaye anasumbuliwa na miwasho sehemu za siri,maeneo ya tumboni,kichwani sometimez na hata miguuni muda...
Kwa muda wa miaka miwili sasa nimekuwa nasumbuliwa na maumivu chini kidogo ya ubavu wa kushoto, nimejaribu kwenda hospitali mara kadhaa, mara ya kwanza nikaambiwa UTI pamoja na kutumia dawa...
Wakuu,
Yamenikuta mwenzenu tafadhali naomba msaada wa kitabibu.
Ni miezi miwili mfululizo sasa nakunywa dawa za amoeba lakini tatizo lipo palepale. Naendelea kuteseka na maumivu ya tumbo...
Naomba historia fupi kuusu uu ugonjwa nini chanzo chake? na ipi tiba yake nina mtu namjua umemsumbua sana hadi kukatisha masomo yake
cc.mshana jr,mzizimkavu
Habari ya majukumu JF.
Nina rafiki yangu wa karibu(mwanaume) ni mtanashati (handsome) sana lakini ana tatizo la kuwa na makalio makubwa sana jambo ambalo limekua likimuondolea ujasiri...
Mtoto wangu ana umri wa miezi kumi na moja mpaka tarehe 25 mwezi huu wa 11, 2018 atakuwa na umri wa mwaka mmoja kamili. Kwa Kipindi chote toka amezaliwa mpaka miezi 6 alikuwa ananyonya tu. Toka...
TUJIELIMISHE KIDOGO KUTOKA KIGAMBONI SOBER HOUSE
Addiction Actually
Addiction is actually a devastating brain disorder that the sufferer has no control over and which is not their fault.
If...
Habarini wakuu ama kichwa kinavyojieleza nahitaji msaada wa tatizo langu la tumbo kuunguruma mara kwa mara.
Je inaweza kuwa ni tatizo gani na dawa yake ni nini? kwan kila nikienda hospital sipati...
Habari Wakuu, naombeni kuuliza nini tatizo nikikaa na kiu kwa muda mrefu mfano kama masaa 6 alafu nikinywa Maji natokwa na Jasho sana baada ya kumaliza kunywa Maji nikikaa kama sekunde 30 baada ya...
Wanasayansi kutokana nchini Israeli ambako ‘ Majiniasi ‘ wengi wanapatikana huko hatimaye sasa wamepata ‘ Kinga ‘ rasmi ya Kuzuia maambukizi ya VVU/UKIMWI kwa 99.9% baada ya kuifanyia majaribio...
Habari zenu wakuu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 nasumbuliwa na maumivu makali sana tumboni hasa wakati wa usiku mwaka wa saba huu maumivu haya huwa kwa kipindi fulani alafu yanapotea ila...
Kuna binti alitumia dawa za misoprostol kwa ujauzito wa siku 25,but kutokana na maelezo yake nikagundua bado inshu haijatoka yote
Akapelekwa medical na kusafishwa (Manual Vacuum Aspiration)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.